Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Vuvuzela limedandia gari kwa mbele, wenzake wanadandia kwa nyuma Maskini Vuvuzela sijui atakuja kujiteta vipi kwa bwana wake, kazi aliyopewa ni ya kulinda Familia ya Ufisadi sasa hatoaminika tena kwa magamba.
 
Nape na hii Picha aikate akaseme hajawahi kutaka kujivua gamba, Maskini vuvuzela la Fisadi Kikwete limeshikwa pabaya

Huku ndiko kukatwa govi (kutailiwa) bila gazi. Utajuta bwana mdogo Nape, usicheze na People power
 
Hahaha,haya sasa,..
ngoja na wao waje kulipiza ni nani toka chadema alikua na mpango
wa kuihama
 
Wewe unacheza na ahadi nini unafikiri ukiahidiwa leo kesho unakuwa DC inaweza kuchukua mwaka.

Mkuu naona sasa unaanza kupingana na maelezo ya Mpendazoe, Mpendazoe amesema alipoteuliwa sio kuahidiwa.....

"Nape alibadili mawazo ya kutaka kuihama CCM baada ya Rais Jakaya Kikwete kumteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi, kwa kuwa alikuwa na uchu wa madaraka ,".

Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa, alikinyima usajili CCJ, 5 Feb 2010. Nape Nnauye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi, 18 Sep 2010..
 
sidhani kama hii picha ni halisi,..
i mean nadhani ni photoshoped,maana kama alikua anaongea
na waandishi wa habari kwanini hawakuripoti toka zamani?
 
Hili ndilo tatizo la kurusha mawe wakati unaishi kwenye vioo!
 
Wana JF...Mnyonge mnyongeni Haki yake Mpeni...Hii picha wamei-doctor coz siku hii Nape Hakuwepo hapa.....
nakubaliana na wewe kwamba picha iko edited,...
ila kwenye utetezi wako kuna walakini,...
hakuwepo umejuaje?
ina maana na wewe ulikuwepo ila hukumuona?
so na wewe ulikua moja kati wa waanzilishi wa CCJ?

Ama kweli
 
hii picha ni kama ile ya Dr salim na mwananchi haiwezekani alihojiwa halafu habari isivuje aliyetengeneza mod mlambe ban
 
Ha ha haa Mkuu Umeanza Kushabikia Gazeti la Mzalendo siku hizi

Sio kushabikia mkuu, huo ufisadi umeniacha hoi bin taaban, kadri siku zinavyosonga ndivyo yale yaliyokuwa yamefichwa gizani yatakavyozidi kuwekwa peupe.
 
Sawa CCJ KILINYIMWA USAJIL MWEZ feb.2010 na akateuliwa sept.2010 PIA TAMBUA ALIHAIDIWA HUO UKUU JAN.2010...afadhal leo mpendazoe kamtaja mana watu walikuwa na kiu ya kuwajua vigogo sita waanzilish wa CCJ AT LAST LEO WAMEJUA...BADO WATAJUA MENGI
 
Sio kushabikia mkuu, ule ufisadi umeniacha hoi bin taabani...

Na ndicho hicho kwa akili yako unaamini kabisa ndicho kinachowatia Watz hali ngumu ya maisha na umasikini, au siyo? Katika nchi hii yenye utajiri mkubwa?
 
sidhani kama hii picha ni halisi,..
i mean nadhani ni photoshoped,maana kama alikua anaongea
na waandishi wa habari kwanini hawakuripoti toka zamani?

we unataka zamani ipi?ukijifanya kelele wa2 wanakumwaga msosi wako.Km mnaona wamewachakachulia m2 wenu na nyie anzisheni kuwa Dr.slaa anataka kurudi ccm
 
NnauyeJr jitokeze mafichoni ujibu hili la mpendazoe.kama uliyaona mapungufu huko umagambani mpaka ukataka kutoka hebu tueleze leo yamerekebishwa kivipi hadi unayahubiri mikoani vinginevyo utakuwa umeprove falsafa ya kuwa nawe ulipewa ukaziba mdomo kwa kuwa hukuwa kwa maslahi ya tanzania ijayo na kwa waliokuchagua
Mkuu Mpendazoe kama una vielelezo zaidi viweke hapa ili kama mtu anbisha athibitishe
 
Sawa CCJ KILINYIMWA USAJIL MWEZ feb.2010 na akateuliwa sept.2010 PIA TAMBUA ALIHAIDIWA HUO UKUU JAN.2010...afadhal leo mpendazoe kamtaja mana watu walikuwa na kiu ya kuwajua vigogo sita waanzilish wa CCJ AT LAST LEO WAMEJUA...BADO WATAJUA MENGI

Wengine watakaotajwa na Mpendazoe hivi karibuni (kama siyo kesho) ni samuel Sitta, Harrison Mwakyembe, na Makonda wa mmkoa wa Kilimanjaro UVCCM.

Nadhani pia kuna Selelii. Tusubiri maana hawa CDM wanajua namna ya kutoa habari kwa njia ya piece-meal -- kuwatesa kisaikolojia hayo magamba yaliyokubuhu.
 
Jiulizeni baadhi ya maswali magumu, CCJ ilikufa lini? Nape aliteuliwa lini kuwa mkuu wa wilaya?

Kuna ukweli mkubwa kwamba Nape alikuwemo kwenye CCJ lakini hakuamua kubaki CCM baada ya kupewa ukuu wa wilaya. Hawa jamaa wote walimponza Mpendazoe kwa kumwambia waruke, Mpendazoe akaruka, wao wakabaki kwenye meli. Ndio siasa hizo.
 
Back
Top Bottom