Nape vs Lowassa

Nape vs Lowassa

Status
Not open for further replies.
Hahahaaa! Kwanza niseme hili la kijinga kabisa kuzungumzwa na watu wazima katika mjadala wa siasa ya nchi lilianzishwa mwaka 2003, wengine hata siasa mlikuwa hamjui ni kitu gani. Lengo likiwa kujaribu kumzuia Nape asiwe Mwenyekiti wa UVCCM, wanaweza kurejea enzi hizo na mpambano ule. Na hili la 2003 linaweza kuwa shule nzuri kwa wale wanaosema Nape katokea wapi, mbona kama kakurupuka tu!!!

Lakini hivi leo nikiitwa Nape .... Inabadili vipi msimamo wangu juu ya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi? Maana ndio jambo linaloumiza watu vichwa hasa baada ya kuona ni msimamo usioyumba, hata nikifa leo mbegu niliyoipanda haitapotea, waadilifu na wazalendo watasimamia hili bila kuchoka....

NI KAZI KUBWA SANA KAMA SIO KUTOWEZEKANA KABISA KUTAFUTA MATOPE KWENYE SAKAFU SAFI, BAADA YA KUKOSA MATENDO YA KIFISADI KWA NAPE KWA MUDA WOTE WA SIASA ZANGU ZA KITAIFA, WANABUNI HATA UPUMBAVU ILI MRADI WAMTAJE NAPE WAPATE USINGIZI. NITATETEA RASILIMALI ZA NCHI YANGU MPAKA MWENYEZI MUNGU, NASISITIZA MWENYEZI MUNGU AKIAMUA KUNICHUKUA.

Maneno haya yanaongeza tu morale ya kufanya kazi hasa kwakuwa ni ya kijinga, isipokuwa yananithibitishia kuwa nimepiga kisu kimegusa mfupa so nikiongeza nguvu kidogo naweza vunja mfupa uliowashinda wengi wakaishia kulamba asali mwambani..
Binafsi ni mmoja wa wapinga sera za sasa za CCM lakini lazima niseme bila unafiki,kwa umri na kwa jinsi siasa za Tanzania zilivyo,Kijana Nape anaudhubutu wa kushangaza! Anayojaribu hata wazee wameshindwa!
 
Fine..lakini uthubutu wake mbona haupo transparent kwa kupoint 1, 2, 3 etc si halali na tufanye a, b, c, ...., maana yangu ni kwamba aseme fulani na fulani ni magamba na tunawamwaga toka ndani ya Chama ili kuimarisha umoja wetu, pia fulani na fulani wanatakiwa Mahakamani kujibu Kagoda, EPA, Meremeta, etc, Yeye na serikali yao ya CCM waonyeshe meno kwanza na sio tararila tunayoisikia kila siku
 
Hahahaaa! Kwanza niseme hili la kijinga kabisa kuzungumzwa na watu wazima katika mjadala wa siasa ya nchi lilianzishwa mwaka 2003, wengine hata siasa mlikuwa hamjui ni kitu gani. Lengo likiwa kujaribu kumzuia Nape asiwe Mwenyekiti wa UVCCM, wanaweza kurejea enzi hizo na mpambano ule. Na hili la 2003 linaweza kuwa shule nzuri kwa wale wanaosema Nape katokea wapi, mbona kama kakurupuka tu!!!

Lakini hivi leo nikiitwa Nape .... Inabadili vipi msimamo wangu juu ya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi? Maana ndio jambo linaloumiza watu vichwa hasa baada ya kuona ni msimamo usioyumba, hata nikifa leo mbegu niliyoipanda haitapotea, waadilifu na wazalendo watasimamia hili bila kuchoka....

NI KAZI KUBWA SANA KAMA SIO KUTOWEZEKANA KABISA KUTAFUTA MATOPE KWENYE SAKAFU SAFI, BAADA YA KUKOSA MATENDO YA KIFISADI KWA NAPE KWA MUDA WOTE WA SIASA ZANGU ZA KITAIFA, WANABUNI HATA UPUMBAVU ILI MRADI WAMTAJE NAPE WAPATE USINGIZI. NITATETEA RASILIMALI ZA NCHI YANGU MPAKA MWENYEZI MUNGU, NASISITIZA MWENYEZI MUNGU AKIAMUA KUNICHUKUA.

Maneno haya yanaongeza tu morale ya kufanya kazi hasa kwakuwa ni ya kijinga, isipokuwa yananithibitishia kuwa nimepiga kisu kimegusa mfupa so nikiongeza nguvu kidogo naweza vunja mfupa uliowashinda wengi wakaishia kulamba asali mwambani..

1.Hakuna atayekuua kwani sidhani unaweza kuzuia lolote kwenye mapambano ya 2012 na 2015

2.Kukumbushia 2003 ulipigwa vita unamaanisha wewe upo kwasababu ya kulipiza kisasi

3.Ni jambo gani umelifanya ambalo linamaslahi yeyote kwa taifa zaidi ya kupiga kelele?

Daima nitatumia safu hii kukukumbusha pale utapokuwa baada ya kushindwa mapambano naona siku zako za kushaindwa zimekaribia na hofu moyoni kwako umetanda na unatapatapa tuu.

Daima tambua usijiingize kwenye vita kwa kutegemea nani atakulinda matokeo yake anayetakiwa kukulinda anatapatapa na kugeuka mtu asiye na upande wala msimamo.

Wako wapi Mukama na JK waliokutuma kwenye vita hii?
 
Kwanza kabisa Bwana Godwin watu kama nyie ndio tunawaita wasaliti na kama ingekua enzi za hayati baba wa Taifa ni wazi tunajua kabisa adhabu yako ingekua nini! Unathubutu vipi kutamka unayotamka eti anaelekea kushindwa? Wewe na hao mafisadi wanaotunyonya kaa shisha ya mikocheni ndio mnaelekea kushindwa na kwa kuona kwamba Nape hafikirii kurudi nyuma katika vita dhidi yenu mnaanza kumkatisha tamaa!!

Nape anajua anachokifanya na siku zote mungu hamtupi mja wake kwa msimamo aliokua nao bwana Nape ni rahisi kumtisha mtu yoyote yule na kama kweli hammuogopi Nape basi acheni kupiga kelele wala kufanya kampeni kuanzia sasa mpaka ifike 2014 ndio muanze kampeni kama kweli mnajiamini!

Mnajua kazi iliyopo kuingia Ikulu 2015 ni kubwa na ndio maana kila kukicha mnabuni mbinu za kumrudisha nyuma kijana na hilo kwa TAARIFA YENU sie watanzania wachache wazalendo(nawazungumzia baadhi ninaowajua) tutahakikisha kwamba Nape anafanikiwa katika hii vita na kama kweli bado unaamini NAPE ANATUMWA basi nina mashaka kama hata umri wako sahihi unaujua!

Salamu kwa baba zako mafisadi waambie hivi 2015 LAZIMA KIELEWEKE NA KAZI IMEANZA RASMI JANUARY MWAKA HUU!!!!!!!!!!
 
Taifa lina mifumo yake ya kutenda haki, na kama ukifikia wakati wa kumuita mtu fisadi bila ya kumfikisha mahakamani hili ukweli ujulikane na haki itendeke ikibidi huyo unayemtaja fisadi afungwe kwa makosa aliyoyafanya katika cheo na madaraka yake basi hiyo si haki bali ni fitina na majungu.

Nadhani wote mnatambua Nape ni mtumwa wa rais na katibu mkuu wa chama , sasa inamaana unataka kusema imefika wakati mtu anafanya ufisadi katika taifa na rais na katibu mkuu wa chama wanatuma mtu apige kelele badala ya wao kutumia vyombo husika kuchukua hatua? kama imefika hapo basi hakuna maana ya kuita nchi yenye utawala na bora wanyamaze na tusisikie kelele zao,

sidhani unaposema kuwa mungu hamtupi mja wake unamaana gani ? lakini sidhani kuwa tukio la wao kupiga kelele kila siku na kutembea nchi zima kuambia kuwa lowassa ni fisadi ndio itamfanya mtu kuonekana mwenye haki.

Kama unadhani nawewe kujiunga na Nape kutakupa tija ni vema ukafanya hivyo ila sidhani kuwa kati yako wewe na Nape kuna mtu anayestahili kuitwa mzalendo bali fanyeni hivyo kwa sababu ya matumbo yenu.

Kusema kuwa 2014 ni bado ni kupotosha umma na kutaka kutimiza matakwa yenu ya kisiasa.

tunatambua yote na nini kinaendelea kutaka kuhujumu watu ndio maana Nape ,jk na mukama wanaendelea na juhudi zao za kutaka kuweka mtu wao, walianza kwa membe baada ya kuona hana lolote wakaamia kwa asha migiro na kwa kufanikisha hilo wamemteua SEFUE kuwa katibu mkuu kiongozi ili kumjengea njia ndani ya serikali migiro na kundi lake, lakini tambua lowassa si sitta kitendo cha kumwondoa sitta uspika kilikuwa ni cha kibaguzi wa kijinsia na kwa upande mwingine kimefanya nacho kukitilia maanani na mikakati nadhani imekamilika.

Ukimwona Nape mwambie zoezi lake analolifanya na kufanya vikao vyake kwenye ofisi za TBC1 si siri bali wale anaoendeleza nao vikao si watu wake bali ni watu wanaonteketeza zaidi.

@2014
bado nafasi ziko wazi kwa kila mwenye sifa za kugombea nadhani ata nyinyi wazalendo chukueni fomu, lakini kumbukeni kuwa technolojia imekuwa msizungumze mengi kwenye simu kama anavyofanya Nape kwani ni mchanga ata kujua simu hazina siri tena.

Nina mashaka na uelewa wako sijui nani anakusaidia kuamka asubuhi, make sure its a right person manake pumba ulizoongea hapo hatari tupu Godwin ur a disgrace to human race.....a MAN for that matter!!!!
 
Join Date : 19th January 2012
Posts : 17
Rep Power : 304

nadhani endelea kwani naona umejisajili kwa sababu ya kuja kubishana kuhusu hoja za lowassa. karibu Jf ukifika si lazima uchangie, soma kwanza upepo ukikomaa ndio uanze kuchangia.
 
Hahahaaa! Kwanza niseme hili la kijinga kabisa kuzungumzwa na watu wazima katika mjadala wa siasa ya nchi lilianzishwa mwaka 2003, wengine hata siasa mlikuwa hamjui ni kitu gani. Lengo likiwa kujaribu kumzuia Nape asiwe Mwenyekiti wa UVCCM, wanaweza kurejea enzi hizo na mpambano ule. Na hili la 2003 linaweza kuwa shule nzuri kwa wale wanaosema Nape katokea wapi, mbona kama kakurupuka tu!!!

Lakini hivi leo nikiitwa Nape .... Inabadili vipi msimamo wangu juu ya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi? Maana ndio jambo linaloumiza watu vichwa hasa baada ya kuona ni msimamo usioyumba, hata nikifa leo mbegu niliyoipanda haitapotea, waadilifu na wazalendo watasimamia hili bila kuchoka....

NI KAZI KUBWA SANA KAMA SIO KUTOWEZEKANA KABISA KUTAFUTA MATOPE KWENYE SAKAFU SAFI, BAADA YA KUKOSA MATENDO YA KIFISADI KWA NAPE KWA MUDA WOTE WA SIASA ZANGU ZA KITAIFA, WANABUNI HATA UPUMBAVU ILI MRADI WAMTAJE NAPE WAPATE USINGIZI. NITATETEA RASILIMALI ZA NCHI YANGU MPAKA MWENYEZI MUNGU, NASISITIZA MWENYEZI MUNGU AKIAMUA KUNICHUKUA.

Maneno haya yanaongeza tu morale ya kufanya kazi hasa kwakuwa ni ya kijinga, isipokuwa yananithibitishia kuwa nimepiga kisu kimegusa mfupa so nikiongeza nguvu kidogo naweza vunja mfupa uliowashinda wengi wakaishia kulamba asali mwambani..

Hakika Nape your Brave Boy na unakazi, fahamu hayo ndio maisha yetu Watazania na Taifa letu tuliopofika kuwa hata asiyefaidika na Pesa za Kifisadi naye uamka kutetea ufisadi au kumtetea fisadi,na ndio maana kwenye mitaa yetu utakuta mwanaume mzima kasimama kwenye vilinge vya kahawa "eeh fulani mjanja sana ana hela mbwa haluki".Tumepotea hakika kama Taifa tunaitaji watu ambao ni BRAVEl akini wakati wanatenda mambo ya kutusaidia kutoka kwenye matatizo ya kiataifa dhidi ya UFISADI wataonekana kama Wendawazimu.

