Nape vs Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape vs Lowassa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Godwine, Jun 25, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  ya ngoswe tumwachie ngoswe mwenyewe
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,315
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Lowasa will ultimately go.
   
 4. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani huu wakati mwafaka kwa NAPE kujiondoa katika chama cha CCM na kujichimbia kaburi,sijui ni nani alimdaganya apambane na CAPITALIST LOWASSA NA WENZAKE WAWILI,kwa tukio la jana LOWASSA kushangiliwa kwa nguvu wakati akichangia hotuba ya waziri mkuu ilionyesha ni jinsi gani mtandao wake ulivyo nanguvu ndani ya wabunge wa CCM na ndiyo ule usemi wa kuwa asilimia 90% ya wabunge wa CCM Anawamiliki yeye jana ulidhihirisha kwa uma,NAPE anawakati mngumu sana.
   
 5. G

  Godwine JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  unadhani ni zana zipi walizonazo NAPE na JK za kuweza kumshinda lowassa kukabiliana nazo kwenye chama cha magamba mpaka wamkimbize
   
 6. G

  Godwine JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  je kama nape akikimbia chama nini mustakabali wa aliyemtuma kusema vile yani jk na mukama nao watakuwa kwenye wakati gani
   
 7. m

  mbaba Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wengi si wabunge wa viti maalum hawana lolote,kama wanataka kumtambua yeye ni nan wampitishe kugombea urais'Nape nawe mwenye kiti wako akupe rungu la kweli asiwe mnafiki la sivyo watakutoa kafara macapitalisit hawa,kweli vita hiyo inataka nguvu ya pamoja .fukkuza kwenye chama kabla hajapata kucha..japo kuwa najua chama kitamfia mikonon kwa yeyote atkae kabidhiwa2015 hii ndo tz bwana,hao wanao mshangilia wanafiki adi kwa mwenykit wao coz yeye ndo aliye tangaza kuvua gamba.so iweje gamba lishangiliwe basi mwenyekiti muongo gamba bado jipya asubii lizeeke 2015 ndo alivue..wanafiki wakubwa wale ata chenge watamshangilia nae pia Rostam si twaongozwa kwa njaa ukiahidia buku na kitenge cha kanga twawapa kura leo unayo yasikia twasononeka but ukombozi wa kweli unakuja.
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,315
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Godwine,
  Kwa mtazamo wangu, silaha aliyonayo JK ni Preventive Detention act, and I believe, ni halali kabisa kuitumia dhidi ya Lowasa. Nipe wewe zako zinazokufanya kuamini kuwa Lowasa Demigod.
   
 9. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu kijana mwenzetu NAPE alikurupuka kumbapambana na macapitalist,kwa upande wa MKam na Jk,mustakabali wao wapo tayari kukiua chama na kukigawa hasa JK kwa ajiri ya kumuandaa mtu wake ili kuja kumlinda baada ya utawala wake pamoja na mali zake mana ameshakuwa na maadui na marafiki zake wakubwa waliotumia pesa zao na pesa za kodi ya wananchi kumuweka IKULU rafiki yeye JK, na hapohapo kinalowassa wakiona usaliti mkubwa kwa JK kuwapa madaraka tena maadui zao wakubwa kina SITTA,MWAKYEMBE,hapohapo KUndi la kina lowassa likiwa na nguvu kwanzia NEC hadi kwa wabunge wa CCM,KIKWETE anawakati mgumu na chama kinaweza kupasuka kabisa mikonononi mwake,Hapo NI CONFLICT OF INTERECT
   
 10. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Lowasa ananguvu kwenye chama chao,msimwone yupo kimya
   
 11. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Preventive Detention Act?????Kwa kosa lipi? Jk atoke kwanza, halafu hao wengine watatoka wenyewe, vinginevyo tupige porojo tu.
   
 12. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lowasa amerudi toka Nigeria juzi juzi tu' siraha alizonazo Nape atajisalimisha mwenyewe.Lowasa ataondoka madarakan iwapo wananchi wakiamua na sio ccm.Kumbuka sasa hv n Mwenyekiti wa kamati ya bunge,mambo ya nje ulinzi na usalama!
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  yule dogo ana siku 11
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Poor analysis. Nani hajui kwamba wengi wa wabunge wa CCM walikuwa-sponsored na Lowassa? Kushangiliwa hakumaanishi chochote zaidi ya wajibu wa wapambe kwa master wao. Mwisho wa yote maamuzi ya chama hayachukuliwi bungeni, ni kwenye vikao vya chama ambavyo tayari vimeshaamua kwamba yeye na wenzake wapotee. Wewe unashangaa yeye kutawala bunge, mbona alipomuondoa Sitta na kujigawia kamati za bunge wote tulijua kwamba vikaragosi wale walikuwa wake? In this contest, losser ni Lowassa na yeye anajua na ndiyo maana anahangaika hata kufikia kufanya outsourcing ya nguvu za giza kutoka Nigeria. Maji ya shingo!
   
 15. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We want leaders with balls! Where is Mubarak today with his rhetoric over the Nile River water rights? Shinyanga, Nzega na Monduli kamwe hawatamsahau.
   
 16. M

  Makupa JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nape ni kichuguu lowasa ni mlima kilimanjaro mkiwafananisha hamumtrndei nape haki
   
 17. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyote ongeeni siku 11 zijazo zitajulikana mbivu na mbichi.
   
 18. L

  LAT JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  uliingia JF kwa fujo sana , sasa naona tuliiiiii !
   
 19. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyote ongeeni siku chache zijazo zitajulikana mbivu na mbichi, ni kwetu watafukuzwa? Mtawajua wenye mguvu katika nchi hii.
   
 20. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kati ya Lowassa na Nape ni nani aliyopo ktk nafasi ya maamuzi? Lowassa ni Mbunge (CCM) wa Monduli na ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nje, Ulinzi na Usalama. Nape ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na pia ni Mjumbe wa Secretariat ya CCM.
  Secretariat inapendekezwa na Kamati Kuu ya Chama na Kuridhiwa na Halmashauri Kuu ya Chama. Inafanya kazi za Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM. Mbunge anateuliwa na wananchi jimboni kwake kwa kazi za maendeleo ya jimbo. Kamati zote za Bunge zipo kwa mujibu wa KANUNI tu. Kazi yao kubwa ni KUSHAURI tu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...