Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Nape 2015 wakati wa uchaguzi na baada ya kuzima bunge live, nilikuchukia na ulikiwa unanikera sana lakini katika hili nakuunga mkono na roho yangu imekusamehe!

kipindi umemchukia ulipata faida gani?? au yeye aliathirika nini?

wachawi bana
 
458810ebaed14be6c4ad81c11c9a31b1.jpg
ila hii ni MBOMBO NGAFU
 
Nape tunafahamiana. Ninakuzidi umri, elimu na uzoefu. Wewe hujawahi ku-experience mabadiliko ya serikali hususan katika nchi violent kama Rwanda, Burundi, Turkey na kwingineko. Uzoefu wako ni huo muda mfupi uliokaa na kuishi CCM. Unajua uluvyokuja DSM, kupokewa CCM Lumumba kujitambulisha kuwa wewe ni mtoto wa Mzee Moses Nnauye (apumzike kwa amani), kupelekwa UVT na kisha kufika hapo ulikofikia. Huijui Dunia nyingine nje ya CCM. Ninakushauri; Kaa Kimya!

khaaaaaa...etiiiii...hivi katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu uhuru wa kujieleza?
 
mimi nimesikia watu wakisema Ndugu Yetu Nape Moses Nauye Aliandika Barua ya Kujiuzuru Tangu Jana Jioni.

Nisema Kwamba Kama ni Ukweli Basi Ndugu Nape ni Kiongozi wa Kuigwa Katika Taifa Hili.

Ameonyesha Njia Kwamba Cheo ni Dhamana. Hii iwe Soma kwa viongozi wetu kwamba pale unapoona umetofautiana Misimamo na mkubwa wako basi Achia Madaraka ili kulinda heshima yako.

BG UP KIONGIZI.
 
Unamdanganya Nape wa watu. Hana ushujaa bali kajaa mihemko na viherehere visivyo na kifani. Nape kama nani aunde tume ya kumchunguza Mteule mwenzie wa Rais? Ushujaa ni kuvunja kiapo chake cha uwaziri kwa kumdharau Rais wa nchi hadharani? Jitafakarini. Ama hamna akili iliyo sawasawa ama nanyi ni kati ya mashabiki msiochunguza mambo kwa jicho la tatu. Ugomvi binafsi Nape augeuze vita ya serikali kwa serikali nani atamuacha?
Hutaki kutafakari vizuri huhusu tukio zima,Mhe.Nape ni waziri mwenye dhamana ya habari na michezo na anasimamia sheria ya habari na vyombo vyote vya habari.......linapotokea tukio kama lililotokea la kiongozi (kama mkuu) ambaye ni mkuu wa mkoa kuvamia kwenye chombo cha habari()Radio/Tv na kushinikiza habari/kipindi kirushwe hewani atakavyo yeye bila kufuata vigezo na masharti ulitaka waziri mwenye dhamana na wizara ya habari achukue hatua gani!? na hata Mhe.Rais kabla ya kufanya mamuzi yoyote ilikuwa lazima apate ushauri kutoka kwa waziri mwenye dhamana ya habari...Hivyo Nape alichofanya ni sahihi kwa kuamua kuunda tume ya wadau na kuestablish juu ya nini kilitokea Clouds na kumjulisha Rais kwa ajili ya hatua stahiki...!Pia maamuzi ya Mhe.Rais kumuondoa kwenye nafasi yake hilo ndiyo swala watanzania wanajadili sasa kwanini imekuwa hivyo!
 
SWALI WANA JAMVI, KWA MUJIBU WA BARUA RASMI AMBAYO RAISI AMEFANYA MABADILIKO YA MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, JE, NAPE AMETENGULIWA UWAZIRI WAKE? KWA TAFSIRI FUPI BADO ATABAKI WAZIRI LAKINI HANA WIZARA. HAJATENGULIWA UWAZIRI BALI KAONDOLEWA WIZARANI....MAANA INGINE, WAZIRI WA KUSOMA NEWSPAPER TUU KWASASA......
 
Very unfair huyu jamaa kalelewa na chama since wayb ack alijitoa kwenye uchaguz na kinana alidhihak na kutimiza kaz yake ya uenezi leo hii anamwagwa kisa Bashite ukistaajabu ya Jecha utayaona ya Pombe..this is Tz....
Makubwa haya,yaani Bashiteeeeeeeee ulinganishe na Nape aaaah wapi na wapi Bashite hutaachwa hadi kieleweke.
 
Neno LA mungu ni jipya kila siku... Hebu nikumbusheni kipande kwenye agano jipya ambapo mtunza ghala/ mhazini sijui wa mfalme aliyekuwa mnoko sana na tabia nyingi za ovyo ovyo ila alipoona anakaribia kutumbuliwa akaanza kutenda mema.( akawa anawapa mazaga saga mengi wananchi).. Hata alipotumbuliwa akapata masela wengi wa kumpokea na kulia nae.. Nipeni huo mstari nizidi kutambua ukuu wa mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom