Nape Nnauye: Kwa bajeti hii ya Rais Samia hela zitamwagika mtaani watanzania tujiandae kuzichota

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
51,965
41,441
bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.

Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...... kwa hiyo watanzania wajiandae kuchota pesa maana zinakuja na vyuma havitokaza tena
 
1.Kodi ya mejengo kulipwa kwenye Luku means hadi wapangaji watakua wanalipa kodi ya jengo ambalo sio lao.
2.Kodi mpya kwenye miamala ya fedha kwenye simu imeongezeka mpaka elfu 10.
3.Watumiaji wa line za simu kutozwa kodi iliyopewa jina la kodi ya uzalendo.
4. Kodi kwenye petrol na Diesel kuongezeka maradufu na kupelekea nauli na bidhaa zinazosafirishwa kupaa bei.

Mwambieni huyo Nape hizi story akaongee na mabeki tatu.
 
Ni kweli mkuu,

Maana kwa sasa Bei ya vilevi itakua chini, watu watalewa sana wasahau shida zao, na kwakua watakua wanafurahia ulevi itakua rahisi kuleta Epa nyingine, watu wakiwa na furaha muda wote hakuna atayeuliza chochote.
 
Maendeleo hayana nwisho, kila siku kila karne kila millenium kuna maendeleo ya kufanya ila maisha ya mtu mmoja mmoja yana mwisho. Tuitunze Tanzania, tufanye mambo kwa kiasi na tufurahie maisha na bahati ya kuwa Tanzania.

MAMBO YA UZALENDO WA VIONGOZI KUISHI SEHEMU NZURI, ULINZI, VYAKULA ILA WENGINE WATESEKE KWA AJILI YA TANZANIA YA KESHO NI UJINGA.
 
Kumsikiliza ilikuwa mpaka kichefu chefu dah how can a man lower himself like that just to be considered, it’s a pity.

Shibe mwana malevya njaa mwanamalegeza.

I have come to respect Makamba as a politician; his integrity and self respect never sways no matter the circumstances.

Sikubaliani na Makamba sehemu mbili on his political views. First obsession yake na mazingira whereby some aspects could be costly kwa ya third world; na ushamba wake wa kujifanya matawi kila mtu maarufu Tanzania na duniani supposedly he is associated with.

But January ni mtu mwenye kujitambua and has a stance.

Huyu Nape na Mwigulu njaa kweli kweli na watu wakujipendekeza sijapata kuona.
 
Bajeti ya Mama na Mwigulu au ya JPM na Mpango? By the time JPM anafariki bunge la bajeti lilikua limeshaanza...au siku hizi bajeti inaandaliwa ndani ya Miezi mi2?Bajeti ni ya aliiandaa au alieisoma?
Huyu jamaa ana unafiki mwingi sana.
 
Wa
Ni kweli mkuu,

Maana kwa sasa Bei ya vilevi itakua chini, watu watalewa sana wasahau shida zao, na kwakua watakua wanafurahia ulevi itakua rahisi kuleta Epa nyingine, watu wakiwa na furaha muda wote hakuna atayeuliza chochote.
Wamepunguza kilevi kwa kuwa wameshtuka kuona idadi ya mapato ya beer imeshuka mno,watu wamejikita kunywa vinywaji vikali ambavyo kwa bahati mbaya sio rahisi kuwadhibiti ukilinganisha na viwanda vya beer.
Kibaya zaidi walevi wengi wametafuta kilevi mbadala nje ya TBS,navyo ni gongo,na pombe nyingi za kienyeji. Licha ya serikali kukosa mapato lakini gongo na pombe za kienyeji ni hatarishi kwa afya ya mywaji.
 
Kumsikiliza ilikuwa mpaka kichefu chefu dah how can a man lower himself like that just to be considered, it’s a pity.

Shibe mwana malevya njaa mwanamalegeza.

I have come to respect Makamba as a politician; his integrity and self respect never sways no matter the circumstances.

Sikubaliani na Makamba sehemu mbili on his political views. First obsession na mazingira whereby some areas could be costly kwa mazingira ya third world na ushamba wake wa kujifanya matawi kila mtu maarufu Tanzania na duniani supposedly he is associated with.

But January ni mtu mwenye kujitambua and has a stance.

Huyu Nape na Mwigulu njaa kweli kweli na watu wakujipendekeza sijapata kuona.
Kabisa mkuu.
 
bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.

Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...... kwa hiyo watanzania wajiandae kuchota pesa maana zinakuja na vyuma havitokaza tena
Umepandisha kodi kwenye mafuta na.mawasiliano ya simu.

Hizo hela zitamwagika wapi?

Anawaambia wapumbavu labda.
 
Bajeti ya mama na Mwigulu au ya JPM na Mpango? By the time JPM anafariki bunge la bajeti lilikua limeshaanza...au siku hizi bajeti inaandaliwa ndani ya Miezi mi2?or bajeti ni ya aliiandaa au alieisoma?
Huyu jamaa ana unafiki mwingi sana.
Sawa na wale wanaosema hii ni awamu ya sita, (awamu ya sita kivipi) yaani kuna watu ni kichefuchefu sana!.
 
bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.

Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...... kwa hiyo watanzania wajiandae kuchota pesa maana zinakuja na vyuma havitokaza tena
Umenikumbusha ulivyokwendaga ikulu kwa miguu ukilia. Ulikuwa unalia nini?
 
1.Kodi ya mejengo kulipwa kwenye Luku means hadi wapangaji watakua wanalipa kodi ya jengo ambalo sio lao.
2.Kodi mpya kwenye miamala ya fedha kwenye simu imeongezeka mpaka elfu 10.
3.Watumiaji wa line za simu kutozwa kodi iliyopewa jina la kodi ya uzalendo.
4. Kodi kwenye petrol na Diesel kuongezeka maradufu na kupelekea nauli na bidhaa zinazosafirishwa kupaa bei.

Mwambieni huyo Nape hizi story akaongee na mabeki tatu.
Nasikia na mafuta ya taa nayo yamewekewa kodi mpya ETI kwa sababu wenye vituo vya kuuza petroli wanayatumia kuchakachua na hivyo kukwepa kodi kwenye petroli. Na hili likoje wana JF!?Hili litamnufaisha nani, mlalahoi au nani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom