Nape vs Lowassa

Nape vs Lowassa

Status
Not open for further replies.
hakuna rafiki wala adui wa kudumu kwenye siasa,

utamhitaji adui yako akusaidie ili kukamilisha malengo yako yatimie utakumbika kuwa hawa jamaa walimkataa sana Sioi hadi wakatunga uongo eti si Mtz leo hii wapo mstari wa mbele kumpigia kampeni
 
Saa narudi toka Moshi mjini nitashuka hapo Kikatiti nisikilize hilo BOMU la ajira kwa vijana toka kwa Silver Hair A.K.A Baba Mkwe!
 
Labda Nape anakwenda kumvua Gamba E.L hapo kwenye mkutano,ngoja tusikilize
hiyo sinema itakuwaje.
 
hata wakiungana lakini kamwe mafisadi hawawezi changuliwa hii itakuwa nafasi ya CDM,lakini si fisadi na mwizi kama EL
 
mwacheni ajipendekeze kwa mi-mvi ili tudhihirishe kuwa nape ni pungazeze tu!ukasimame na mtuhumiwa wa ufisadi
 
hii aibu ya Nape..nafikiri ule wimbo wa mafisadi wajiondoe kwenye chama mwisho wake leo.!!
 
Sasa mimi hapa ndo simweli Nape yeye anaomba vijana tumuunge mkono kwenye mapambano dhidi ya ufisadi alafu yeye anaungana tena na fisadi kutaka kudanganya watu huko Arumeru jamani tutafika kweli hi nchi?
 
Tukisema nape ni vuvuzera tu anakuja hapa na kutoa povu oooh lowasa lazima ajivue gamba leo ana mlamba miguu kama mbwa kwa chatu
 
Kwani kuna dhambi? katika siasa hakuna adui wa kudumu wa;a rafiki wa kudumu tambua hilo ila hao ndio CCM wakikwambia tukutane Kariakoo wewe nenda Mbagala kabisa, hawana ukweli chuki na visasi vyao ni unafiki mtupu utafikiri Ile Sendeka na upambanaji wa rushwa wa kinafiki huku nampinga Lowassa halafu anapita mlango wa nyuma kuomba hela na kumuunga mkono katika urais 2015.


Ukweli kwamba kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu, hakutoi haki ya kuwaongoza watanzania kinafiki; KIONGOZI wa KWELI ATEMBEE KATIKA MANENO YAKE.
 
Sasa mimi hapa ndo simweli Nape yeye anaomba vijana tumuunge mkono kwenye mapambano dhidi ya ufisadi alafu yeye anaungana tena na fisadi kutaka kudanganya watu huko Arumeru jamani tutafika kweli hi nchi?

NAPE amebeba gunia la misumari. Chama chake ni mzigo, mwenendo wake haueleweki hata kwa viongozi wake wakuu. Hakuna kitu kibaya kama kufanya kazi usiojua mwisho wake. Naamini ile kauli ya EL kumwambia mwenyekiti wake kwamba hakuna asicho kijua kuhusu RICHMOND imemfanya NAPE awe mdogo kama sisimizi!
 
Sirikali, inaongozewa kwenye vyombo vya habari, chama kinaongozewa majukwaani.

Policy na procedure muhimu sana aisee.
 
Vip watendeleza tena matusi haya

1.Wabunge wa CDM Majimarefu unawalea sana,Wewe ndo umewachanja chale hadi matakoni leo wanakutukana.
2.Dr Slaa Baba ake ni shoga,anamalizia na kudadadeki.
3.Mh Lema alipokuwa Gerezani kisongo ali*****rwa,alipata bwana.anamalizia na kudadadeki.
4.Dr Slaa upadre ulimshinda akatimuliwa kwa kutia mimba wana kwaya.
5.***** Kampeni Meneja Vicent Nyerere analiwa.
6.CDM msiwe kama Jogoo anatongoza akisema atamnunulia gauni tetea wakati akiinama hata chupi hajavaa.
7.CDM washamba nyie,niwarambe nisiwarambe.
8.Washamba CDM wanavaa Kombati wakati hata mgambo hawajapita.
9.Dr Slaa ni mshamba,akivaa kombati anatembea kama amejinyea.
10.Dr Slaa kasema kama ni fujo itaanzia Arumeru,kwanini isianzie kwa mke wake?
11.Dr Slaa anatishia kujamba wakati anaharisha.
12.Dr Slaa anavimba macho ya watu,kama anaubavu aje tupigane,ngumi moja naua,mnamuokota hapa...
13.Mbowe anauchungu,ana mimba na asubiri kuzaa tarehe 1 April 2012.
14.CDM wote wametiwa mimba na CCM,ukiona wanaonyesha vidole V maana yake wana mimba ya mapacha.
15.CDM tembeeni taratibu msije mkaharibu mimba zetu.

Mod haya siyo yangu nimenukuu usije ukanitundika ban kama ban mpe lusinde kama yupo humu
 
Kwa kusikia tu kwenye vyombo vya habari kwamba Nape anaenda na mtuhumiwa, hata asilimia moja iliyokuwa imebaki kama imani kwake imetoweka leo asubuhi. Ndio maana sisikii wimbo wa Kujivua Gamba Ukiendelea kinywani mwake ni Aibu sana.
 
Unataka akamnadi Nassari??. Tupo kwa ajili ya kuijenga Tanzania, kutofautiana kiitikadi ni jambo la kawaida.
 
Huwezi amini mkuu, hivi sasa Nape na Edward Lowasa ni marafiki wakubwa, usicheze na mwenye fedha, penye udhia penyeza rupia. Na si Nape tu, wote waliokuwa wanaseama EL avuliwe gamba sasa hivi wanamuita mheshimiwa na siyo fisadi tena. Unakumbuka siku ile EL alivyotangaza kuachia ngazi kule mjengoni jinsi Ole Sendeka alivyoshangilia na kukata viuno kama joti, haya leo hii yuko kwenye mtandao wa EL, we acha tu.FEDHA FEDHEHA.
 
Hivi hawa jamaa si walikua ni maadui japokua ni chama moja? Leo asubuhi nimesikia redioni eti Edward Lowasa na Nape Mnauye watapanda jukwaa moja kumnadi mgombea wao pale maeneo ya Kikatiti Arumeru Mashariki! Souce Redio One Nipashe!

Wanafiki plus!
 
Na siku Lowasa akichukua nchi Mengi na ipp group wote Segerea. Ndie aliyekuwa mfazili wa hili kundi la wanafiki waliojiita wachukia ufisadi ndani ya ccm.
.
 
Huwezi kumfananisha Lowassa na Nape hata siku moja Nape ni mdananda mbele ya Lowassa.

Lowassa rank yake ni rais Kikwete.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom