Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!

Ni hivi:....Straight to the point:

Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?

Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?

Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.

Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha

Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!

Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.

Asante sana Babu Asipirini for this useful lecture...when i grow up i will ensure i make the BEST USE of it..namtafuta Mtakatatifu RR ili nim- buku Usupavaiza wa risech yangu juu ya hii kitu.

Wasaalaam..!
 
...mnh,...nahisi kuna tofauti ya ku cheat na extramarital affair.
Aspirin, tukumbushe somo hapa la kiapo cha ndoa.
Kuna viapo vinatoa mianya ya 'kusaidiwa.'
Sisi tuliokula viapo vya ukweli....si kama hivi vya kina Ngeleja........ hatuna kiapo chenye mwanya achilia mbali mianya ya kusaidiwa...... Yani ukishaapa ije shida ije raha ni kuaminiana na kutochitiana mpaka kifo kiwatenganishe.....

Sasa haya maugonjwa na hii dhana ya vijana wa kileo kuwa infidelity haikwepeki, babu nimeona msije kuniachia wanenu niwalelee........... ndo maana nikawaasa........ kama ubazazi umewashinda na mabazazi yanazidi kuzaliwa basi muwe mna-cheat responsibly!
 
Asprin leo sina muda ila hii thread akhaa!! hata sijui nianzie wapi?
Labda nikuulize ewe Babu Mtafiti....ina maana kuna anayemcheat mume/mke wake ikisha akajiaminisha kuwa huyo anayecheat naye yuko na yeye tu??Kama amekubali kucheat nawe nini kitamzuia asikubali kucheat na mwingine, na mwingine na mwingine??

Ni sawa na mke wa mtu unamtokea halafu anaimba.....mie mke wa mtu ujue, naogopa sana basi tu kwa vile ni wewe!!!............ kama amekukubalia kwa vile ni wewe, basi na yule atakubaliwa kwa vile ni yule, and the chain goes on and on and on!

Haya ukitoka huko kitandani kwako ukuje utwambie ulichotohoa ndotoni!
Ndio maana mjukuu mkaidi nimewatahadharisha baba na mama zako wasijidanganye..........haya macho na umri huu yameshuhudia mengi....... kwa kuwa ubazazi umewashinda, na mie kulea wajukuu na umri huu ntashindwa.........basi wafanye ubazazi wao responsibly............

Kwa thread ya mzee kama huyu Asprin wala haihitaji kiapo maana inakuwa ni kazi bure kwasababu kaishaambia watu Cheat Responsibly
Yes........... mabazazi ya-cheat responsibly.......kama walevi wanavyoambiwa wa-drink responsibly..........hivyo hivyo!

.......................Na ikumbukwe Babu hapingwi LOL
Huyu Mzee anazeeka vibaya!!
Anayempiga babu nikitema mate chini kikojoleo chake kinahamia kwenye paji la uso kulaleki zake.....

Aisee!!! Mjukuu bora na wewe umeliona hilo maana mimi naweza kuambiwa kuwa nimekosa adabu kumbe Babu mwenyewe anazeeka vibaya
Nimekwambiaje? Fanya ubazazi responsibly kulaaaaleki

hivi amekuwa certified kama ni mzee?
Hommie unaulizia nywele saluni?

Babu unaenda kusubiri dogo dogo KITANDANI nn? hahaha Ndomu unayo kwa pembeni?
Ndomu ni kitu gani? Vijana wa siku hizi mna kazi kwel kwel!

Thanks God aint one of them, and please dear Lord help me not to be...
Sure.......omba Mungu na mkeo awe kama wewe. otherwise kamwambie babu anamshauri afanye ubazazi responsibly.....asije akakuua bure!

Bahati mbaya wanocheat wengi ni watu na elimu zao na wanafahamu A-Z shetani tu anafunga ufahamu tumrudie muumba
Amina........ Enenda na amani, umesamehewa dhambi zako zote! Usitende tena dhambi

Ukweli mtupu...but huo utafiti ulifanya kwa njia ipi covert observation au overt observation.. maanake lazima uwe fully engaged au partial! BABU umetisha
Ahsante n'zee wangu, sikujua nna jisura la kutisha watu.........
 
