Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Kazi kweli kweli, Nape anaenda kuaga ameshapangiwa kuwa balozi Wa nchi Fulani nyie ondoeni shaka, chama kipo makini,Na magazeti ni wakati wenu kupata faida nono kwa habari za udaku
Tatizo la NAPE amekuwa mpuuzi sana. Hakuna wizara ya kula bata tena hata ambayo huwezi kupata stress za kutumbuliwa kama wizara ya NAPE. Tatizo lake amejichomeka chomeka kwenye matatizo hata yasiyomhusu mpaka kibarua kimeota nyasi

1.Makonda anataja wauza madawa, wewe unaitisha press unawatetea kina wema - Rais anaweka msimamo kwamba hata kama ni mkewe akamatwe then wewe unjenda tena kwa Sam dk 45 kuleta majibizano
2.Makonda anamtuhumu MAJIZO kuuza madawa then wewe anakualika uzinduzi na unaahidi kumlinda
3.Suala la Clouds unama kabisa serikali imejitenga na RAIS Kashaweka MSIMAMO then wewe unaendelea tu na mambo ya TUME

NIDHAMU ZERO !
 
Huyu ni shujaa wa kwanza ndani ya CCM aliyeamua kupambana na dikteta uchwara. Hongera na pole sana Nape bila shaka historia ya nchi yetu itakutendea mema kwa kukuona ni shujaa wa kwanza kupambana na huyu dikteta uchwara ambaye sasa anazidi kuwa tishio kubwa ya amani ya Watanzania.
 
Nape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi
Wenye nchi ni sisi watanzania. Sisi ni kama mwenye gari na Magufuli ni dereva. Sasa kuwa dereva kusikufanye ukadhani wewe ndiye mwenye gari! Umekabidhiwa tu gari kwa muda. Na pia muda wowote unaweza kunyanganywa gari na mwenyewe, sisi wananchi, wenye nchi! Kama huamini muulize ghadafi rip, rais wa zsmani
wa Tunisia, Morsi, Bagbo, Yahys Jammeh n.k.
 
Nape kwani uki kaa kimya ukalinda heshima kunatatizo mbona ushapewa heshima hadi hapo tuu uliopofikia

Huyu ni shujaa wa kwanza ndani ya CCM aliyeamua kupambana na dikteta uchwara. Hongera na pole sana Nape bila shaka historia ya nchi yetu itakutendea mema kwa kukuona ni shujaa wa kwanza kupambana na huyu dikteta uchwara ambaye sasa anazidi kuwa tishio kubwa ya amani ya Watanzania.
Ukiona Wapinzani wako wanakusifu ujue umekosea mahali!
 
Anakwenda kuwashukuru waandishi wa habari kwa kushirikiana kwa kipindi chote cha uwaziri wake
 
NITAMKUMBUKA KWA KUZUIA BUNGE LIVE
Aliyezuia bunge live ni baba yake Bashite ndio maana Nape amechoka kutumiwa.

Bashite Sr alishasema yeye ndio aliyemtesa Lema na yeye ndiye aliyezuia bunge live.

Mumuache mtoto wa Comred Nnauye.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom