Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,930
- 4,410
Apigane humo humo ndani ya CCM. 2025 kambi ya Magufuli haitaweza kushinda ndani ya CCM hata kwa dawa...
Nape, Makamba, Bashe, Nyalandu, Ridhiwani are going to form very strong force by 2025..
Mwigulu ni mnafiki. Wasimhusishe
Hawa vijana kwa sasa watafute tu pesa ili 2025 game iwe rahisi kwao... Maprofessor wanaochazwa katika serikali hii hawawezi siasa za CCM...
Nape atashangaza watu by 2025.