Atakuwa tu wewe huna ubavu wa kumzuia kuwa RaisMnamsema el aliyejitengenezea kampuni feki na kujichotea milioni 55 kila siku? Kweli watz mabwege..... Kuna watu wanaamini el anaweza kuwa rais?
Lowasa anatisha Nape,sta,membe ni makanjanja uwez walnganishna na Lowasa Tz Presdent 2be 2015Godwine, Kwa mtazamo wangu, silaha aliyonayo JK ni Preventive Detention act, and I believe, ni halali kabisa kuitumia dhidi ya Lowasa. Nipe wewe zako zinazokufanya kuamini kuwa Lowasa Demigod.
me naamin amna gamba la kumzuia Lowasa..liwe gamba nape,gamba membe,gamba mwakyembe au gamba sta amna anayemuweza lowasa ata JK anakri daily hajaona wa kumzuia LowasaMnamsema el aliyejitengenezea kampuni feki na kujichotea milioni 55 kila siku? Kweli watz mabwege..... Kuna watu wanaamini el anaweza kuwa rais?