km vp na nyie iphotoshop ya Dr. Slaa mseme anataka kurudi cha magamba
Uki analyse hiyo picha kwa Discrete Cosine Transform algorithm na baadae ukazicheki pixel zake kwa kufanya kinyume Quantizer unaona zote wamezi photoshop. Hapo hakuna ubishi
km vp na nyie iphotoshop ya Dr. Slaa mseme anataka kurudi cha magamba
Baba njaa mbaya, hata angeambiwa aue mtu ili atoke angefanya hivyo kwa sababu ya njaa. Leo kaambiwa watukane CDM anafanya hivyo kwa sababu ya njaa, amekuja na propaganda kali kumbe naye ana yake. Nape jibu tukuone kama kweli wewe ni mkweli au Mpendazoe?Dah jamaa kweli alikuwa na uchu wa madaraka
Then unataka kutuambia nini kuwa hakuwahi kuwa CCJ maana ndilo la msingi mengine sijui picha nguo hayana maana.Uki analyse hiyo picha kwa Discrete Cosine Transform algorithm na baadae ukazicheki pixel zake kwa kufanya kinyume Quantizer unaona zote wamezi photoshop. Hapo hakuna ubishi
Then unataka kutuambia nini kuwa hakuwahi kuwa CCJ maana ndilo la msingi mengine sijui picha nguo hayana maana.
Sijui, lakini kulingana na maelezo yake naona alikuwepo kama mamuluki wa ccm ili kubaini wanaojiunga na ccj na kukiua kabisa. Maana amempa homework Mpendazoe akajiulize ni kwa jinsi ipi chama hicho kilikufa.
Kilikufa kwa sababu mbili kubwa
1. kigogo aliyekuwa ni kiongozi wa hicho kikundi alifyata mkia na kumbuka alikuja kufyata tena mara ya pili baada ya uchaguzi. Huyu alikuwa ni mtu muhimu sana fedha zota zilizochangwa alikuwa nazio yeye ana believe me aliingia nazo mtini kufanyia kampeni ya ubunge.
2. Nape allipopata nakala ya watu wa usalama ambayo kigogo huyo aliitoa ikabidi na mkia wake upotee kabisa. of course copy zipo only time will tell
ShalomNape akae kimya tu, yakianikwa hapa na vi note vyake pamoja na mfadhili wake (IPP) basi ataumbuka sana. Kaingizwa mtegeno na obsession yake ya kutaka ku revenge kwa EL. Kila siku wanaswahili wanasema "hasira hasira" au wanjanja kabisa wanasema "hasira ni za Bwana"
Kumbuka kuwa mafisadi huwa wanakodi mpaka ma consultant kuwa kuwatengenezea njia. usije shangaa kuona kuwa huu ulikuwa ni mpango mzima. Kwa sababu doc kutoka usalama wa taifa ilishawaeleza wote hata nape kuwa ni mwanzilishi wa CCJ. Inakuwaje sasa anapewa vyeo kama sio process ya kuwatoa nje wote sita na wakawa hawana pa kukimbilia.
Halafu inaonekana nape IQ ni kama ya @NYC kwa sababu kama alitaka kucheza siasa huwezi kwenda kichwa kichwa namna hiyo. Lazima uwe mtu wa kutest hata meseji zako kabla hujaingia kichwa kichwa na hapa jf ni free area ya kufanya hivyo. Sasa hawa wanajifanya kujua sana na siasa hawaziwezi. Angalia mchezo wa CDM na kutaja tinga tinga ilikuwa ni move kali sana sasa yeye na mke wake fyatu. Bado hao vigogo wanne waliobaki + na huyo mfadhili wao.
Duniani watu wa kuchukiwa ni ndumila kuwili, kuna afadhali hao mafisadi kuliko hawa kwani fisadi ukimkuta kwenye kumi na nane humwachi!
- I mean ni Demokrasia at work, tatizo ni kama Mpendazoe kwa kujitoa CCM na kuingia Chadema amevunja sheria ya jamhuri au mnafiki, none ishu kama chama changu naona kinakosa mwelekeo ninayo haki ya kutumia kila njia za kisiasa kutafuta attention ya kusikilizwa na chama changu, kwani CCM haijui waliotaka kuanzisha CCJ?
- National politics ndivyo zinavyochezwa, CCM waliwajua sana wale wote walioshiriki CCJ, lakini inafanyika tathmin ya chama ya kisiasa, kuona umuhimu wao wakiachiwa watoke, chama kinaona haikwezi kua-afford, kwa hiyo wanaitwa na kuulizwa tatizo lao wanasema na sometimes wanapewa nafasi katika chama kurekebisha waanayoona hayafai, that is how national politics is played, Mpendazoe was not a threat to CCM wakamruhusu aondoke na wengine wote walioruhusiwa kuondoka, it has nothing to do na unafiki it is simply how national politics are played!
Es!
Patrick Patsung Tunahitaji majibu yako katika hilo la CCJ mh Katibu wa Itikadi na uenezi.
James Rock Mwakibinga Kaka Nape we acha 2 ,sijui 2wafanyeje..mdogo wako hpa
Mabrouck Rajabu wasikushuhulishe wote tunawajua hao 14 minutes ago
James Rock Mwakibinga Vijana tupewe vipaumbele katika Wilaya,kata,Matawi,mpaka Mkoa kaka watu wanakiua chama huku Kawe makatibu kata 14 minutes ago ·
James Rock Mwakibinga ALAMA ZA NYAKAT KWA VIJANA NI CHACHU YA MAENDELEO KWA TAIFA LETU,m.H katibu 13 minutes ago ·
Evans Ngolly Nakushauri achana na JF itakusumbua sana 13 minutes ago ·
Salim Al-khasas Jr Evans umeongea. . Kama utasimama kumtupia jiwe kila mbwa anayebweka kutakucha hujafika safari yako 11 minutes ago · LikeUnlikehii picha ni kama ile ya Dr salim na mwananchi haiwezekani alihojiwa halafu habari isivuje aliyetengeneza mod mlambe ban
Wengine watakaotajwa na Mpendazoe hivi karibuni (kama siyo kesho) ni samuel Sitta, Harrison Mwakyembe, na Makonda wa mmkoa wa Kilimanjaro UVCCM.
Nadhani pia kuna Selelii. Tusubiri maana hawa CDM wanajua namna ya kutoa habari kwa njia ya piece-meal -- kuwatesa kisaikolojia hayo magamba yaliyokubuhu.