Mwenye nchi?***** zake sisi ndio wenye nchi ataenda uhamishoni sasa ivi
Mwana - mtotoMwenye Nchi ni MIMI na ndio maana naitwa MWANANCHI.
Mwenye nchi ni wananchi acha UJUHA ww kilazaNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Acha maneno ya uwoga nchi ya kwetu soteNape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi
Dah sasa ukisikia sikio kuzidi kichwa ndiyo hapa kwetu tz. Asiye sikia la mkuu.....series part IINape nauye ni jembe
Mheshimiwa Nape Moses Nnauye anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
Updates.
Tukutane saa nane kamili Protea Hotel karibu na St. Peter ntakutana na Wanahabari. Karibuni sana!
Gwajima kaingiaje hapa!?!?Hujui hata Gwajima alishirki kumtukana Jakaya kuwa hataki kumpa Magufuli Uennykt wa CCM
Nape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi
Nape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi
Gwajima kaingiaje hapa!?!?
Na kusema Jakaya hataki kumpa Magufuri uenyekiti ni tusi!?!?
Acha upashkuna sometimes tumia kichwa chako vizuri.