Asishindane ili ushindane wewe au na wewe utakaa kimya mkuu??Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Kila mtu ana haki!! Hakuna mwenye nchi hapa??Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Mwenye nchi ? Nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki
Kwanza nikupe pole sana, hizi ndizo gharama za kuutetea ukweli daima. Lakini kumbuka kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Bila wewe na mzee Kinana kuifufua CCM leo tungekuwa tunasema mengine.
USHAURI:
Ninayeandika haya ni kiongozi ndani ya UKAWA, tungekuhitaji sana kwetu na tunakuhitaji sana lakini siyo saa hizi. Kwa jinsi nchi inavyoendesshwa tunahitaji wapinzani ndani ya CCM. Tunawahitaji wengi sana.
CCM inafika mwisho lakini tunataka kifo chake kitoke ndani ili utabiri wa mwalimu ukamilike. Nadhani umenielewa na nitarudi ku-comment chochote baada ya wewe kuonyesha msimamo wako.
Asante
Mwenye Nchi ni Mwananchi.Nape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi
Ili kubold ujumbe naangalau awaze stratage ya vita kwa njia nzuri zaidi na isiyo ngumu,an enemy within an enemy!!Hakukuwa na sababu wewe kusema ni kiongozi wa UKAWA
Imekuuma??!!Hakukuwa na sababu wewe kusema ni kiongozi wa UKAWA
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Mwenye nchi ni Mungu aliyeiumba mbingu na ardhi, wengine ni wapangaji tu ndiyo maana tunakufa na kuiacha nchi.Kwenye nchi ni Mungu tu.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Angalia jina kwanzaMwenye nchi ? Nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki