Nasaha za Kitila Mkumbo zimuendee Assad!

" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Rubbish.
 
Aombe radhi kwa kutamka neno la kitaaluma?!
Hivi daktari akikwambia unaumwa au kinywa chako kinatoa harufu utamuambia akuombe radhi?

Hit direct to the Ntonku
Dhaifu sio neno la kitaaluma ...tuache utani...wahasibu mmekosa maneno ya kitaaluma?
 
Analinda ugali wake huyo.
Ndio shida ya wasomi wa nchi hii leo anaweza kukwambia hiki kesho akasema hiki.
Hawaeleweki!!!
Ni ujasiri wa Mbwa kushindwa kulinda ugali wako
 
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Huu ni upumbavu
 
Ikaja ikatokea anko akamsapoti CAG naona utabilisha gia angani
 
Amsuport kama bunge ni dhaifu?unaelewa maana yake?Bunge dhaifu maana yake livunjwe does CAG understands that?
 
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Huu ugoro kuleni wenyewe huko Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Upumbavu mtupu...!! Kuelimika ni kile kinachobaki kichwani baada ya miaka ya masomo, inawezekana Kitila aliviacha vyote kwenye Course Work na Assad alibaki na ujuzi wa taaluma yake kichwani.
 
Amsuport kama bunge ni dhaifu?unaelewa maana yake?Bunge dhaifu maana yake livunjwe does CAG understands that?
CAG anaelewa alichomaanisha ndio maana amesimamia msimamo wake.#Only GOD can mute CAG
 
Mmemchoka kivipi? Kusema "udhaifu wa bunge" au kukagua matumizi ya serikali?.
 
Back
Top Bottom