Na ndio maana Mwalimu alisema kulitetea Azimio la Arusha kunaitaji mwendawazimu,hakika mwendawazimu wa leo ni wewe!!!!!!!!na kwa kuwa ni mwendawazimu wa faida ya wengi hakika Mungu atakuwa nawe.Na wanaokuna katika picha ya wendawazimu watakuja kujua faida zake pindi wtakapoona kumbe ufisadi ni laana, uovu na kutokumjua Mungu, a mwisho wa uovu ni aibu.

Kwa wale wanaokuzodoa kuhusu Mzazi wako kati ya Pro na Brigedia,hakika kama kweli wanaondika thread humu ndani za mada kama hiyo nao wakajiita ni great thinkers basi ni aibu sana.Kwa msomi mwenye ulewa akipewa profile ya watu wawili Pro na Brigedia kisha akaambiwa atoe jibu la haraka kuw Nape mtoto mdogo anaepigana na kuangaika na mafisadi wenye fedha nyingi na majina makubwa na achoki kupiga kelele kuwahusu pasipo woga atakuwa ni mtoto wa nani.

Hakika kwa msomi yoyote kwa maana ya intellectul jibu litakuwa Brigedia kwa kuwa inajukulikana kuwa watoto ulithi genetical asilimia 80% ya tabia za wazazi wao na asilimia ishirini 20% uwa ni mazingira [Environment].Ukiona wapuuzi wanakuja na hoja zisizo na mashiko jua maji shingoni na vyanzo vya style waliojenga ya kuishi kwa kutega majungu vinakaribia kushika ardhi toka walikokuwa.

Kwenye nyekundu nimepapenda kwa kuwa wenye ufahamu wa hayo ni wachache sana, wengi wenye tabia za kifisadi na matendo ya kifisadi uwa wanalala wakiota kusikia mabaya yakitokea kwako na pengine wengine wakiendesha mambo mabaya dhidi yako pasi ufahamu wako wewe,lakini kwa kuwa Mungu anasababu na wewe basi wanaishi kukuona kila siku unawaenyesha, hakika siku zote nasema UFISADI utaondolewa na style ya SISIMIZI KUINGIA KWENYE MKONGA WA TEMBO.

Mtu mwenye Mungu ndio uweza kuiona picha hii,kwa kuwa kama ujui Mungu ufanya kazi vipi ndio hivyo hivyo watu hawajui Unavyofanya kazi ya kupambana na mafisadi [David na Goliath].Na Mungu siku zote anapowaibisha watu wenye mamlaka na nguvu kubwa duniani zenye ouvu mkubwa kwa watu wake utumia watu wanaonekana hopeless na wenye sifa zenye utata kwenye jamii,ambazo Mungu uzianda kwa kuwa anajua zitatumika wapi.

Hivyo kwa Mafisadi ili isiwe aibu kubwa ni vyema kuwai mapema na kutubu kwa viongozi wao wa dini na kuludisha mali zote walizoibia Taifa,na kuachana na siasa,au kusubilia adhabu ya Mungu ya aibu.

Nape kwenye msisitizo wako nami nasisitiza ni kwa Mapenzi ya Mungu na si Mapenzi ya Mwandamu au Wanadamu,japo wanaumia sana kwa kuwa hawajui kwanini aiwi kama wanavyotaka kuna nini?Napapenda hapo kwa kuwa uwa ni siri ya watu wa Mungu Tu.
 
Binafsi ni mmoja wa wapinga sera za sasa za CCM lakini lazima niseme bila unafiki,kwa umri na kwa jinsi siasa za Tanzania zilivyo,Kijana Nape anaudhubutu wa kushangaza! Anayojaribu hata wazee wameshindwa!

Kwa waumini wa dini ya kikiristu hakika ni kama hadithi za David na Goliath kwenye Biblia,Ila najua naye atakuwa si mvivu wakutafuta busara za wazee.
 
