Inanisikitisha kuona ccm wamekuwa wanaiga kila kitu cha chadema.
Kule Arusha jimbo la Arumeru waliiga salamu ya chadema ile ya kukunja ngumi, wao wakawa wanakunja kumi lakini wananyanyua dole gumba.
Sasa Nape na wenzake wamehamia kwenye mavazi, gwanda jeusi kwa mara ya kwanza lilionekana kwenye msiba wa chacha wangwe, halafu baadae Arusha, likaendelea kwa Mtema. Leo nimemuona Nape nae kavaa gwanda jeusi.
Wameiga wanashona yale manguo yao ya kijani kama magwanda. Wana nini hawa wasio penda kubuni vyao? Nape ana nini kupenda kuvaa kama wanachadema wanavyo vyaa?!