Wakuu, kila anpoongea bwana Nape muwe mnamwangilia usoni vizuri, huwa anaongea yale asiyo yaamini kabisa, huyu kijana yupo ccm kwasababu ya nja tu, moyo wake upo Mageuzi kabisa, kinacho msumbua ni nja na tamaa ya madaraka, akiongoka kwenye hayo 2 basi anakuwa kijana mzuri tu tena mwenye great future kwa hapa Bongo.
Nasikia hata uchaguzi mkuu uliopita (mara baada ya kushindwa kukisajiri chama chao cha CCJ) alikwenda CDM kuomba kugombea Ubungo, muziki wa John Mnyika ukawa mkubwa kwake, so please kwa wale mnao jua Body language, mwangaliieni vizuri huyu bwana mdogo kila anapoongea, utaona tu mwili wake hasa macho yake, anacho kisema hakitoki kabisa moyoni mwake, yaani hata yeye anajua ccm mahali ilipofika hairekebishiki zaidi ya kufa.