Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Phew..... hoi!! that was too much to read!!
Hivi babu hapa kwenye hii sredi uliwaza nini vile....?
 
Hahahaha.......... kila kitu lazima kifanywe responsibly, otherwise ni ubazazi!

Yeyote yule anayeichakachua sredi ya ubazazi ya babu, anakuwa bazazi!

kumbe babu nae BAZAZI tuuu...kama wewe unaandika mambo ya ubazazi basi wewe pia bazazi...
 
Sisi tuliokula viapo vya ukweli....si kama hivi vya kina Ngeleja........ hatuna kiapo chenye mwanya achilia mbali mianya ya kusaidiwa...... Yani ukishaapa ije shida ije raha ni kuaminiana na kutochitiana mpaka kifo kiwatenganishe.....

Sasa haya maugonjwa na hii dhana ya vijana wa kileo kuwa infidelity haikwepeki, babu nimeona msije kuniachia wanenu niwalelee........... ndo maana nikawaasa........ kama ubazazi umewashinda na mabazazi yanazidi kuzaliwa basi muwe mna-cheat responsibly!

...lol...hiyo bazazi ulivyoiwekea mkazo mpaka nimeitafutia tafsiri sahihi kwenye kamusi!...pheewww, Mw'Mungu aniepushie...Amen!

Bazazinm (ma-) mtu atumiaye hila; mdanganyifu, laghai, pwagu, mzandiki, muongo, mnafiki
 
Not Saint anymore.....?
Gosh......I was gone for too long!! aah...

Hey hey....lost it trying to impress......
Smiles missed by RR....kiukweli....
How r u doing? Should ask ulifichwa wapi?
 
Bazazi sound non-feminine.....hata hizo tabia.....still wondering kama ashadisc anaweza kuwa bazazi........
 
Bazazi sound non-feminine.....hata hizo tabia.....still wondering kama ashadisc anaweza kuwa bazazi........

...ni kweli kabisa, tatizo ni ule msemo "it takes two!" bana,...yalaaaa!!!!!
 
Daaah! Nilikuwa wapi siku zote mpaka nakaribia kupitwa na hii use ful post ya babu? Babu wenye masikio wamekusikia, wasijesema hukuwashauri/hukusema.
 
Nyie watu hapo juu, acheni ubazazi wenu, rudini kwenye mada............... ubazazi responsibly

Huyu mtu uliyemteua kuwa supavaiza wako............. nakushauri fikiria mara ya pili, umepotea njia!

Asa Babu Asipirini..hivi huyu Mtakatifu RR sio mwanao wa 'ubatizo' huyu?, for this matter Bbu na ww naanza kuwa na mashaka na ww..kama mwana kapotea njia..Baba je...(malizia)

Mwambie Mtakatifu aku-supavaizi responsibly!!!

Hahahahaha! wl do that...

Kijana unaanza kukua sasa....see me ASAP...very urgent kama bajeti ya jairo

Hahaha! mm na ww tumetoka mbali..ukimwaga ugali..namwaga mbogo..unles azawiz naanza kukupa BENEFIT of dauti..!
 
Kuna mabazazi jike? Wapi pope ateme povu hadi aunganishwe na bigi....
:fish:

Phew..... hoi!! that was too much to read!!
Hivi babu hapa kwenye hii sredi uliwaza nini vile....?
Acha tu mpendwa..... kuna bazazi moja limetendwa nikajikuta sina jinsi.......kuwatahadharisha vijana na huu ubazazi!

Not Saint anymore.....?
Gosh......I was gone for too long!! aah...
:mimba:????????????

Nimeshindwa vumilia naona tu nilie... one; Ban ya Bigi.... two; sina energy ya kuitaja.... Dah!
:A S 103:

babu ana mikwara eti naenda kitandani kutafakari mhhhhhhhhh
:A S thumbs_up:

kumbe babu nae BAZAZI tuuu...kama wewe unaandika mambo ya ubazazi basi wewe pia bazazi...
:biggrin1:

...lol...hiyo bazazi ulivyoiwekea mkazo mpaka nimeitafutia tafsiri sahihi kwenye kamusi!...pheewww, Mw'Mungu aniepushie...Amen!

Bazazinm (ma-) mtu atumiaye hila; mdanganyifu, laghai, pwagu, mzandiki, muongo, mnafiki
:A S thumbs_up:

Hey hey....lost it trying to impress......
Smiles missed by RR....kiukweli....
How r u doing? Should ask ulifichwa wapi?
Ubazazi huanzaga hivi hivi........... shindwa bazazi!

No fusing.....the pope is wiser.....:typing:
Ubazazi!

The pope has proven so....
Pope ni bazazi!

Can see you are both lucky.....
Wacha nizidi kuheshimu mamlaka za popu....damn me!
Machale yananicheza hapa........:typing:

Bazazi sound non-feminine.....hata hizo tabia.....still wondering kama ashadisc anaweza kuwa bazazi........
:mod:

Can see you are both lucky.....
Wacha nizidi kuheshimu mamlaka za popu....damn me!
[/QUOTE]

In blue I repeat!! For in red umeniacha haywire...
:smow:

...ni kweli kabisa, tatizo ni ule msemo "it takes two!" bana,...yalaaaa!!!!!
:A S thumbs_up:

Daaah! Nilikuwa wapi siku zote mpaka nakaribia kupitwa na hii use ful post ya babu? Babu wenye masikio wamekusikia, wasijesema hukuwashauri/hukusema.
Hebu njoo huku nikwambie kitu......... usipokuja wiki ijayo nakufuata huko.....

Asa Babu Asipirini..hivi huyu Mtakatifu RR sio mwanao wa 'ubatizo' huyu?, for this matter Bbu na ww naanza kuwa na mashaka na ww..kama mwana kapotea njia..Baba je...(malizia)
Kati ya sehemu niliyopotea njia ni hapo kwenye kumsimamia ubatizo huyu bazazi.........
 
Hahaha! mm na ww tumetoka mbali..ukimwaga ugali..namwaga mbogo..unles azawiz naanza kukupa BENEFIT of dauti..!

Kijana nitafute.....hapa tunazungumzia maisha yako.......you must be resposible aseee....
 
Tatizo hujazoea kusimamia karisimatiki kama the x-st.!
Kosa la kukusimamia nililigundua pale ulipomwagiwa maji ya baraka........... sikuona pepo likikutoka......... bazazi uliyekubuhu!
 
Back
Top Bottom