Sweetie nakuhitaji rum tujadili kidogo... naona kama hii topic inatuhusu - lets go add some mo' rules... ila sio hapa kwa Shem...

LOL...right there baby....you have doped me for sure...i know the rewards huko rum sio mchezo (Sema Shemeji yako ODM akiona ivo basi wivu utadhani ******)

Eheeeeee kumbe

Bigirita hapa naona ulikua unamaanisha FF.... MTM is in love with Faiza... my twin....lol

Hahahahhaaa!!!!!
AhdaDii mamaaa!! me love ya!!!!

Just hoping nisiwe mama Matesha mentally alafu yeye physically...lol...

Pamoja saana.... Me love you and all JF Members...

Kavae nguo jamaa yangu kabla hujamtaja mumba ukiwa na boxer hadharani!!!
Nyie watu hapo juu, acheni ubazazi wenu, rudini kwenye mada............... ubazazi responsibly

Asante sana Babu Asipirini for this useful lecture...when i grow up i will ensure i make the BEST USE of it..namtafuta Mtakatatifu RR ili nim- buku Usupavaiza wa risech yangu juu ya hii kitu.

Wasaalaam..!
Huyu mtu uliyemteua kuwa supavaiza wako............. nakushauri fikiria mara ya pili, umepotea njia!
 
Mwambie Mtakatifu aku-supavaizi responsibly!!!
 
Mwambie Mtakatifu aku-supavaizi responsibly!!!
Hahahaha.......... kila kitu lazima kifanywe responsibly, otherwise ni ubazazi!

Dah! ODM Ukiobserve Tulikua tushaacha UBAZAZI ... Sasa hii post kama

inaturudisha kwenye UBAZAZI vilee?? ngoja niangalie.....
Yeyote yule anayeichakachua sredi ya ubazazi ya babu, anakuwa bazazi!
 
Hahahaha.......... kila kitu lazima kifanywe responsibly, otherwise ni ubazazi!

Yeyote yule anayeichakachua sredi ya ubazazi ya babu, anakuwa bazazi!

Nilisoma UBAZAZI nikaoni ni BAZAZI nikatafuta BAZAZI mwenzangu

na kumuambia tuache UBAZAZI... ODM akani BAZAZI... akanikumbusha

UBAZAZI.... Kwa post hii huu ndio UBAZAZI wa mwisho kufanya....

Asante kwa kutukumbusha tuache huo UBAZAZI
 
AshaDii hebu acha ubazazi wako!
 
Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!

Ni hivi:....Straight to the point:

Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?

Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?

Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.

Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha

Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!

Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.

Babu shkamoo....
Ngonoka responsibly...
 
hivi hata na mai waifu wake?
Hommie....... hebu soma kwanza hii ndo umwelewe darlingtone vizuri.........

.Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, Women, Money etc, etc... are a man's worst enemies, and the man who runs away from his enemies is a COWARD.
 
asee nimemsoma....right to the point!
 
Kwa hiyo unado irresponsibly na vile umri umeenda haina majotroo....habari ako bana
Umeona eh? Ishu inaanzia kwanza pale kwenye kisababishi cha ku do the needful........ mpaka uweke picha ya ngono... afu akija mwali ni fasta shwwwwwaaaaap.... akichelewa mtarimbo unalala doro kwa wiki tatu mfululizo.......... baba hapendi!
 
Asante sana Babu Asipirini for this useful lecture...when i grow up i will ensure i make the BEST USE of it..namtafuta Mtakatatifu RR ili nim- buku Usupavaiza wa risech yangu juu ya hii kitu.

Wasaalaam..!

Kijana unaanza kukua sasa....see me ASAP...very urgent kama bajeti ya jairo....

Huyu mtu uliyemteua kuwa supavaiza wako............. nakushauri fikiria mara ya pili, umepotea njia!

Mwache kijana akue...anajua njia sahihi......

Mwambie Mtakatifu aku-supavaizi responsibly!!!

Halafu kwa nini wamebani hii source ya useful posti?

Responsible Supervisor!
 
Back
Top Bottom