Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Chochea kuni Chochea huu moto mzuri sana, dawa ni kuchochea tu
 
Mwana - mtoto
Means wewe ni mtoto tu
Kuna wakubwa / wazazi
Lol
Mkubwa Mungu tu hapo. Maana ndio aliyeiumba Nchi. Na kwake kama bunadamu yanipasa niwe Mwana....!
Umehifadhi wapi uwezo wako wa kufikiri.?
Au ndio kulewa madaraka mpaka mnajifananisha na Mungu. Adhabu ipo njiani amini nakuambia.
 
17309863_191297941370073_4562067433340557631_n.jpg
 
Kwakua hatujui ataongea nn tuache azungumze kwanza, najua ana busara ya kutosha kujua kipi azungumze kwa wakati gani.
 
'Upashkuna' ukiona wa Kiume anatumia hiyo Lugha Jua Malinda yake yanafanana na ya Bash.ite
Haijalishi, ujumbe umefika na nimefurahi jinsi ulivyo penya kwenye hilo likibuyu lililo bebwa na shingo yako.
Siku nyingine mambo madogo kama haya tumia AKILI kujibu siyo kukurupuka kama UHARO.
By the way kwenye kamusi haijaandikwa hilo neno ni maalum kwa gender fulani.
So nasisitiza tena... ACHA UPASHKUNA.
 
Unajua kuwa Nape aliwahi kufutwa UVCCM 2007 na Mzee Makamba akasema Rufani ya Nape imefungwa mbinguni na Ardhini?
Ile Mzee Makamba alikuwa na Eddo wakamlia timing Nape na Mzee Makamba akamwambia Nape hakuna njia 'Kinachofungwa .......na ......kinafungwa pia. Naona walitaka wamfute uanachama kabisa. JK ndo aliokoa jahazi. Lakini sasa hali ni ngumu zaidi kwani Uncle Magu na nguvu za kikatiba alizokua nazo uchanganye na ubabe wake pamoja na visasi atampa jamaa wakati mgumu sana akipenda. Hivyo nape awe na option zaidi ya moja pamoja na maisha/siasa nnje ya CCM, kwani sioni nani atamtetea kwa Uncle wangu Magu (naweza nika sasahishwa). Magu atajiuliza pia athari za Nape kubwa zitakuwa akiwa nnje au ndani ya CCM?
 
Kazi kweli kweli, Nape anaenda kuaga ameshapangiwa kuwa balozi Wa nchi Fulani nyie ondoeni shaka, chama kipo makini,Na magazeti ni wakati wenu kupata faida nono kwa habari za udaku
 
Mkubwa Mungu tu hapo. Maana ndio aliyeiumba Nchi. Na kwake kama bunadamu yanipasa niwe Mwana....!
Umehifadhi wapi uwezo wako wa kufikiri.?
Au ndio kulewa madaraka mpaka mnanifananisha na Mungu. Adhabu ipo njiani amini nakuambia.
Haya bana nimekuelewa
Wabheja sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom