Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, Jul 18, 2011.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!

  Ni hivi:....Straight to the point:

  Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?

  Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?

  Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.

  Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
  Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
  Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
  Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha

  Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!

  Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Asprini .... Will be back afta a short break.... Khaaa!
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hilo mbona linaeleweka, mtang'ang'aniana na mnajua mpo kwa ajili ya kupoozana baada ya hapo kila 1 na lake?..inaonekana una mning'inio bado.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  khaaa! Babu utafiti wenyewe umeufanyia chumbani tena kitandani!!
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Here.......waiting

  yamenikuta ukiona hivyo LOL........... ukichanganya na hangover basi balaa tupu!
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Sasa kwani watu wanacheat wakiwa juu ya miti?
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwahyo unataka kusema wauza ndoms lazima wa do!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Hapana namaanisha watu wawe waaminifu ila wakizidiwa na ubazazi wangonoke responsibly.........Hus, Ushawahi kutumia ndoms?
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukweli ndo huo, kwa nini umechukua muda mrefu hivi kutambua hilo? poleni infidelitors wote from the bottom of my heart.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Tena hii sredi nimeidediketi kwako............ ngonoka responsibly binamu...... wajomba wanakutegemea ujue.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Shem nakupongeza kwa Thread hii nzuri ya kufundisha…. Naona mabusara yako yapo at work!

  Nakubaliana na wewee…. But niko saana interested na hio bolded sentence… mimi naamini kabisa kama ni mke wa mtu una cheat na mume wa mtu, sidhani kama matarajio yenu yanakua kuoana… hapa nafikiri lazima kuna la ziada kama vile labda extra mpunga unaopata huko… au ni suala zima la 6/6… Sio kwamb a na support – ila imani yangu ni kua hao watu ndiio wale ambao tayari wamejizila na ndio hao hata Condoms hawatumii….

  Tatizo ni pale ambae ni mdada single yupo na mkaka/mbaba mwenye ndoa yake akiamini ka yeye ndio yeye na kwamba hakuna kimada mwingine zaidi yake

  BTW… Nini kilikupata … Juzi si ulisema you are spending the weekend with your family??
   
 12. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hukutakiwa kuidadicate kwangu maana mimi singonoki, nimeshastaafu kwenye game. ila hii inakuhusu zaidi wewe na chama kubwa lako lol/
   
 13. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  hahahahahahah....khaaaa babu!!!!

  baki to ze topik:
  Hongera kwa kulijua hilo, kuwa hauko peke yako! Sasa si ni bora ukatulia tu na mama Matesha wako tu, ukaachana na hiyo network.......
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  babu jamani, bibi hataki utuulize maswali nyeti.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  well said swahiba.... Quito kuzuri sana na ninafuata usia wako

  karibu sana
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Ewaaa...... binti mzuri sana wee........ hili la mme/mke wa mtu kucheat na mme/mke wa mtu linahitaji sredi inayojitegemea......... Hii sredi illilenga zaidi kwa yale mabazazi yaliooa/kuolewa afu yanacheat na mabazazi ambayo hayajaolewa/oa.

  Hiyo bold hapo............kukaa na familia wikiendi ndo kulinifanya nigundue hili jambo.... niliyoyaona mwenyewe nlichoka...khaaa!
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Kabla hujastaafu ulikuwa unangonoka responsibly? Haya kapime!

  Najitahidi sana Keren........yakinishinda nangonoka responsibly........... wee mwenzetu vipi?

  Hizo nyeti ndo nazosema tuzitumie responsibly

  Karibu sana mkuu, unatumia kinywaji gani?
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kwa hio utakubali kua ni kama kumpigia mbuzi guitar??
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na mtaunganishana weeee mpaka na ndugu na wake/waume zenu humo humo.
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hofu ya mwenyezi mungu inakuja vipi il hali wachungaji na viongozi wa dini wanakiri wazi kabisa wanauza madawa ya kulevya?
   
Loading...