Nasaha za Kitila Mkumbo zimuendee Assad!

Nasaha za Kitila Mkumbo zimuendee Assad!

Melo sio mtumishi wa Umma katika muktadha huu...Melo hatakiwi kuchanganya msimamo wake binafsi na misimamo ya wanaJF...leo hii Melo akisema Chadema ni wabadhirifu kwa kuwa wamepeana magari ya umma atakuwa ametoa msimamo wa JF dhidi ya CDM?

Nadhani ndio maana humuoni Melo akiingia humu jamvini kusupport upande flani wa kisiasa ili kuilinda JF .

CAG kutoa maoni yake binafsi huku akiwa kwenye cheo chake ni zaidi ya hatari and it is very unethical na apaswa kuwajibika kutokana na hilo.
Then I rest my case with you!!

Kila la kheri katika kuendelea kutetea chama unachokiamini.
 
Yule mbunge Yusufu wa Zanzibar aliuliza:- Kama bunge sio dhaifu ilikuwaje lipitishe kikotoo cha hovyo kilichopingwa na wengi na hata Rais alipoona hakifai akakitengua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom