Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Kwani ni kwa nini vyama vinaanzishwa na kufa haraka? Jibu ni kwamba wengi wanaojiunga navyo hawajiungi kama wanachama wa kweli bali kwa lengo la kuviua. Kwa hiyo kama huyo jamaa kweli alikuwa huko lengo lilikuwa hilo, na ndio maana hakipo tena. Kwa hiyo hii hoja haina maana kwa kuwa yeye alitumwa huko na kazi aliyotumwa aliimaliza.
 
tutasikia mengi mwaka huu, kwani cdm wanacheza makida makida wamekuja na hoja nyingine, wameachana na ufisadi na katiba mpya, kipya sasa ni nape, tangu nape atoa makombora, siku hizi kila kiongozi wa cdm akipanda jukwaani anafungulia kaseti ta wimbo wa nape tu. Angalizo muachane na siasa za jina moja, nape mugeukie namna ya kutatua kero za watz!

CDM wamejikita katika kuzungumzia kero za wananchi na kuwafungua wananchi kuhusu kudai haki zao, Ila huyo bwana mdogo Nape amejifanya kwenda personal, na akaapa kula sahani moja na Dr. Slaa, wacha aonje joto ya jiwe, mfupa kaushindwa fisi mbwa atauweza?? Aangalie timu ilikokuwa nyuma ya personal attacks kwa Dr. Slaa wakati wa kampeni, halafu ajilinganishe na yeye aone ipi inamziki mzito, then ajiulize walimuangusha Dr ?
 
- This is very interesting, maana looking at the times lini CCJ ilikufa na lini Nape ameenda kuwa DC Masasi haikubaliani kabisa, however Mpendazoe angeenda mbele zaidi kwamba anamuonaje Marando? Mtei ambaye naye alitokea CCM? anamuonaje Dr. Slaa ambaye naye alitokea CCM na alijitoa tu baada ya kunyimwa nafasi ya kugombea ubunge Karatu? anamuonaje Shibuda? Seif Hamadi? Na yeye mwenyewe anajionaje?

- Point yake ni nini hasa kwamba ni makosa kwa kiongozi kubadili au kutaka kubadili mawazo ya kisiasa? I am lost hapa!
, I mean talking about unafiki wa kisiasa? Nani ni mnafiki hapa?

William @ NYC, USA.

Kwanini unasema hivyo William!

Hao uliowataja una maana pia walitapika na kulamba matapishi yao kama Nape! yaani aliondoka CCM kwa sababu ya Tamaa ya madaraka na alipopewa cheo fulani alirejea na kugeuka mpango fulani waliopanga kwa maslahi mapana zaidi ya chama husika? Discuss!!

Pia kama kumbukumbu zangu zipo sawa Marando aliwai kutamka hadharani kuwa hajawai kuwa Kada wa CCM hatokuingia CCM Milele kama unaushahi kuwa alikwa Kada wa CCM kama Nape ebu zilete ilitumwombe ufanunuzi.
 
Mbona siwaoni viongozi wa cdm humu kama ilivyokuwa huko nyuma?Ni muhimu wakatoa ufafanuzi kuhusu hili.Kama ni uongo waseme ni uongo na sababu ni so and so.Al Gore alipokuwa akipiga debe kuhusu global warming.Walimponda kutokana na maisha yake aliyokuwa akiishi kutofautiana na yale aliyoyapreach.Mifano kama ya ndege alizokuwa akitumia,energy kwenye nyumba zake nk vilikuwa scrutinized,i mean you gota talk the talk and walk the walk...Kama ni kweli katibu mkuu wa cdm analipwa zaidi ya katibu mkuu wa ccm,then there are some serious questions.
 
- Halafu Mwenyekiti anawadai Chadema Shillingi Millioni 188 zingine za awali, malori Shillingi millioni 468, vipaza sauti Shillingi Millioni 222, jumla 468 + 188 + 222 = Millioni 878

- Halafu kamati kuu ya Chadema ambayo yeye mwenyewe ni Mkuu wake, imethibitisha alipwe hizo hela na chama, ukistaajabu ya CCM utaona ya Chadema, thaanks Nape tusingeyajua haya!

Es!
Very low mkuu zile hot datas zako siku hizi sizioni au mirija imekatwa kwa vile nakuona umejiunga na viwavi, sikutegemea utashuka kiasi hiki LOL!!.
 
  • Thanks
Reactions: T.K
- This is very interesting, maana looking at the times lini CCJ ilikufa na lini Nape ameenda kuwa DC Masasi haikubaliani kabisa, however Mpendazoe angeenda mbele zaidi kwamba anamuonaje Marando? Mtei ambaye naye alitokea CCM? anamuonaje Dr. Slaa ambaye naye alitokea CCM na alijitoa tu baada ya kunyimwa nafasi ya kugombea ubunge Karatu? anamuonaje Shibuda? Seif Hamadi? Na yeye mwenyewe anajionaje?

- Point yake ni nini hasa kwamba ni makosa kwa kiongozi kubadili au kutaka kubadili mawazo ya kisiasa? I am lost hapa!
, I mean talking about unafiki wa kisiasa? Nani ni mnafiki hapa?

William @ NYC, USA.

Wanasiasa walio wengi duniani wana malengo zaidi ya yale wanayowaeleza wananchi. Huwezi kuwa mwanasiasa kama huna madaraka lasivyo utakuwa mwanachama wa chama kama wananchi wengine. Kwa hiyo wote hawa wanafanana sana katika malengo yao katika siasa ya kutaka madaraka. Mpendazo alihama CCM kwa kutaka Madaraka, Nape alitaka kuhama kwa kutaka Madaraka, Dr. Slaa alihama CCM kwa kutaka Madaraka, Tambwe alihama CUF kwa kutaka Madaraka. Hakuna kingine hapo.
 
Kwanini unasema hivyo William!

Hao uliowataja una maana pia walitapika na kulamba matapishi yao kama Nape! yaani aliondoka CCM kwa sababu ya Tamaa ya madaraka na alipopewa cheo fulani alirejea na kugeuka mpango fulani waliopanga kwa maslahi mapana zaidi ya chama husika? Discuss!!

Pia kama kumbukumbu zangu zipo sawa Marando aliwai kutamka hadharani kuwa hajawai kuwa Kada wa CCM hatokuingia CCM Milele kama unaushahi kuwa alikwa Kada wa CCM kama Nape ebu zilete ilitumwombe ufanunuzi.

- Mkuu binafsi sijawahi kusikia Nape ametoka CCM, maneno ya CCJ sisi wote hatuyajui, nani alianzisha nani alikuwa behind it, Marando alikuwa mwenyeji san kwenye ndege ya Mkapa, sijawahi kusikia Slaa au Mbowe wakiwa kwenye hiyo ndege, unafikiri ni kwa nini?

- Halafu muulize Marando nani alimpa ubunge wa EAC?

Es!
 
Peoplezzzzz power!!
We endelea na propaganda tu zisizo na mashiko.
Nape ni kijana aliyeonyesha umbumbumbu wake hadharani. Mtaani tungemwita **** tu!

thats the truth,no propaganda hapo.Ukibisha we bisha tu,but time will tell.Unasema nape mbumbumbu,then ukashindwa kutaja umbumbumbu wake,what the fu.k?
 
Nape ni mwanamapinduzi , sasa yuko mbioni kipindua thi thi em
 
Very low mkuu zile hot datas zako siku hizi sizioni au mirija imekatwa kwa vile nakuona umejiunga na viwavi, sikutegemea utashuka kiasi hiki LOL!!.

- Unajua huwa ni rahisi sana mimi ku-figure out wewe ni nani maana maneno yako huwa ni yale tu kila wakati, very low, huna elimu, dataz vipi, baba yako, vipi huna maneno mengine mapya?

- Unataka dataz gani tena wakati sisi hapa tunakula dataz clear: 468 + 222 + 188 = 878 Million hela za walipa kodi kwa Mwenyekiti wa Chadema zimepitishwa na kamati kuu ya Chadema ambayo yeye mwenyewe Mwenyekiti ni mkuu wake: unataka dataz zipi tena?

Es!
 
CDM wamejikita katika kuzungumzia kero za wananchi na kuwafungua wananchi kuhusu kudai haki zao, Ila huyo bwana mdogo Nape amejifanya kwenda personal, na akaapa kula sahani moja na Dr. Slaa, wacha aonje joto ya jiwe, mfupa kaushindwa fisi mbwa atauweza?? Aangalie timu ilikokuwa nyuma ya personal attacks kwa Dr. Slaa wakati wa kampeni, halafu ajilinganishe na yeye aone ipi inamziki mzito, then ajiulize walimuangusha Dr ?
Kwenye bold mfupa uliomshinda Makamba Nape atauweza? hawa jamaa hawafanyi homework kuwa personal attacks hazisaidii hasa kwa mtu hot kama Slaa kwa wakati huu maana nilimsikia Nape akitamba kule Singida kuwa atakwenda na Slaa mguu kwa mguu nikajiuliza hivi wanaCCM walichomtuma ndicho hicho anachokitafuta na je ameshamaliza kusafisha nyumba yake hadi aanze ya jirani matokeo yake badala ya kupigwa kombora na Slaa anapigwa kombora kutoka asikotarajia.
 
Bye Nape, Bye, -- umejimaliza mwenyewe kwa uchu wa madaraka na umaarufu. So sad!
 
Back
Top Bottom