Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Hapo kwenye kula kitu mazima badala ya kuishia kutamani hapo!Asee, pata appetite kwa bht then huyooo unaenda kumaliza appetite kwa mama matesha.Au huwezi kupata appetite ya ubwabwa ukaenda kula makande?Halafu ODM, hebu jaribu kucheat na mama matesha one time.Namba 17 kwenye comfy!
Hahahaha!! Yaani unapata hamu ya Bia unaenda kunywa Mountain Dew lol!!!
 
Hapo kwenye kula kitu mazima badala ya kuishia kutamani hapo!Asee, pata appetite kwa bht then huyooo unaenda kumaliza appetite kwa mama matesha.Au huwezi kupata appetite ya ubwabwa ukaenda kula makande?Halafu ODM, hebu jaribu kucheat na mama matesha one time.Namba 17 kwenye comfy!
Aisee bigi, ngoja nitoke nje kidogo.......... kucheka namna hii ofisini si vyema........ umefanikiwa kunichekesha kulaaaaaaaaaaaaaaaaaleki!
 
Iribini mbona unashupalia kufanya mojawapo ya dhambi kama altenative?

hivi shida yote ya nini hasa?

Bigirita umenikumbusha tangazo la mirinda, pale wali dondo unapogeuka kuwa wali na kuku roast.....ya nn kujidanganya hivo?!
 
Pole na machungu bana, lakini sio wote wako hivyo.
Bado kuna waaminifu wachache waliobakia aisee.

Nilisahau leo umetoka na mawani yako.......... ngoja nika-edit.
 
Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!

Ni hivi:....Straight to the point:

Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?

Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?

Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.

Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha

Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!

Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.

Njoo huku Bwagamoyo babu tumalizie biliani za mdogo wako Kikwete
 
ishu sio kuwepo kwa UKIMWI na kwamba unaua. Ishu ni kuheshimu ndoa yako na za wenzako, full stop.

Asante Babu Kidonge a.k.a Dawa
 
Sawa kabisa, ila sasa wakishindwa wangonoke responsibly...
 
Hahaha...nimejikuta nafikiria.

Hivii ukute mtu anacheat na mtu ambae nae yupo hapa JF (wanaweza wakawa tayari wanajuana kwa ID za hapa pia au la) alafu mwenzake akaanzisha thread kama hii ya huyu babu asiyefundisha wajukuu maadili je huyo cheater mwenza atajisikiaje kugundua kwamba yeye ni BAZAZI?!

Wataendelea kufurahiana kweli?!Au ndo mwanzo wa kurudi kwenye mstari ili wasiendelee kuonana maBAZAZI?!

Just thinking out loud..a bit too loud!SORRY!
 
HTML:

Mimi ni mmojawapo, hii thread hainifai hata kidogo, naombea bazazi mwenzangu asiisome.
 
...hiyo inaitwa kutupa jiwe kundini! lol...!

Aheri mbu niendelee kubakia annonymous kwakweli.
Anyway,...Aspirin ametutahadharisha sredi hii inawahusu
waliooa na wasioolewa.
 
Aisee bigi, ngoja nitoke nje kidogo.......... kucheka namna hii ofisini si vyema........ umefanikiwa kunichekesha kulaaaaaaaaaaaaaaaaaleki!
Fund moja la ziada litamfanya mama matesha awe AshaDii! Aka switi hati wa MTM.
 
...hiyo inaitwa kutupa jiwe kundini! lol...!Aheri mbu niendelee kubakia annonymous kwakweli.Anyway,...Aspirin ametutahadharisha sredi hii inawahusuwaliooa na wasioolewa.
Habari ake bana.Asee, hebu leta ujira mwiha kwa kuwa mlinzi dhabiti ambaye sio bazazi.U know wara i mean!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Asprin, tumsifu Yesu Kristu...
Njoo uungame mpendwa
Milele Amina......... nikaungame responsibly siyo?

Hahaha...nimejikuta nafikiria.

Hivii ukute mtu anacheat na mtu ambae nae yupo hapa JF (wanaweza wakawa tayari wanajuana kwa ID za hapa pia au la) alafu mwenzake akaanzisha thread kama hii ya huyu babu asiyefundisha wajukuu maadili je huyo cheater mwenza atajisikiaje kugundua kwamba yeye ni BAZAZI?!

Wataendelea kufurahiana kweli?!Au ndo mwanzo wa kurudi kwenye mstari ili wasiendelee kuonana maBAZAZI?!

Just thinking out loud..a bit too loud!SORRY!
Hahahahaha......... acha woga wewe...... ukiamua bazazi unatakiwa uendelee kuwa bazazi kwa ujasiri......

Mimi ni mmojawapo, hii thread hainifai hata kidogo, naombea bazazi mwenzangu asiisome.
Hahahahahaha LOL

Hahahhaha...mtumie link nae aone bwana.
Umbea huu sasa........

Yaani huyu babu alitakiwa kufikiri kwanza kabla ya kuandika hapa.
wengine wanaogopa kusema lakini wako wengi humu.
Hahahahahaha......... Aisee!
 
Back
Top Bottom