Nyetk
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,648
- 1,696
Sisi Kigoma CCM ni chama kikuu cha upinzani. Nyinyi je?
Kwetu tunaisoma magazetini tu coz haipo tena.
Sisi Kigoma CCM ni chama kikuu cha upinzani. Nyinyi je?
Aisee hata mimi aki tiririka hizo mambo apo juu natupa kadi yangu
ya cdm fasta!
Sisi Kigoma CCM ni chama kikuu cha upinzani. Nyinyi je?
kwani ww malaya au unafuata bendera kama upepo? Nyie watu ambao hamna msimamo nendeni chama cha mabwepande
wala hauko kigoma, kigoma ccm ni ya tatu baada ya nccr na chadema..
Unajua ukujua una kufa kesho unaweza ukawaahidi watoto wako kuwa mwakani utawanunulia ndege kumbe wewe unajua unakufa kesho...Katika hali ya kawaida Kigoma palikuwa mahali pa ccm kupaogopa kama ukoma maana wametekeleza almost 0.2% ya ahadi walizoahidi.
Hii ya Kigoma kuwa kama Dubai hakika naamini kabisa kuwa huenda siku hiyo mkubwa alikuwa amepata Konyagi ambayo ni counterfeit inayotengenezwa Unga-Ltd.
Haiwezekani ktk hali ya kuwa sobber uahidi wananchi wako kuwa utawateremshia Mbingu!
Sielewi kwanini JK aliamua kujidhalilisha kiasi hicho.
Inatia moyo sana!...
Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k
Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM
Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa
More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula
​nape kakulipa ngapi waha sio majuha kama wewe
Siyo kula kwamama ntilie kunywa na petrol kabisa hapo!CCM inamtisha mtu!!
Huu ndio ukweli, Hapa Nape hahusiki mkuu
Tupia kapicha basi mkuu. Maana leo jumapili hata wanafunzi hawapo lazma muaibike. Mtakoma mwaka huu. Wazee kama kuna jembe yeyote atujuze mafuso yako mangapi huko?