laboratory
Member
- Mar 20, 2012
- 51
- 3
Mbona una kimbelembele kuwasemea watu wa Kigoma?au unawashwa?
Magamba,wamesaini kuwa mifuko yote ya pensheni ya umma,isitoe mafao kwa wafanyakazi mpaka mtumishi atakapofikisha umri wa miaka 55, wa kustaafu kwa hiari ,au 60 kwa lazima, nanukuu kutoka SSRA,sasa hela za kodi wanazotukata kwenye mishahara haziwatoshi ,mpaka wachukukue na NSSF,zetu?