kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 504
Kumbe wewe sio mhasibu?? Afu unaandika hivi iliDhaifu sio neno la kitaaluma ...tuache utani...wahasibu mmekosa maneno ya kitaaluma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe sio mhasibu?? Afu unaandika hivi iliDhaifu sio neno la kitaaluma ...tuache utani...wahasibu mmekosa maneno ya kitaaluma?
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Unafiki huo." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Umesoma ripoti ya CAG???? ripoti ile inabakia kuwa fact hadi hapo itakapothibitishwa kuwa otherwise.Facts zipo wapi..
give me a reference
LaymanJust Give me a proffesional word in English yenye kuelezea udhaifu ..
weakness ni neno la laymen tu
are try to compare yourself with Pro Assad??Uzuri prof Assad sio prof Mkumbo. Mchumia nchi si mchumia tumbo. Aombe msamaha kwa jambo ambalo hajasema? Mnataka awapigie magoti wala nchi wakati yeye ni mlinda nchi?
Ingekuwa vema sana kama wote wanaokwazwa na prof Assad wangejiuzulu.
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Oanisha ripoti ya CAG ya 2016/17 na hii ya sasaNi ukurasa upi wa hiyo ripoti ulioanisha kuwa bunge ni dhaifu na limeshindwa kuisimamia Serikali
Report umeisoma na kuielewa?" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Wewe wasema!Ni ujasiri wa Mbwa kushindwa kulinda ugali wako
Hiyo ni dhana yako wewe 'expert'
Ulitaka iweje kama sio hivyo? Huo ni upuuzi kuingilia kazi za watuHiyo ni dhana yako wewe 'expert'
Watu hawapendi kusikia ukweli mchunguAombe radhi kwa kutamka neno la kitaaluma?!
Hivi daktari akikwambia unaumwa au kinywa chako kinatoa harufu utamuambia akuombe radhi?
Hit direct to the Ntonku
Nimemuelewa kitila mkumbo. Ila sikubakiane nae na suala la kuomba msamaha. CAG akaombe msamaha kwa kosa lipi hasa?" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo