Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Ahahahaha, Nimesoma hii thread nimecheka sana jinsi Mpendazoe alivyokuwa muongo na Pro Chadema wameingia kichwa kichwa masikini, Mpendazoe anasema Nape ana uchu wa madaraka aliondoka CCJ baada ya JK, kumteuwa Mkuu wa wilaya masasi, Mpendozea naona umechanganyikiwa kukosa ubunge. kwa kukumbusha Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa, alikinyima usajili CCJ, 5 Feb 2010. Nape Nnauye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi, 18 Sep 2010. endelea kuwandanganya hawo hawo Chadema wenzako ndio wata ku-Espouse
 
Naona ES kajitahidi sana sana kwa kutumia hoja za nguvu!!!!! lakini it so happens kwamba nguvu ya hoja hushinda eventually. Hata aseme nini -- Nape ni msaliti tu kwa CCm -- na kwa vile chama hicho hakina direction, dira, wala credibility, ataachwa tu hivi hivi.

katika ujasiri, huwezi kumlinganisha Nape na Mpendazoe, they are a world apart! Mpendazoe wazi wazi alikihama CCM, akingia CCJ, halafu openly tena akakihama CCJ na kuingia CDM. SO OPENLY. Huyu Nape alijificha ficha hadi amekuja kugunduliwa! Aibu kubwa hii!

Many people including CCM supporters are really tired on how the party is trudging along.

This is purely off the mark. You wouldn't be speaking for members of the party you do not belong to. Kwa kuhama wazi wazi na kuhama kimya kimya the difference is the same. The point is kama ambavyo si uhaini kwa Mpendazoe, ni hivyo hivyo kwa Nape. This was a party for those that were disgruntled with CCM's handling of some issues. Nape felt that the issues were addressed to his satisfaction, what the hell is this noise all about?
 
Ahahahaha, Nimesoma hii thread nimecheka sana jinsi Mpendazoe alivyokuwa muongo na Pro Chadema wameingia kichwa kichwa masikini, Mpendazoe anasema Nape ana uchu wa madaraka aliondoka CCJ baada ya JK, kumteuwa Mkuu wa wilaya masasi, Mpendozea naona umechanganyikiwa kukosa ubunge. kwa kukumbusha Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa, alikinyima usajili CCJ, 5 Feb 2010. Nape Nnauye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi, 18 Sep 2010. endelea kuwandanganya hawo hawo Chadema wenzako ndio wata ku-Espouse

Very statistical. I hope this will put the matter to rest
 
This is purely off the mark. You wouldn't be speaking for members of the party you do not belong to. Kwa kuhama wazi wazi na kuhama kimya kimya the difference is the same. The point is kama ambavyo si uhaini kwa Mpendazoe, ni hivyo hivyo kwa Nape. This was a party for those that were disgruntled with CCM's handling of some issues. Nape felt that the issues were addressed to his satisfaction, what the hell is this noise all about?
Nape's satisfaction(DC?) and not people's satisfaction very interesting indeed.
 
Nimemshusha heshima baada ya kuanzisha ccj na kukaa kimya..kisha kurudi tena ccm baada ya kupewa madaraka..it means kijana ana uchu wa madaraka na mnafiki.



attachment.php




Ni kweli kinachomsukuma Nape siyo uchungu na ufisadi au mali za Tanzania zinazoibiwa na mafisadi. Kelele anazopiga huyu jamaa hazina lolote ni kama tu Fisi mtakamfupa wa Madaraka.

Kama siyo uchu wa madaraka, Nape atuambie kwanini alipoona hana ulaji CCM akaanza mbinu za chini chini za kujiunga na CCJ. Huko nako chama kilipokosa usajili akainyemelea CDM
kuomba madaraka na hasa akitaka apendekezwe kugombea Ubunge Ubungo ??? Baada ya kuonekana hana sifa kumshinda Mnyika na kukataliwa, akarudi kimya kimya CCM kujikomba kwa Kikwete. .... Mwa mfululizo wa matukio yote haya unaona wazi kwamba Leo hii kelele anazozipiga ni za kiushabiki zaidi. Ajenda yake ni UCHU WA MADARAKA NA ULAJI zaidi na siyo kitu kingine.

Huyu naye ni mmoja tu wa wezi ndani ya CCM. Mbona naye ni mmoja tu wa waliofaidika na wizi wa EPA ??? Kama anabisha aseme hapa nasi tutaanika vielelezo vyote.
 
Mkuu wala hakuna shida hapo.

Ninachokiona hapa ni Chadema sasa kuanza kucheza ngoma ya Nape na kumpa Nape sifa ya "mpambanaji aliyekuwa hajaridhishwa na mambo yalivyokuwa yanaendelea ndani ya CCM", hii itawapa zaidi hamasa wananchi ya kutaka kumsikiliza zaidi na kumwamini pale anaposema CCM inabadilika na sasa mafisadi hawana nafasi, itamsaidia sana hii publicity kujenga case yake ya CCM mpya iliyojivua gamba.

Hoja hii itawafanya wasio wanaCCM wamwamini zaidi anapozungumzia kubadilika kwa CCM na kuwapa mtazamo wa pili wale waliokuwa wamekatishwa tamaa na CCM kama alivyokuwa yeye sababu ya kurudi kundini.

Hii ni strength kwa Nape na wala sio weakness kama mnavyodhani, hii publicity ya Nape kama mtu aliyekuwa hajaridhishwa na mambo yalivyokuwa yanaenda ndani ya CCM inampa sasa opportunity nzuri ya kuwafikia wote waliokuwa wamekatishwa tamaa na CCM na ufisadi uliokuwa unaendelea.

Chadema walipaswa walione hili kabla majuto hajawa mjukuu.

Si angewapinga waziwazi kulikua na haja gani ya Kufanya vikao vya siri(kwenye gari) kama alikua na hakika alilokua analipigania ni sahihi sio unafiki? na uchu wa U-DC tena wa Masasi

Si ana haki ya kikatiba kujiunga na chama chochote? mbona mwenzie Mpendazoe amesimamia msimamo wake wa kuipinga CCM,kifupi ni kwamba ana uchu wa Madaraka hata atoe kisingizio Gani 'Msaliti ni msaliti tu haijalishi ni nani'
 
Ahahahaha, Nimesoma hii thread nimecheka sana jinsi Mpendazoe alivyokuwa muongo na Pro Chadema wameingia kichwa kichwa masikini, Mpendazoe anasema Nape ana uchu wa madaraka aliondoka CCJ baada ya JK, kumteuwa Mkuu wa wilaya masasi, Mpendozea naona umechanganyikiwa kukosa ubunge. kwa kukumbusha Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa, alikinyima usajili CCJ, 5 Feb 2010. Nape Nnauye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi, 18 Sep 2010. endelea kuwandanganya hawo hawo Chadema wenzako ndio wata ku-Espouse
Wewe unacheza na ahadi nini unafikiri ukiahidiwa leo kesho unakuwa DC inaweza kuchukua mwaka, kuna watu wameahidiwa u-DC na u-RC toka mwaka jana hadi leo wanasubiri neema ifike na yaweza isifike na hiyo ni tactic mojawapo ya kumfanya mtu awe mpole na mnyenyekevu kama mtumwa vile kwa kuchelea kufanya makosa asije kusahaulika.
 
This is purely off the mark. You wouldn't be speaking for members of the party you do not belong to. Kwa kuhama wazi wazi na kuhama kimya kimya the difference is the same. The point is kama ambavyo si uhaini kwa Mpendazoe, ni hivyo hivyo kwa Nape. This was a party for those that were disgruntled with CCM's handling of some issues. Nape felt that the issues were addressed to his satisfaction, what the hell is this noise all about?[/COLOR]



Tofauti ya Nape na Mpendazoe ni kwamba nape anakula Matapishi yake wakati Mpendazoe bado anayasimamia yale aliyoamini kwamba CCM ni chama cha Mafisadi. Nape ni Mroho wa madaraka. Kilichomwondoa CCM na kilichomrudisha CCM ni Madaraka. ndicho unachokiita hapa " satisfaction addressed to"
 
Ahahahaha, Nimesoma hii thread nimecheka sana jinsi Mpendazoe alivyokuwa muongo na Pro Chadema wameingia kichwa kichwa masikini, Mpendazoe anasema Nape ana uchu wa madaraka aliondoka CCJ baada ya JK, kumteuwa Mkuu wa wilaya masasi, Mpendozea naona umechanganyikiwa kukosa ubunge. kwa kukumbusha Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa, alikinyima usajili CCJ, 5 Feb 2010. Nape Nnauye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi, 18 Sep 2010. endelea kuwandanganya hawo hawo Chadema wenzako ndio wata ku-Espouse

Nimefurahishwa na ulivyoainisha matukio yanayopingana na aliyoyasema Mpendazoe. Nimeamini ule usemi kwamba Nyani haoni Makalio yake anapowacheka wenzie. Mtazamo wangu kuhusu Nape ulikua kwamba ni kijana aliyebebwa kufika alipo...lakini kwa haya ya Mpendazoe naanza kumwona kwa mtazamo mpya..Du aliwezakufanikisha kupata katiba ya chama kipya!!!!! hii ni sifa ingawa sikubaliani na mbinu za "KUPLAGARIZE" alizotumia.
 