Lowasa ana haki ya kutetewa japo ni mfanyabiashara nape shida kubwa aliyonayo ni kupenda kuongea na vyombo vya habari kwasababu kama kuna shida nyumbani kwako mnaitana na kuzungumza kimya kimya na kurekebishana ili muweze kuendelea na kama wakikiua chama chao hiyo damu itawaandama siku zao zilizobakia duniani na watakuwa hawajawatendea haki wafuasi wao kabisa
 
Hahahaaa! Kwanza niseme hili la kijinga kabisa kuzungumzwa na watu wazima katika mjadala wa siasa ya nchi lilianzishwa mwaka 2003, wengine hata siasa mlikuwa hamjui ni kitu gani. Lengo likiwa kujaribu kumzuia Nape asiwe Mwenyekiti wa UVCCM, wanaweza kurejea enzi hizo na mpambano ule. Na hili la 2003 linaweza kuwa shule nzuri kwa wale wanaosema Nape katokea wapi, mbona kama kakurupuka tu!!!

Lakini hivi leo nikiitwa Nape .... Inabadili vipi msimamo wangu juu ya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi? Maana ndio jambo linaloumiza watu vichwa hasa baada ya kuona ni msimamo usioyumba, hata nikifa leo mbegu niliyoipanda haitapotea, waadilifu na wazalendo watasimamia hili bila kuchoka....

NI KAZI KUBWA SANA KAMA SIO KUTOWEZEKANA KABISA KUTAFUTA MATOPE KWENYE SAKAFU SAFI, BAADA YA KUKOSA MATENDO YA KIFISADI KWA NAPE KWA MUDA WOTE WA SIASA ZANGU ZA KITAIFA, WANABUNI HATA UPUMBAVU ILI MRADI WAMTAJE NAPE WAPATE USINGIZI. NITATETEA RASILIMALI ZA NCHI YANGU MPAKA MWENYEZI MUNGU, NASISITIZA MWENYEZI MUNGU AKIAMUA KUNICHUKUA.

Maneno haya yanaongeza tu morale ya kufanya kazi hasa kwakuwa ni ya kijinga, isipokuwa yananithibitishia kuwa nimepiga kisu kimegusa mfupa so nikiongeza nguvu kidogo naweza vunja mfupa uliowashinda wengi wakaishia kulamba asali mwambani..

For once you've touched my heart! God will always lead your way and I will always remember these words whenever I pray.

Ignore words of Godwine's kind, instead don't retreat nor surrender until the war is won.
 
Daima hakuna timu inayosema inaenda kushindwa kwenye mechi, kuna wakati Tanzania walisema wanaenda kushinda mechi dhidi ya brazil, Tuliifananisha Tanzania na daudi tukaiita Brazil ni Goliati, lakini mwisho wa siku mechi ikachezwa na Goliati akaibuka mshindi wa mechi.

Napenda kusema kitu nitachojitahidi kuwasaidia kundi la Nape baada ya kushindwa ni kuzuia wasinyongwe au kufukuzwa nchi.....
 
Hivi hawa jamaa si walikua ni maadui japokua ni chama moja? Leo asubuhi nimesikia redioni eti Edward Lowasa na Nape Mnauye watapanda jukwaa moja kumnadi mgombea wao pale maeneo ya Kikatiti Arumeru Mashariki! Souce Redio One Nipashe!
 
Waache tu waje, hapa Meru kinaeleweka Mkuu. Hakuna haja ya kuwa na papara kiongozi!!!
 
Kwani kuna dhambi? katika siasa hakuna adui wa kudumu wa;a rafiki wa kudumu tambua hilo ila hao ndio CCM wakikwambia tukutane Kariakoo wewe nenda Mbagala kabisa, hawana ukweli chuki na visasi vyao ni unafiki mtupu utafikiri Ile Sendeka na upambanaji wa rushwa wa kinafiki huku nampinga Lowassa halafu anapita mlango wa nyuma kuomba hela na kumuunga mkono katika urais 2015.
 
nape ni sawa na mtikila alivyokua anamkandia rostam ni fisadi huku yeye mwenyewe ana sign vocha za mshiko toka caspian
 
Hapo sasa wanajimaliza wenyewe maana ni kiasi cha kuwakaanga kwa mafuta yao.
 
Hapo nape ndo anadhihirusha uzumbukuku wake, vijana wenziwe wakiwambia ni duge jinga anasema wanamfanya punching bag, sasa ngoja wachangie jeneza na lowasa wataelezana vizuri himo ndani.
KWA NAPE PEKE YAKE:
Ili inchi hii ipige hatia fulani mbele inabidi CCM ife kabisa izikwe, CCM ni kikwazo cha kutokusonga mbele kama Kenya.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom