Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Sema chochote baba Nape,na nafsi yangu itapoa.
Wamemwaga mboga nawe malizia tulale njaa wote leo.

Natamani sana kusikia Nape ataongea nn...sijawai kumpenda huyu bwana ila kwa hili alilolisimamia bila unafiki wowote nilitokea kuanza kumkubali.

Kwa hali ilipofikia hizi taarifa za Nape kuongea na wanahabari zikimfikia shilawadu usishangae Nape akafichwa sehemu salama. Hii taarifa imenitetemesha.

Magufuli baba siku ukisikia Bashite kaamrisha askari wawatwange watu risasi,,waziri wa ulinzi au mambo ya ndani akifungua mdomo tu naye mtumbue.
 
Leo nimeamin kiburi cha lemutuz kimetoka wapi mpaka kutuita watanzania manyumbu hakika makonda alimwambia lemutuz hao manyumbu siongeia na mbwa naongea na mfuga mbwa.
 
GO NAPE GOOOOO!
TUMEKUSAMEHE MAKOSA YAKO YOTE!
GOOOOOOOOO !SIMAMA TENA !
BADO MDOGO SANA KUANGUSHWA NA HILI!
IT IS UR TAKE OFF NA USIKUBALI WAKUWEKE CHINI!
SAFISHA MIKONO YAKO YOTE ULIYOTUFUNGIA BAO LA MKONO!
TUNAKUSAMEHE!
GOOOOOOOOOO!
 
Nape nimehuzunika sana na hapa nilipo nawaza sana labda ulivyoenda kupeleka riport. Haikupokelewa na ukaamua kujiuzulu ila kama umefanya hivyo wewe ni shujaa sana
 
Nape onyesha busara sasa!!
Kukaa kimya nako Ni busara tosha!!
Hao Ukawa wanao kusifu tangu uanze kutokubaliana Na baadhi ya maamuzi ya serikali hawawezi kukusaidia kwa lolote!! Rejea akina Mjema, Mpendazoe n.k!
 
Ninacho sikitika ni kwamba Nape alitumika vibaya na serikali ya CCM.
Kufuta bunge na kuleta sheria za ovyo ovyo.
Katumika na katelekezwa.
Nonetheless nampa gwala kwa kusimamia ukweli.
Haijalishi kama alikosea kwenye hizo harakati za kutetea ukweli au la.
What matters alithubutu, he stood up pale serikali ilipo onekana kusuasua and he did the right thing.
 
aliyekwambia nape anahama chama ni nani ? unafikili nape hajui kusoma alama za nyakati ,Nape akithubutu kuhama ataishi kama digi digi ndani ya msitu wa simba
Kwanza nikupe pole sana, hizi ndizo gharama za kuutetea ukweli daima. Lakini kumbuka kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Bila wewe na mzee Kinana kuifufua CCM leo tungekuwa tunasema mengine.

USHAURI:
Ninayeandika haya ni kiongozi ndani ya UKAWA, tungekuhitaji sana kwetu na tunakuhitaji sana lakini siyo saa hizi. Kwa jinsi nchi inavyoendesshwa tunahitaji wapinzani ndani ya CCM. Tunawahitaji wengi sana.

CCM inafika mwisho lakini tunataka kifo chake kitoke ndani ili utabiri wa mwalimu ukamilike. Nadhani umenielewa na nitarudi ku-comment chochote baada ya wewe kuonyesha msimamo wako.

Asante
 
Natamani nikutane na kikwete hata tusalimiane tu. Ingawa sijui kama kuna siku nitakutana nae.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom