Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Asprin leo sina muda ila hii thread akhaa!! hata sijui nianzie wapi?
Labda nikuulize ewe Babu Mtafiti....ina maana kuna anayemcheat mume/mke wake ikisha akajiaminisha kuwa huyo anayecheat naye yuko na yeye tu??Kama amekubali kucheat nawe nini kitamzuia asikubali kucheat na mwingine, na mwingine na mwingine??

Ni sawa na mke wa mtu unamtokea halafu anaimba.....mie mke wa mtu ujue, naogopa sana basi tu kwa vile ni wewe!!!............ kama amekukubalia kwa vile ni wewe, basi na yule atakubaliwa kwa vile ni yule, and the chain goes on and on and on!

Haya ukitoka huko kitandani kwako ukuje utwambie ulichotohoa ndotoni!
 
Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!

Ni hivi:....Straight to the point:

Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?

Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?

Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.

Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha

Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!

Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.
Utafiti wako ulikuwa wa theories and practices au...!?
 
Sweetie nakuhitaji rum tujadili kidogo... naona kama hii topic inatuhusu - lets go add some mo' rules... ila sio hapa kwa Shem...

LOL...right there baby....you have doped me for sure...i know the rewards huko rum sio mchezo (Sema Shemeji yako ODM akiona ivo basi wivu utadhani ******)
 
Hahhah Sasa Mbu unampa pole Babu wakati keshasema yeye yamemkuta unamtakia mtakatifu gani wakati ye mwenyewe si mtakatifu? Yaani Babu akamchiti Mama Matesha ambaye ni Bibi yangu mimi, halafu anayecheat naye akamchiti na Babu na mbabu mwingine, halafu unakuja Mbu unampa pole Babu ODM na kumtakia heri ampate Mwaminifu (yupi sasa zaidi ya Mama Matesha?) afu na yeye anaitikia!!!

Leo alipoamkia!!

...inaonyesha leo anauchungu sana, nampa moyo asijione mpweke. Kwa haya maradhi ya kujitakia,
Jukumu letu kumletea fanta 'mgonjwa,' ..basi.


Ewaaaa!!! Mbu tuko pamoja sasa.....

...lol...mzee wa maandiko,...lete mistari ku support motion bana.
Kiapo cha uaminifu na utii, bila kusujudia.
 
Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!

Ni hivi:....Straight to the point:

Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?

Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?

Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.

Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha

Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!

Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.


Babu unaenda kusubiri dogo dogo KITANDANI nn? hahaha Ndomu unayo kwa pembeni?
 
Thanks God aint one of them, and please dear Lord help me not to be...
 
Bahati mbaya wanocheat wengi ni watu na elimu zao na wanafahamu A-Z shetani tu anafunga ufahamu tumrudie muumba
 
Just hoping nisiwe mama Matesha mentally alafu yeye physically...lol...

Pamoja saana.... Me love you and all JF Members...
hahahahahaaa! asee!!!
hawezi kula hewani huyu!!!
aTAKUJA KUJITETEA MWENYEWE
 
Ukweli mtupu...but huo utafiti ulifanya kwa njia ipi covert observation au overt observation.. maanake lazima uwe fully engaged au partial! BABU umetisha
 
Back
Top Bottom