Nasaha za Kitila Mkumbo zimuendee Assad!

" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Give them a Yard, they take a Mile....
 
Hii inanifundisha kwamba kuna tofauti kati ya profesa na profesa,
ni kutokana na alisomea nini mpaka ukawa profesa,
waliosomea mambo ya tumbo,Lazima watajikita kwenye taaluma kuhusu tumbo,
na waliosomea fedha,barabara n.k nao watajikita katika taaluma zao.
 
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Sawa Mkuu,
 
Kwa kweli siamini kabisa kuwa Prof.Assad ni mbinafsi na mroho kiasi cha kuasi mpaka imani yake kwa sababu ya Cheo na maslahi.
Mwenyezi Mungu ndiye aliyempa akili na uhai wa kufikia alipofikia na amepewa sio ili awafurahishe watu wachache walioshiba bali awatendee haki wenye njaa na watanzania wengi kwa kutumia imani yake, elimu yake na kazi aliyopewa na Mh.Rais ya kulinda fedha za umma zisiliwe ovyo na watu walioshiba na kusaza.

Kitilya anajulikana kwa kuwa na rangi Mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weakness ni neno ama si neno la kitaaluma?
Weakness ni neno la kawaida sana ...sielewi ni kitabu gani cha uhasibu kinadefine kama weakness ni neno la kitaaluma.

Hebu basi define "Weakness" ili wanataaluma wa Ukaguzi duniani wakuelewe.
 
Kwamba ikisemwa taasisi fulani ina udhaifu katika utunzaji wa hesabu za matumizi kulingana na bajeti yake ilivyoidhinishiwa itakuwa imetukanwa taasisi hiyo?

Hivi muwapo huko ccm bongo zenu mnazibinafsisha kwa Nani?
 
Kama ukiiropokea hiyo taasisi bila ushahidi bila shaka utakuwa umeitukana na unapaswa kuchukuliwa hatua.Niletee ushahidi wa CAG wenye kuelezea udhaifu wa bunge page by page.
 
Hebu nikupe mfano mmoja Mfano @Melo mmiliki mwenza wa Jf akaenda Kenya kikazi kule alipoenda kikazi wana idhaa ya kiswahili kupitia Luninga akaalikwa kufanyiwa mahojiano.

Mtangazaji akauliza swali "Bwana Melo mtandao wenu umekua ukifanya Kazi kubwa Sana ya kufichua maovu mbali mbali yanayofanyika kwenye jamii yakiwahusisha maafisa wa serikali, lakini inaonekana serikali imekua haichui hatua dhidi ya maafisa wake wanaotajwa hilo wewe unalichukuliaje"?

Bwana Melo akajibu " kwa maoni yangu sisi Jf tunapofanya Kazi YETU kuibua uchafu na maovu mbali mbali kwenye jamii alafu serikali ikashindwa kutimiza wajibu wake wakikatiba wa kudhibiti maovu huo kwangu naona ni udhaifu wa serikali yenyewe"

Kwa maoni yako wewe @mjingawao hapo Melo WA Jf katika jibu lake hilo atakua ametamka kwamba "serikali ni dhaifu??!!
 
Kwamba ikisemwa taasisi fulani ina udhaifu katika utunzaji wa hesabu za matumizi kulingana na bajeti yake ilivyoidhinishiwa itakuwa imetukanwa taasisi hiyo?

Hivi muwapo huko ccm bongo zenu mnazibinafsisha kwa Nani?
Kwani CAG alisema bunge lina udhaifu katika utunzaji wa hesabu za matumizi kulingana na bajeti?(Hii isingekuwa issue aghalabu)

Yeye alisema kuwa lina udhaifu kuisimamia Serikali (hii ni siasa)
 
Hebu nikupe mfano mmoja Mfano @Melo mmiliki mwenza wa Jf akaenda Kenya kikazi kule alipoenda kikazi wana idhaa ya kiswahili kupitia Luninga akaalikwa kufanyiwa mahojiano.

Mtangazaji akauliza swali "Bwana Melo mtandao wenu umekua ukifanya Kazi kubwa Sana ya kufichua maovu mbali mbali yanayofanyika kwenye jamii yakiwahusisha maafisa wa serikali, lakini inaonekana serikali imekua haichui hatua dhidi ya maafisa wake wanaotajwa hilo wewe unalichukuliaje"?

Bwana Melo akajibu " kwa maoni yangu sisi Jf tunapofanya Kazi YETU kuibua uchafu na maovu mbali mbali kwenye jamii alafu serikali ikashindwa kutimiza wajibu wake wakikatiba wa kudhibiti maovu huo kwangu naona ni udhaifu wa serikali yenyewe"

Kwa maoni yako wewe @mjingawao hapo Melo WA Jf katika jibu lake hilo atakua ametamka kwamba "serikali ni dhaifu??!!
Melo sio mtumishi wa Umma katika muktadha huu...Melo hatakiwi kuchanganya msimamo wake binafsi na misimamo ya wanaJF...leo hii Melo akisema Chadema ni wabadhirifu kwa kuwa wamepeana magari ya umma atakuwa ametoa msimamo wa JF dhidi ya CDM?

Nadhani ndio maana humuoni Melo akiingia humu jamvini kusupport upande flani wa kisiasa ili kuilinda JF .

CAG kutoa maoni yake binafsi huku akiwa kwenye cheo chake ni zaidi ya hatari and it is very unethical na apaswa kuwajibika kutokana na hilo.
 
Kitila hajitambui yule
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlevi kaongea haya

Asadi inaelekea anasoma sana maoni ya humu JF. Na anavutiwa sana na ushabiki wa nyumbu ambao chama chao kinakufa kwa ushabiki huo wa kijinga na ujuaji mwingi.
Ushauri wa Kitila ni wa busara sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni lugha ya kitaaluma atumie neno gani? Maana kuna strengths na weaknesses au unataka kusema bunge halina udhaifu
 
Back
Top Bottom