falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
Habari wakuu
Asubuhi hii nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali zinazomhusisha mwanasiasa mkongwe Nape Nnauye tangu uchaguzi upite ni dhahiri kila mtu amegundua si Nape yule tena wa kabla ya 2015.
Nafikiri ni wakati sahihi sasa kwa mh Nape kufuata taratibu zote za kisheria kuanzisha chama cha kisiasa ambapo naamini hadi kufika 2020 utakuwa umepiga hatua kubwa kwakuwa wewe ni mwanasiasa mzoefu
Hii itasababisha vyama vingine kujitathmin zaidi kama si kuongeza juhudi