Nape mdogo wangu nakushauri anzisha chama chako

Habari wakuu

Asubuhi hii nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali zinazomhusisha mwanasiasa mkongwe Nape Nnauye tangu uchaguzi upite ni dhahiri kila mtu amegundua si Nape yule tena wa kabla ya 2015.

Nafikiri ni wakati sahihi sasa kwa mh Nape kufuata taratibu zote za kisheria kuanzisha chama cha kisiasa ambapo naamini hadi kufika 2020 utakuwa umepiga hatua kubwa kwakuwa wewe ni mwanasiasa mzoefu

Hii itasababisha vyama vingine kujitathmin zaidi kama si kuongeza juhudi
Simshauri kuanzisha chama na kwa kuanzisha chama watamkwamisha. Angalie chama kisicho na maswali mengi ajiunge nacho akipata chama kizuri Nape ni Hiro wa siasa za hapaTz. Asiende ktk vile anavyovijua yakuwa vinatumika. Ili wananchi wasiwe na maswali juu ya uhalali wake kwani vingine vinatumika na watawala na wananchi tayari wanavijua vema.
 
Chama kisichokosolewa ukikosoa mpinzani ni ujinga huo kuwa ccm.
 
Habari wakuu

Asubuhi hii nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali zinazomhusisha mwanasiasa mkongwe Nape Nnauye tangu uchaguzi upite ni dhahiri kila mtu amegundua si Nape yule tena wa kabla ya 2015.

Nafikiri ni wakati sahihi sasa kwa mh Nape kufuata taratibu zote za kisheria kuanzisha chama cha kisiasa ambapo naamini hadi kufika 2020 utakuwa umepiga hatua kubwa kwakuwa wewe ni mwanasiasa mzoefu

Hii itasababisha vyama vingine kujitathmin zaidi kama si kuongeza juhudi
Kwani kile chama cha CCJ alichohusishwa nacho wakati fulani kiko wapi?
 
Simshauri kuanzisha chama na kwa kuanzisha chama watamkwamisha. Angalie chama kisicho na maswali mengi ajiunge nacho akipata chama kizuri Nape ni Hiro wa siasa za hapaTz. Asiende ktk vile anavyovijua yakuwa vinatumika. Ili wananchi wasiwe na maswali juu ya uhalali wake kwani vingine vinatumika na watawala na wananchi tayari wanavijua vema.
mkuu kwani kuna ubaya gani akianzisha chama chake ili asiwe na wakati mbaya wa kuandamwa na maswali
 
Nyie mnaomshambulia Nape shame on you. Yes he did a recommendable job to help you party survive in the last election. He has learned his reasons, you will learn yours very soon too. Hata nyie huko hamko salama. Hakuna mtu aliyesimamia dhuruma, uongo na unafiki hapa duniani alibaki kuwa salama. You will continue crumbling day by day.
 
Tatizo LA Nape hakujiandaa kuwa Mbunge asiye na Mamlaka ndicho kinachomtesa huyu DOGO lengo lake lilikuwa kushika Nyazifa za juu, ikumbukwe hata baada ya JPM kuteua waziri mkuu , Nape na January Makamba ni miongoni mwa wanasiasa ambao hawakuwa na furaha hii inamaanisha hawa wawili walitamani mmoja wao awe Waziri Mkuu huku wakisahau Rais ndo mwenye Mamlaka ya kuteua amtakae bila kupangiwa na ndio maana Rais ndo Mwenyekiti was Chama. Anachokifanya Nape kwa sasa hakuna asiyefamu kuwa huyu jamaa anayafanya haya kwa kuwa amepigwa chini uwaziri, mbona alipokuwa waziri hakuwa mropokaji kama sasa? Nape anaamini kuwa ndani ya CCM yeye ndo mwenye akili kuliko wengine. Nape ndo waziri was kwanza kuonyesha utovu wa nidhamu baada ya kutumbuliwa huku akisahau cheo ni dhamana tu. Ushauri wangu CCM wasimfukuze ila 2020 vikao ndo viamue agombee au apigwe chini. Ushauri mwingine kwa Nape ni kutafuta chama chake kipya ambacho yeye ndo atakuwa Mwenyekiti kwa maana inaonyesha Nape haiwezi kukaa chini ya mtu . Nape aliwahi kufukuzwa hivihivi na Kikwete lakini baadae Kikwete alimrudisha kwa kumpangia ukuu wa wilaya Nachingwea baadae akarudishwa chamani kama katibu mwenezi
 
Akianzisha chama chake Chadema hawatamwacha salama.
 
The guy planted seeds of his own destruction! Akumbuke alipoanguka, amrudie Muumba wake.
 
Habari wakuu

Asubuhi hii nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali zinazomhusisha mwanasiasa mkongwe Nape Nnauye tangu uchaguzi upite ni dhahiri kila mtu amegundua si Nape yule tena wa kabla ya 2015.

Nafikiri ni wakati sahihi sasa kwa mh Nape kufuata taratibu zote za kisheria kuanzisha chama cha kisiasa ambapo naamini hadi kufika 2020 utakuwa umepiga hatua kubwa kwakuwa wewe ni mwanasiasa mzoefu

Hii itasababisha vyama vingine kujitathmin zaidi kama si kuongeza juhudi
Unamdanganya,toka zitto aanzishe kimefikia wapi?
 
hakuna mtu anapewa registration sasa ivi vilivyopo tu anataka kuvifuta uyu msukuma hajiamini kabisaaaa
 
Habari wakuu

Asubuhi hii nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali zinazomhusisha mwanasiasa mkongwe Nape Nnauye tangu uchaguzi upite ni dhahiri kila mtu amegundua si Nape yule tena wa kabla ya 2015.

Nafikiri ni wakati sahihi sasa kwa mh Nape kufuata taratibu zote za kisheria kuanzisha chama cha kisiasa ambapo naamini hadi kufika 2020 utakuwa umepiga hatua kubwa kwakuwa wewe ni mwanasiasa mzoefu

Hii itasababisha vyama vingine kujitathmin zaidi kama si kuongeza juhudi
amakweli kila mtu atavuna alichokipanda kwa wakati wake.naona NAPE sasa anakula chake kwa wakati wake
 
Back
Top Bottom