Tofauti ya Nape na Mpendazoe ni kwamba nape anakula Matapishi yake wakati Mpendazoe bado anayasimamia yale aliyoamini kwamba CCM ni chama cha Mafisadi. Nape ni Mroho wa madaraka. Kilichomwondoa CCM na kilichomrudisha CCM ni Madaraka. ndicho unachokiita hapa " satisfaction addressed to"

Mpendazoe is equally power hungry. If he wasn't he would still be battling to have CCJ registered and kept up and running. He left the party because he felt that he would be locked out of the parlimentary race. Nape may have shown intention to defect and was probably a player during the preliminary set up, but he is not on record as having publicly left CCM and this explains why he vied for nomination for Ubungo constituency. Whether he defected or not wouldn't still make him any worse off. Mpendazoe seems to be harbouring a grudge against those that he thinks duped him. This tells me that he is in Chadema half heartedly and if Chadema had decided to lock him out during the nomination, he would move on.
 
NAPE CCm ina wenyewe ndg yangu umekua ka kenge ktk msafara wa mamba matokeo yake hata JK anakutenga waz,maana hata kurudia maneno yko hawez utamskia uamuz wa chama ni kama wa nape..umekua kenge na CDM hatukutaki,unafki wako bdo kijana asa ukizeeka c utakua mchawi aseeeh..ahuna jipya nape,kafie mbali
 
Nape na hii Picha aikate akaseme hajawahi kutaka kujivua gamba, Maskini vuvuzela la Fisadi Kikwete limeshikwa pabaya
 

Attachments

  • Nape.JPG
    Nape.JPG
    46.3 KB · Views: 89
Mkuu hiyo ya Nape na CCJ sio kashfa, kashfa uwa hivi mkuu, huu mchezo wa kwenda personal utawaletea madhara sana Chadema..

Uozo wa CHADEMA Hadharani
* Wakwepa kodi ya mamilioni ya fedha TRA
* Ni ya kuingiza vifaa vya uchaguzi, mishahara
* Mbowe, Ndesamburo kukifilisi kwa madeni
* Slaa abainika kujilipa posho ya nyumba mara mbili
* Nape amkaba koo, asema ajibu hoja sio uzushi

SIRI zaidi za ufisadi unaofanywa na viongozi wa juu wa CHADEMA zimezidi kufichuka baada ya kufanikiwa kupatikana kwa waraka mzito unaohusiana na tuhuma hizo. Miongoni mwa vitendo hivyo ni CHADEMA kukwepa kulipa kodi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya kuamua kupitisha kwa kutumia njia za panya, vifaa vya uenezi vya chama hicho ambavyo ni kofia, fulana na bendera zilizoingizwa nchini kutoka China. Vifaa hivyo vilinunuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na kupitishiwa eneo la Holili, mkoani Kilimanjaro, baada ya kupata sh. milioni 100 kutoka kwa mfanyabiashara Mustapha Sabodo. Hata hivyo, ununuzi wa vifaa hivyo unadaiwa kughubikwa na ufisadi kutokana na uamuzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kudai kuwa aliongeza sh. milioni 188 ili kununua vifaa hivyo na kufanya kiasi cha fedha kilichotumika kuwa sh. milioni 288.

Utata kuhusiana na ununuzi huo unaothibitishwa na habari za kuaminika kutoka ndani ya CHADEMA, unaanza kujitokeza pale Mbowe aliposema anakidai chama hicho sh. milioni 188 ambazo aliongeza ili kununua vifaa, lakini ameshindwa kuonyesha risiti aliyotumia kulipa wakati wa kuviingiza nchini ili kuthibitisha madai yake.

“Vifaa hivyo havina risiti halali ya kulipia mapato na hata leo hii mtu akienda TRA kudai risiti ya vifaa hivyo hawezi kuipata kwa kuwa viongozi wetu walivileta na kuviingiza nchini kupitia njia za panya...hawa viongozi wetu kwa hilo wamecheza mchezo mchafu," kilisema chanzo chetu cha habari kutoka ndani ya chama hicho. Kiliongeza kuwa: “Hata sh. milioni 188 anazosema Mbowe anazidai kwenye chama, hazionyeshi zimetoka wapi, kwenye fungu gani au kwenye akaunti gani, lakini amekuwa akisisitiza kuwa aliziongeza akiwa China ili kununua mzigo huo." Ilielezwa kuwa kitendo cha kukwepa kodi ni jambo la kawaida kwa viongozi wa CHADEMA, kwani hata mishahara yao haikatwi kodi.

