mnyukano na nani? mkuu hivi NAPE unamuweka na Lowassa, plse.....Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
hapa umeongea point kwa mara ya kwanza, NAPE ni vuvuzera la chama na EL ni class nyingine - engine ya CCM kwa sasa anayebisha anitafute kwa PM.Huwezi kumfananisha Lowassa na Nape hata siku moja Nape ni mdananda mbele ya Lowassa.
Lowassa rank yake ni rais Kikwete.
Lowasa hana nguvu kuliko Amin, kuliko Ghadaffi, kuliko Hosni Mubarak, kuliko Arap Moi kuliko......... lakini kawaulize hao waliokuwa wanaitwa ma-giant leo wako wapi?
Nape anaweza kuonekana kama sisimizi na Lowasa kama tembo lakini mnajua sisimizi akimwingilia tembo masikioni nini kinatokea!!
Mbona mnakuwa watu wasio na fikira pevu? Kwa hiyo ile riport ya Mwakyembe mliyoishangilia ilikuwa fake? Whatever! mtu hawezi kufikia level aliyokuwa nayo (PM) halafu akajipima mwenyewe na kuachia ngazi leo tumuone anafaa urais???? I shall be the last to accept this fool...ness. Mjue kuwa kesi ya richmond itafufuliwa tu na mimi mwenyewe kama si mwanangu siku zijazo!
CDM wasiwasi wao mkubwa ni lowasa kuwa mgombea wa urais 2015, wanajua kuwa jamaa atachaguliwa kwa 80% au zaidi.
Mi naona CCM iweke mtu asie na mvuto ili CDM isidhalilike kiasi hicho. Lazima vyama vya upinzani vipate hata kura chache ili wasipotee kwenye siasa. Tunahitaji waendelee kuwepo ili misaada iendelee kuja TZ.
Na ni muhimu sana CDM wamuweke mtu mwenye mvuto wa hali ya juu ili wapate hata 30% ya kura.