Wamepunguza kilevi kwa kuwa wameshtuka kuona idadi ya mapato ya beer imeshuka mno,watu wamejikita kunywa vinywaji vikali ambavyo kwa bahati mbaya sio rahisi kuwadhibiti ukilinganisha na viwanda vya beer.Ni kweli mkuu,
Maana kwa sasa Bei ya vilevi itakua chini, watu watalewa sana wasahau shida zao, na kwakua watakua wanafurahia ulevi itakua rahisi kuleta Epa nyingine, watu wakiwa na furaha muda wote hakuna atayeuliza chochote.
Kabisa mkuu.Kumsikiliza ilikuwa mpaka kichefu chefu dah how can a man lower himself like that just to be considered, it’s a pity.
Shibe mwana malevya njaa mwanamalegeza.
I have come to respect Makamba as a politician; his integrity and self respect never sways no matter the circumstances.
Sikubaliani na Makamba sehemu mbili on his political views. First obsession na mazingira whereby some areas could be costly kwa mazingira ya third world na ushamba wake wa kujifanya matawi kila mtu maarufu Tanzania na duniani supposedly he is associated with.
But January ni mtu mwenye kujitambua and has a stance.
Huyu Nape na Mwigulu njaa kweli kweli na watu wakujipendekeza sijapata kuona.
Umepandisha kodi kwenye mafuta na.mawasiliano ya simu.bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.
Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...... kwa hiyo watanzania wajiandae kuchota pesa maana zinakuja na vyuma havitokaza tena
Sawa na wale wanaosema hii ni awamu ya sita, (awamu ya sita kivipi) yaani kuna watu ni kichefuchefu sana!.Bajeti ya mama na Mwigulu au ya JPM na Mpango? By the time JPM anafariki bunge la bajeti lilikua limeshaanza...au siku hizi bajeti inaandaliwa ndani ya Miezi mi2?or bajeti ni ya aliiandaa au alieisoma?
Huyu jamaa ana unafiki mwingi sana.
Umenikumbusha ulivyokwendaga ikulu kwa miguu ukilia. Ulikuwa unalia nini?bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.
Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...... kwa hiyo watanzania wajiandae kuchota pesa maana zinakuja na vyuma havitokaza tena
Nasikia na mafuta ya taa nayo yamewekewa kodi mpya ETI kwa sababu wenye vituo vya kuuza petroli wanayatumia kuchakachua na hivyo kukwepa kodi kwenye petroli. Na hili likoje wana JF!?Hili litamnufaisha nani, mlalahoi au nani?1.Kodi ya mejengo kulipwa kwenye Luku means hadi wapangaji watakua wanalipa kodi ya jengo ambalo sio lao.
2.Kodi mpya kwenye miamala ya fedha kwenye simu imeongezeka mpaka elfu 10.
3.Watumiaji wa line za simu kutozwa kodi iliyopewa jina la kodi ya uzalendo.
4. Kodi kwenye petrol na Diesel kuongezeka maradufu na kupelekea nauli na bidhaa zinazosafirishwa kupaa bei.
Mwambieni huyo Nape hizi story akaongee na mabeki tatu.