NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

Mimi kwa kweli huwa namuonea huruma pale ambapo huwa anatumia akili nyingi na za ziada kutetea hoja na mambo ambayoyanafanywa na chama chake ambayo kimsingi yeye binafsi anaufahamu ukweli kuwa anatetea kitu ambacho ni kinyume na mapenzi yake pamoja na matakwa ya watanzania. Najua kweli Nape ana uchungu na nchi yake lakin mazingira alipo hawez kusimamia kikamilifu anachokisema! Mlango u wazi njoo ujiunge na wapambanaji wenzako kaka!
Ni kweli Bwana Nape ANAIPENDA TANZANIA lakini anatunzwa na kundi la mafisadi, ataweza kuacha ma v8 na salary nono ajiunge kwenye chama cha walala hoi, wanaoishi kwa kuchangishana???? Ina hitaji ujasiri wa ajabu, ngoja tuone!!!!

 
Gwanda lake feki, sie chadema huwa twatumia rangi hiyo kwenye misiba!
Hata yeye yupo kwenye msiba, kapigwa Arumeru, Kirumba, Lizaboni, Kiwira. Huko ndiko kwenye wapiga kura wengi, na ni ishara ya anguko la magamba.
 
NI kati ya Vijana wanaojenga hoja CCM, Nafikiri baadae atahamie Chadema na atachukua Jimbo la Kwimba. Nataka Nape aje kwimba nyumbani kwetu
 
Gwanda lake feki, sie chadema huwa twatumia rangi hiyo kwenye misiba!
Acha ushamba na kukariri wewe hilo gwanda halivaliwi katika misiba tu mbona katika harusi ya Mgambo wenu Henry Kilewo, Mbowe, Lema, Bwana haruc mwenyewe walivaa hayo magwanda yenu meuc
 
Cjui mashabiki wa cdm mmelogwa na nani na kuwamini kuwa viongozi wenu ni wasafi kiasi hicho na wanatumia raslimali ya chama chenu kwa manufaa ya chama na sio maslahi binafc
Ni kweli Bwana Nape ANAIPENDA TANZANIA lakini anatunzwa na kundi la mafisadi, ataweza kuacha ma v8 na salary nono ajiunge kwenye chama cha walala hoi, wanaoishi kwa kuchangishana???? Ina hitaji ujasiri wa ajabu, ngoja tuone!!!!

 
Hayo ni maneno ya ungwana sana wazee wanaogopa kusema ukweli ila muda wao umefika kwa kuwadanganya wananchi wapende wasipende lazima wang!atuke pamoja na kufilisiwa mali zao.
 
hana jipya, Mzee Makamba na timu yake walikuwa ma failures, ila hawakuvunja rekodi,
am telling you, Hawa waakina nape wataharabu mara 50 zaidi hata ya akina Makamba na Kichaa wake Tambwe Hiza

Huu ni hu Juha, Huwezi kufananisha Makamba na Nape hata siku moja. Makamba ndio kakifikisha Chama hapo kilipo na kundi lake lililokuwa liki mremote. Fikiria kabla ya kusema, bila shaka ni miongoni mwa wale wanao fikiri kwa kutumia tumbo kwa sababu tu unapenda kuwafurahisha wale wa kambi yako. Bora kuwa maskini wa pesa lakini si maskini wa fikra.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom