Nape vs Lowassa

Nape vs Lowassa

Status
Not open for further replies.
jh.jpg

wacha wacheze na mziki huuhii ilikuwa ni jana sorurce mjenjwa
PIPOZ%2BPAWA.jpg
 
Huwezi kumfananisha Lowassa na Nape hata siku moja Nape ni mdananda mbele ya Lowassa.

Lowassa rank yake ni rais Kikwete.

Ni kweli lowasa ni rank ya kikwete kwa wizi, tena anaweza kuwa juu kidogo ya jk kwa 0.243%
 
Huwezi kumfananisha Lowassa na Nape hata siku moja Nape ni mdananda mbele ya Lowassa.

Lowassa rank yake ni rais Kikwete.

Unamuongelea lowasa yupi? kama ni yule mbunge wa monduli, yule mwizi kwa stail ya richmond, aliyepiga dili jengo la wanaojiita vijana wa ccm pale lumumba? unaweza kuwa na sifa ya wizi wa kuku wewe! manake mwizi humsifia mwizi mwenzake.
 
kumbe NAPE anawawasha kuliko EL? Poleni sana,CCM hurumbana kisera pia hupatana kisera baada ya kujikosoa......Hata kama EL atavuliwa GAMBA atabaki kuwa CCM damu damu,uzuri wa CCM haifukuzi mwanachama bali inamkosoa akifanya makosa. CDM mnaomba dua CCM isambaratike?
 
Unataka akamnadi Nassari??. Tupo kwa ajili ya kuijenga Tanzania, kutofautiana kiitikadi ni jambo la kawaida.
Loo...! kumbe ufisadi ni itikadi ya CCM!
 
Unataka akamnadi Nassari??. Tupo kwa ajili ya kuijenga Tanzania, kutofautiana kiitikadi ni jambo la kawaida.

Kha hivi wizi nao ni itikadi watz ubongo wetu mbona afadhali ya kuku
 
Bantam na heavyweight ni vitu viwili tofauti mada iwe JK vs EL. NaPe si ni kitoa ush..zi tu? anatumwa ongee na ye ndo anazidisha mbwembwe pasipo kujua JK anamalizia political life yake wakati ye ndo anaanza. 2015 ndo watampoteza kabisa
 
Nape ni vuvuzela asiyekuwa na kichwa wala miguu,hajui analolifanya maskini hadi unamuonea huruma.
 
Poor analysis. Nani hajui kwamba wengi wa wabunge wa CCM walikuwa-sponsored na Lowassa? Kushangiliwa hakumaanishi chochote zaidi ya wajibu wa wapambe kwa master wao. Mwisho wa yote maamuzi ya chama hayachukuliwi bungeni, ni kwenye vikao vya chama ambavyo tayari vimeshaamua kwamba yeye na wenzake wapotee. Wewe unashangaa yeye kutawala bunge, mbona alipomuondoa Sitta na kujigawia kamati za bunge wote tulijua kwamba vikaragosi wale walikuwa wake? In this contest, losser ni Lowassa na yeye anajua na ndiyo maana anahangaika hata kufikia kufanya outsourcing ya nguvu za giza kutoka Nigeria. Maji ya shingo!

NImeipenda hii. EL hana chake ndani ya CCM. KUna wabunge tena wengi walikuwa sponsored wakati wa kugombea ubunge kila mmoja sh. milioni tano. Sasa kazi wanayo. Watapiga makofi weeee lakini yataishia mjengoni.

Du hapa kunao neno lakini!!!!ndio maana baadhi ya mishemishe za wabunge zimedunda wanataka kuacha ubunge ama kweli kalia kuti kavu, yetu macho.
 
Nape Vs Lowasa ni kama kupamba mbambano kati ya Sungura na Tembo. Kasungura kataruka juu ya mgongo wa tembo na kutulia tuli
 
Sasa Lowasa akipita akawa rais na nape atasemaje?
 
hapa ndo utaamini kuwa ccm imeoza pia ccm yote imejaa mafisadi,
na ninaomba wamsimamishe fisadi lowasa kwani TISS aka USALAMA WA TAIFA wataiba kura mpaka wachoke maana EL atashindwa vibaya
 
Siwatofautishi sana ila wanazidiana kidogo viwango vya ufisadi.......lowasa yuko juu kwa ufisadi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom