Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,043
- 7,477
Nape sasa ndio mwanasiasa maarufu bongo! Anatisha yuko juu!
This is a gud observation, umaarufu wake unazidi wa boss wake, REDET watatoa matokeo ya utabiri/sorry utafiti very soon
Nape sasa ndio mwanasiasa maarufu bongo! Anatisha yuko juu!
Usitafute sympathy kwa watu sijawahi kusema huna elimu hata siku moja usijihisi ila group ulilojiunga nalo si la weledi kama la zamani kwa hiyo watu wakikujibu kama wanavyojibu hao usilalamike kwa kuwa umelichagua mwenyewe. Mfano tu hapa topic ni Nape mwanzilishi wa CCJ lakini utetezi wako unaleta data zisizohusiana na topic yenyewe maana yake ni nini umezidiwa hoja au huna hoja ni sawa na wanaopindisha hoja za thread huo ni udhaifu.- Unajua huwa ni rahisi sana mimi ku-figure out wewe ni nani maana maneno yako huwa ni yale tu kila wakati, very low, huna elimu, dataz vipi, baba yako, vipi huna maneno mengine mapya?
- Unataka dataz gani tena wakati sisi hapa tunakula dataz clear: 468 + 222 + 188 = 878 Million hela za walipa kodi kwa Mwenyekiti wa Chadema zimepitishwa na kamati kuu ya Chadema ambayo yeye mwenyewe Mwenyekiti ni mkuu wake: unataka dataz zipi tena?
Es!
Sema what position upelekewe moto!
Ushobokewe wewe bikra? Si washakutoa pale Lumumba long time. Shimo tu kama wenzako, kichwani shimo nyuma shimo.
Naona ES kajitahidi sana sana kwa kutumia hoja za nguvu!!!!! lakini it so happens kwamba nguvu ya hoja hushinda eventually. Hata aseme nini -- Nape ni msaliti tu kwa CCm -- na kwa vile chama hicho hakina direction, dira, wala credibility, ataachwa tu hivi hivi.
katika ujasiri, huwezi kumlinganisha Nape na Mpendazoe, they are a world apart! Mpendazoe wazi wazi alikihama CCM, akingia CCJ, halafu openly tena akakihama CCJ na kuingia CDM. SO OPENLY. Huyu Nape alijificha ficha hadi amekuja kugunduliwa! Aibu kubwa hii!
Many people including CCM supporters are really tired on how the party is trudging along.
kwa sasa anapambana na nani?anapambana kuleta maendeleo au anaropoka upuuzi dhidi ya cdm!mwenye akili kidogo ccm ni magufuli maana anatamka ccm inavyojitahidi bila mafanikio sio nnape.nape karithi cheo cha baba yake moses nnauye!
Hivi kwa nini nikisikia jina la CCJ naanza kucheka?
Mimi namwangalia Nape kwa mtazamo tofauti.Ni mtu anayependa kuiona Tz inapata serikali adilifu lakini anakosa nguvu. Ndio maana hata baada ya kupata ukuu wa wilaya ameendelea kutoa kauli za kimapinduzi, wale wanaoitembelea facebook yake wanajua. Hapa ccm wamempa rungu kichaa wanajua ana uwezo wa kupambana. Tatizo ccm hawataweza kumvumilia. Nape nina uhakika atakuja CDM kabla ya 2015 na atakuja na watu wengi kama Odinga na ataivunja ccm. Nape anafanya kazi kubwa ya kuimarisha upinzani ndani ya ccm na atatu

Nape anaonekana ni mzalendo na haogopi kusema ukweli.I think he has a great future in politics
- Mkuu binafsi sijawahi kusikia Nape ametoka CCM, maneno ya CCJ sisi wote hatuyajui, nani alianzisha nani alikuwa behind it, Marando alikuwa mwenyeji san kwenye ndege ya Mkapa, sijawahi kusikia Slaa au Mbowe wakiwa kwenye hiyo ndege, unafikiri ni kwa nini?
- Halafu muulize Marando nani alimpa ubunge wa EAC?
Es!
- Unajua huwa ni rahisi sana mimi ku-figure out wewe ni nani maana maneno yako huwa ni yale tu kila wakati, very low, huna elimu, dataz vipi, baba yako, vipi huna maneno mengine mapya?
- Unataka dataz gani tena wakati sisi hapa tunakula dataz clear: 468 + 222 + 188 = 878 Million hela za walipa kodi kwa Mwenyekiti wa Chadema zimepitishwa na kamati kuu ya Chadema ambayo yeye mwenyewe Mwenyekiti ni mkuu wake: unataka dataz zipi tena?
Es!
Mbona siwaoni viongozi wa cdm humu kama ilivyokuwa huko nyuma?Ni muhimu wakatoa ufafanuzi kuhusu hili.Kama ni uongo waseme ni uongo na sababu ni so and so.Al Gore alipokuwa akipiga debe kuhusu global warming.Walimponda kutokana na maisha yake aliyokuwa akiishi kutofautiana na yale aliyoyapreach.Mifano kama ya ndege alizokuwa akitumia,energy kwenye nyumba zake nk vilikuwa scrutinized,i mean you gota talk the talk and walk the walk...Kama ni kweli katibu mkuu wa cdm analipwa zaidi ya katibu mkuu wa ccm,then there are some serious questions.
Wanasiasa walio wengi duniani wana malengo zaidi ya yale wanayowaeleza wananchi. Huwezi kuwa mwanasiasa kama huna madaraka lasivyo utakuwa mwanachama wa chama kama wananchi wengine. Kwa hiyo wote hawa wanafanana sana katika malengo yao katika siasa ya kutaka madaraka. Mpendazo alihama CCM kwa kutaka Madaraka, Nape alitaka kuhama kwa kutaka Madaraka, Dr. Slaa alihama CCM kwa kutaka Madaraka, Tambwe alihama CUF kwa kutaka Madaraka. Hakuna kingine hapo.