Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,981
- 2,359
Tizama ID yake, anaitwa Askari Muogandio mabwege kama ww tusiyoyataka so mwenye nchi akikuomba mambo flani utampa kisa mwenye nchi? bwege we
Tizama ID yake, anaitwa Askari Muogandio mabwege kama ww tusiyoyataka so mwenye nchi akikuomba mambo flani utampa kisa mwenye nchi? bwege we
Nape pia omba msamaha kwa goli la mkono,kuzuia bunge live na mswada wa habari kandamizi uloupigania.Watanzania wana jua kila kitu.Nape muombe msamaha Lowassa kwa matusi uliyo mtukana kule Iringa.
NdiyoKwani kasema ataongea na wanahabari
Pumbavu kabisa wewe, no wonder nchi iko hapa ilipo. Ni kwasababu ya watu kama wewe. Halafu na likes umepewa. Mods ni bora wangeweka na kitufe cha dislike/thumbs down.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Nape nauye ni jembe
Sema mwenye madaraka sio mwenye nchiNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Nchi ya wasukuma ohooooooooooooooooNchi tunayo sisi....
ummy mwalimu ?KAMA WABUNGE BASHE, MSUKUMA NA MALIMA WALIWEKWA NDANI KATIKA VIKAO VYA CHAMA DODOMA, INAWEZEKANA PIA NAPE KUKAMATWA NA KUWEKWA NDANI LEO HII KABLA YA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KWA TUHUMA ZA UHAINI. HAKIKA NAPE UMEKUWA WAZIRI NYOTA NA KWA USHUJAA KATIKA AWAMU HII, UKIFUATIWA NA UMMY MWALIM. KAMA WENZIO WALIOFUKUZWA CHAMANI, USIFANYE UAMUZI WOWOTE KWA PUPA. JIUNGE NA TIMU YA WASHINDI NDANI YA CCM. 2020 INAKUJA.
watu mburula kama nyinyi ndio wakukaa kimya sasa hapa unaongea hivi ili ueleweke vizuri kuwa wewe ni mzigo mmojawapoNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya