Nape ni mdau wa pilau, amefollow ukurasa wa ngono

Nilishangaa sababu waliyo itoa kwamba wanafungia vpn kwa sababu watu wanaangalia vitu visivyo na maadili, akili zao zilivyokua fupi kama njia ya kwenda chooni wanadhani Kila mtu akifungua VPN basi anataka kwenda kwenye tovuti za hovyo, shenzi kabisa
 
Hawana akili 🚮
 
Baba mtumishi ni wewe? 🤡
Shalom Mama mchungaji,
Natumai umeamka salama kipenzi changu katika Roho.

kwenye hilo,
huenda hakerz wameanza kunifatilia na kunichonganisha au pepo alinilemea upande moja, maana mapambano ni makali sana aisee....

Nakupenda sana, Mtumishi Mama mchungaji...
Pole ikiwa imekuvunja moyo...
 
Tutakutenga kanisani otherwise ufanye toba na kufunga week nzima bila kutia chochote mdomoni. Ikiwezekana uende ukafunge na ukasali mlimani
 
Tutakutenga kanisani otherwise ufanye toba na kufunga week nzima bila kutia chochote mdomoni. Ikiwezekana uende ukafunge na ukasali mlimani
Mama mchungaji kipenzi changu,

Huwez amini nipo sirini, kwenye maombi makali sana ya kuomba kufunguliwa mlango, nimekugongea sana inbox nabado nagongagonga zaidi mpaka Roho atakaponielekeza vinginevyo...
Ooh hallelujah......
 
Hiyo kawaida tatizo lake ni kuperuzi na kufuatilia hiyo makitu kwa utambulisho wake rasmi.

Wengi tu wanaingia anonymously maisha yanaendelea.
After all, he is a human being and we're all human beings with feelings and emotions.
 
waziriii kazi kuangaliaa ponooo tuuu...anapandisha bei vifurushii sababu yeye anapewa buree...anaweka vpn akijua atafollow page twitter.
 
Back
Top Bottom