Gwanda lake feki, sie chadema huwa twatumia rangi hiyo kwenye misiba!
Ni kweli Nape yuko CCM kimwili roho yake inapenda CDM au chama kingine na sio CCM
Nape ameshaichoka Magamba kwani alichokuwa anakipigania Magamba hakitekelezeki , anaambulia matusi na fedhea.Anakaribisha kambi ya wapiganaji wa kweli.
na january anamuogopa baba yake but anaitaka sana chadema
Watamfukuza huyu hebu tusubiri kidogo!!!!!!!!Hata hivyo kwa vijana wenye uelewa hasa waliokwenda shule lazima waone Tanzania inaelekea wapi, mkombozi pekee wanajua kuwa ni CHADEMA!!! VIVA CHADEMA!!!!!!! Ujumbe kwa Bwana Nape!!!!!!!!!!!Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.Nape Nnauye akiongea na waandishi wa habari leo katika ofisi ndogo ya chama hicho zilizopo mtaa wa lumumba jijini Dar es salaam, juu ya uchaguzi mdogo wa ubunge ulifanyika jana katika jimbo la Arumeru mashariki, ambapo mgombea wa CHADEMA Joshua Nasari ameibuka mshindi kwa kura 32.972, chama cha mapinduzi kimekubali matokeo hayo yaliotangawa na Tume ya uchaguzi leo asubuhi
Nape kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi amempongeza kijana Nasari na kusema "Tunampongeza Joshua Nasari na hakuna hujuma yoyote uchaguzi ulikuwa huru na haki", lakini pia akawapongeza wananchi wa jimbo la Arumeru kwani hiyo ndiyo Demokrasia yao.
NIMEAMUA KUTUMIA VAZI LA CHADEMA KWA KUWA NALIPENDA ; NIMEKOSA UVUMILIVU, KIDUMU CCM