nimempongeza sana Napoe kwa hatua ya ukomavu wa kisiasa, hongera sana Nape. umefanya mambo machache sana ambayo wanasiasa huwa hawfanyi, nalo ni kukubali matokeo. mana hata Batilda pamoja na kupitwa kwa kura nyingi bado aliamini kahujumiwa.
Ila ushauri wangu huru ndugu Nape, Hamia CDM ukomboe nchi hii, huko uliko ukombozi hauwezekani kabisa wenzio ni matajiri wewe ni mtoto wa mskini hutowaweza hao. Njoo, uchukue jimbo la Kinondoni 2015. Mnyika Ubungo, wewe Kinondoni na Mdee Kawe. wewe ni kijana mwenye maono na mkweli ila you are fighting at wrong place and group.
Hamia airtel na uhamie pia CDM! mimi ni mwana CCM mwenzio lakini sasa nahamia CDM