MZALENDO limebaini kuwa fedha zinazodaiwa na Mbowe ni sehemu ya mikakati yake na Katibu Mkuu, Dk.Wilbroad Slaa ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama hicho kutaka kujinufaisha kwa kutumia chama kama taasisi binafsi. Wiki hii, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye aliwalipua viongozi wa CHADEMA baada kubainisha jinsi wanavyojipatia mishahara minono huku kwenye mikutano ya hadhara wakiwahadaa wananchi kuwa wanapambana na vitendo vya ufisadi. Ilifichuliwa kuwa mshahara wa Dk. Slaa ni zaidi ya sh. milioni saba ambazo ni nyingi kuliko za wabunge alizowahi kuzipigia kelele akidai kuwa ni ‘kufuru’.

Siku moja baada ya kulipuliwa na Nape, Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa CHADEMA, Anthony Komu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mabere Marando waliitisha mkutano na waandishi wa habari kukanusha taarifa hizo, jambo ambalo baadhi ya viongozi wa chama hicho wamefichua kuwa ufafanuzi uliotolewa wao ni wa uongo. “Komu kudai Dk. Slaa analipwa mshahara wa sh. 1,725,000 na lita 1,000 za mafuta kila mwezi ni uongo wenye lengo la kutaka kuficha jinsi baadhi ya viongozi waandamizi walivyounda mtandao wa kutumba fedha za CHADEMA,” chanzo hicho kilisema. MZALENDO limefanikiwa kupata waraka ambao unaonyesha kuwa mapendekezo ya posho ya Dk. Slaa kama Azimio la Kamati Kuu iliyokaa Januari 29 hadi 30, mwaka huu, Dar es Salaam ni tofauti na maelezo waliyotoa Komu na Marando. Kwa mujibu wa waraka huo, posho ya Dk. Slaa imegawanywa katika sehemu sita ambazo ni posho ya mwezi, fedha za mafuta, majukumu, viburudisho, nyumba na utendaji kazi. Wakati Komu katika ufafanuzi wake alisema Dk. Slaa analipwa mshahara (basic) wa sh. 1,725,000 waraka unaonyesha analipwa sh. 2,300,000. Mbunge analipwa sh. 2,305,000 kabla ya kukatwa kodi. Mshahara wa Slaa haukatwi kodi. Kwa upande wa posho, Slaa analipwa fedha za mafuta sh. 1,387,500 kwa lita 750 kwa mwezi huku fedha za majukumu zikiwa ni sh. 575,000, mawasiliano sh. 460,000 na nyumba sh. 1,000,000. Posho nyingine ni kwa ajili ya viburudisho sh. 462,500 na utendaji kazi sh. 989,000. Mshahara huo umefanywa ni maalumu kwa Dk. Slaa pekee na iwapo chama hicho kitapata katibu mkuu mwingine hawezi kulipwa hivyo.

Dk. Slaa akiungwa mkono na Mbowe anadaiwa kujipatia posho ya nyumba mara mbili, kwani ilishapendekezwa alipwe sh. milioni 40 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba yake eneo la Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Licha ya kupewa fedha hizo, Dk. Slaa ameendelea kupewa posho nyingine ya nyumba ya sh. 1,000,000 kila mwezi.
“Analipwa fedha za nyumba wakati Mbowe alishakitaka chama kimpe sh, milioni 40 kumalizia nyumba yake iliyopo Mbweni ambayo sasa anaishi,’’kilidai chanzo chetu.

Katika hatua nyingine, baadhi ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu wamelalamika kitendo cha ufujaji fedha kinachofanywa na vigogo wa chama katika maandamano na mikutano ya hadhara inayofanyika mikoani ambapo wastani wa sh. milioni 100 hutumika katika kila mkoa.
“Kila maandamano yanapofanyika mikoani, takriban sh. milioni 100 zinatumika huku madeni yasiyo na msingi yakiongezwa na baadhi ya viongozi na kuongezeka kila baada ya ziara,” alisema mmoja wa viongozi hao.

Alidai kuwa Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo ambaye pia ni mdhamini wa chama hicho anadai zaidi sh. milioni 296 kwa ajili helikopta zake zilizotumika kwenye uchaguzi uliopita.
Kutoka mkoani Singida, Bashir Nkoromo anaripoti kuwa, Nape amemtaka Dk. Slaa kwenda haraka TRA kulipa kodi ya mshahara wake wa mamilioni ya fedha ili apunguze doa la ufisadi linalomkabili.

Nape alitoa kauli hiyo, jana, mjini hapa katika mkutano wa hadhara wa kutambulisha Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, akirejea kauli yake aliyoitoa juzi.
Alisisitiza kwamba kwa kufanya hivyo, Slaa atakuwa ametimiza wajibu wake wa kulipa kodi kama Mtanzania, kwani amehujumu nchi kwa kukwepa kodi kwa muda mrefu.

Alidai bado ana tuhuma nyingi za ufisadi dhidi ya Dk. Slaa, lakini anamtaka kwanza kulipa kodi ya mshahara huo.

Alirejea kauli yake kwamba Dk. Slaa kujipatia kwake mshahara huo ni dalili ya wazi kwamba, kilio chake ambacho amekuwa akikitoa katika kupiga vita kuhusu kuwepo pengo kati ya walio nacho na wasio nacho ni unafiki.
"Inafahamika wazi ndani ya CHADEMA hakuna mkurugenzi hata mmoja anayepata mshahara unaozidi sh. 600,000 kwa mwezi achilia mbali wafanyakazi wa kawaida ambao hawapati zaidi ya sh. 300,000,” alisema na kuwa wanaopata zaidi ya hapo ni wachache sana.

"Kama kweli Slaa angekuwa anakerwa kwa dhati ndani ya moyo wake na pengo hilo kwa nini asianzie kuchukua hatua kwenye ofisi za chama chake?," alihoji Nape.

Akijibu tuhuma zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA, juzi, na kuripotiwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari jana, Nape alisema viongozi wa chama hicho wanaweweseka kwa kuwa hawajazoea kusemwa.

Alisema kauli kwamba Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama anapata mshahara wa sh. milioni 11 ni ishara ya kuweweseka huko kwa sababu madai hayo hayakufanyiwa utafiti, hivyo ni ya uongo.

Nape alisema, licha ya kwamba Katibu Mkuu wa CCM ni kiongozi wa Chama tawala tena chenye vyanzo vingi vya fedha ikiwemo ruzuku kubwa kuliko CHADEMA, mshahara wake ni sh. milioni 1.5 na unakatwa kodi, ambao ni kiasi kidogo ukilinganishwa na ule wa Slaa ambao analipwa na chama ambacho ruzuku yake ni ndogo sana.

Pia Nape alimshangaa msemaji wa CHADEMA kumtuhumu kwamba anapokea mishahara miwili na ni miongoni mwa walionufaika na uchotwaji wa fedha za Mfuko wa Madeni ya Nje (EPA) na kwamba aliomba kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.

Akijibu shutuma hizo, Nape alisema, huko ni kuishiwa hoja kwa viongozi wa CHADEMA kwa sababu, wakati uchotwaji wa fedha za EPA ukifanywa na mafisadi, alikuwa masomoni nchini India, 2005 na 2008.

"Je wanataka kusema kwamba fedha hizo zilinifuata huko?," Nape alihoji.
Kuhusu mishahara miwili, alisema hakuna ukweli kwani tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, hajaanza kupata hata mshahara mmoja na kwamba, mara tu alipoteuliwa kushika wadhifa huo aliacha mshahara, nyumba ikiwa na kila kitu hadi vijiko na gari aliyokuwa akitumia akiwa mkuu wa wilaya.

Ha ha haa Mkuu Umeanza Kushabikia Gazeti la Mzalendo siku hizi
 
du, kijana analo!! Naona wamemkalia vema, nahisi atachoka uongo na uchonganishi!!
 
Si angewapinga waziwazi kulikua na haja gani ya Kufanya vikao vya siri(kwenye gari) kama alikua na hakika alilokua analipigania ni sahihi sio unafiki? na uchu wa U-DC tena wa Masasi

kifupi ni kwamba ana uchu wa Madaraka hata atoe kisingizio Gani 'Msaliti ni msaliti tu haijalishi ni nani'

Acha kudanganyika kirahisi wewe, ebu pata data hapa chini na usidanganyike tena, watakucheka..!!

Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa, alikinyima usajili CCJ, 5 Feb 2010. Nape Nnauye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi, 18 Sep 2010.
 
Inaonyesha hivyo maana hata sare aliyovalia inafanana mno na huo ubao wa CCJ! Ni mawazo yangu tu laikini!
 
Back
Top Bottom