Nape mdogo wangu nakushauri anzisha chama chako

Nape mdogo wangu nakushauri anzisha chama chako

aombe msamaha kwa kulifanya bunge kutokuwa live alafu ajiunge na chadema, mengine yote ni rahisi kusameheka
 
Honesty is very expensive gift, and Do not expect it from ccm
 
Nape asianzishe chama, baadala yake ajiunge na CDM tu.. Ni msaada sana kuibomoa CCM 2020 ukizingatia ana uswahiba na wengi humo ambao upepo hauwaendei vizuri na wangetamani Ghorofa lidondoke....
asihamie cdm kwakuwa cdm itakuwa na taswira mbaya
 
Habari wakuu

Asubuhi hii nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali zinazomhusisha mwanasiasa mkongwe Nape Nnauye tangu uchaguzi upite ni dhahiri kila mtu amegundua si Nape yule tena wa kabla ya 2015.

Nafikiri ni wakati sahihi sasa kwa mh Nape kufuata taratibu zote za kisheria kuanzisha chama cha kisiasa ambapo naamini hadi kufika 2020 utakuwa umepiga hatua kubwa kwakuwa wewe ni mwanasiasa mzoefu

Hii itasababisha vyama vingine kujitathmin zaidi kama si kuongeza juhudi
Atapata wapi hiyo platform wakati siasa za majukwaani zimepigwa marufuku...
 
Nape ana siasa nzur.Daima anasema kweli fitina kwake ni mwiko.
 
Habari wakuu

Asubuhi hii nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali zinazomhusisha mwanasiasa mkongwe Nape Nnauye tangu uchaguzi upite ni dhahiri kila mtu amegundua si Nape yule tena wa kabla ya 2015.

Nafikiri ni wakati sahihi sasa kwa mh Nape kufuata taratibu zote za kisheria kuanzisha chama cha kisiasa ambapo naamini hadi kufika 2020 utakuwa umepiga hatua kubwa kwakuwa wewe ni mwanasiasa mzoefu

Hii itasababisha vyama vingine kujitathmin zaidi kama si kuongeza juhudi
Kilichoanzishwa kule tabata hujui kuwa kaanzisha nyuma ya mtu, maana akienda yeye msajiri atamzingua
 
Utitiri wa vyama wa nini Nchi hii???
Ahame CCM na Ajiunge na CHADEMA TU.
 
Kama hujui ni kwamba Rais wa 2025 ni mteule wa Magufuli, Rais anayeondoka madarakani ndio mwenye kura ya turufu na ndio mshawishi wa kila kitu hakuna asiyewake atakaepenya somo zuri ni lowassa
Majaliwa next Presidar
 
Apigane humo humo ndani ya CCM. 2025 kambi ya Magufuli haitaweza kushinda ndani ya CCM hata kwa dawa...

Nape, Makamba, Bashe, Nyalandu, Ridhiwani are going to form very strong force by 2025..

Mwigulu ni mnafiki. Wasimhusishe

Hawa vijana kwa sasa watafute tu pesa ili 2025 game iwe rahisi kwao... Maprofessor wanaochazwa katika serikali hii hawawezi siasa za CCM...

Nape atashangaza watu by 2025.
Hivi unacheza na magufuli? Atawafukuza Mwenyewe
 
Apigane humo humo ndani ya CCM. 2025 kambi ya Magufuli haitaweza kushinda ndani ya CCM hata kwa dawa...

Nape, Makamba, Bashe, Nyalandu, Ridhiwani are going to form very strong force by 2025..

Mwigulu ni mnafiki. Wasimhusishe

Hawa vijana kwa sasa watafute tu pesa ili 2025 game iwe rahisi kwao... Maprofessor wanaochazwa katika serikali hii hawawezi siasa za CCM...

Nape atashangaza watu by 2025.
Why kote huko?
 
Mi ningependa Nape, Zitto, Slaa na wengine walioichoka CCM na hv vyama uchwara vya upinzani waanzishe chama chao chenye watu makini
 
Back
Top Bottom