Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

SASA WEWE MKIGOMA NI KAFU, IMEKUAJE TENA LEO UMEHAMIA CCM??

kale kamsemo ka wanakafu kuliwa na ccm ni kweli?

nimekwambia mimi nipo hapa nyumbani ujiji kigoma nawasikia wanaongea, mimi nilichofanya ni kuripoti kosa langu ni lipi? mpaka unitukane? mwezi wa mfungo huu.
 
MAGAMBA yamefulia balaa, huo ujio wa Nepi yamehaha kutafuta fedha kwenye taasisi za serikali tena kwa lazima lazima yaani ni kero kero. TZCDM2015
 
Ingekuwa ni mbowe kaanzisha kilimanjaro all stars pangechimbika, lakini kwa ajili ni zitto, kigoma all stars ni sawa na sio ubaguzi!
 
nimekwambia mimi nipo hapa nyumbani ujiji kigoma nawasikia wanaongea, mimi nilichofanya ni kuripoti kosa langu ni lipi? mpaka unitukane? mwezi wa mfungo huu.

Wewe si CUF bali ni nyinyiemu mbona hulipo hoja za CUF ? Zama za kudanganya watu si hizi na pia umgeni na siasa za Kigoma,uwongo unakusaidia nini? Hizo beti za chama cha udini,ukanda nk hazitakutoa tafuta mpya hata hivyo hamna kitu.Mwana CHADEMA hayumbi we jidanganya tu, nendeni na kadi zenu mlizotengeneza mitaa ya Gerezani.Kila mtajapo CHADEMA ndo mnaipa promo na bado , nguvu yake ni kubwa nyie vidagaa hamwezi kuizuia.Kwanza Kigoma kwenyewe nyie ni chama cha upinzani.
 
imekuwa ndio mazungumzo katika kila kona na vijiwe, wengi wao wamesema tumechoka na hiki chama cha cdm kwa ubaguzi wanaoufanya kwa zitto kabwe kwa kuwa tu katangaza nia yake ya kugombea urais anakuwa anapigwa vita na watu wa kaskazini, wanasema kigoma ilikuwa ngome ya chadema lakini sasa tumechoka na chama, tunaamua kurudi CCM kwanza wametekeleza kwa 90% yale yote waliyoahidi kwa mkoa wetu, hatuoni sababu ya kuendelea tena kukikumbatia chama kina choendesha endesha siasa zake kwa kutumia udini na ukabila!!! tunarejea kwa mama. walisema wakazi hao wa ujiji.
hivi posho za propeganda mtandaoni za pale lumumba zimetoka? nitonye mshikaji nami niwahi changu
 
Jamani hata kama mnalipwa ili kutuma propaganda zenu humu JF muwe anagalau mnafikiri na kutuma thread ambazo zina mantiki kidogo ili wajinga ndiyo wasiweze kutambua ukweli. Jimbo la Kigoma mjini ni la magamba, iweje leo hii warudishe kadi za CDM? au ni kinyume chake hiyvo tutakuelewa. ungesema jimbo la Kigoma kusini kwa Mh.Zitto sawa sababu kule ni CDM. Au kwa sababu watu wengi hawaijui Kigoma ndiyo maana unaamua kuwachangaya akili zao kwa propaganda hizi? Ungejua Kigoma walivyo na hasira na magamba usinge sema. Hawa ndiyo wameitupa Kigoma tokea uhuru na wamekwisha pata mkombozi wao ambaye ni CDM. Acha upuuzi wako..Pia mbunge wa Kigoma mjini alichakachua kura kwenye uchaguzi wa 2010 na watu wana hasira naye. Watu wanataka waone utekelezaji wa ahadi kwa vitendo na siyo mikutano ya hadhara. Hivi magamba hamuelewi jambo hili? mikutano hii haitowanusuru mtakufa tu!
 
ndugu huelewi kuwa halmashauri inaongozwa na chadema? nimekwambia kuwa watu wengi wanachukizwa na ukabila na udini wa chadema ndio maana wana amua kuhama chama hicho, wengi wanatoa sababu hizo.
 
CCM yapumulia mashine
• Ajali ya mv Skagit, urais 2015 vyaitesa

na Mwandishi wetu

UPEPO wa mabadiliko ya kisiasa uliozikumba nchi nyingi duniani, unaelekea kukiathiri Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho sasa kinahaha kujinusuru kung'oka madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Chama tawala hivi sasa kina msuguano mkubwa wa kiuongozi ambapo baadhi ya viongozi wake wamekuwa wakimshutumu Katibu Mkuu, Willison Mukama, kwa kukwamisha mikakati ya kujiimarisha na kurejesha matumiani yaliyofifia miongoni mwa wanachama wake.
Licha ya Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, wiki hii kukanusha kutokuwa na msuguano na Mukama, makada wa chama hicho wamelidokeza Tanzania Daima Jumapili, kuwa vita ya makundi ya kuwania uongozi na ile ya ufisadi inakitesa chama hicho.

CCM yapumulia mashine

Ni kweli CCM yapumulia mashine. Alisema pia Jenerali Ulimwengu last week1 Wanaweweseka sana -- hawatakiwi. Kilichobaki wanawalazimisha polisi kufuata matakwa yao ya hujuma dhidi ya wapinzani. Lakini ni upepo mkali wa mabadiliko ambao hautazuilika.
 
miaka yote ahadi zilikuwa hazitekelezwi leo upinzani yaani CHADEMA imeigia ahadi zinatekelezwa kwa 90% eti wa kigoma wanarudi ccm tutaanza kuwa na mashaka na uelewa wao

halafu kigoma its ruling part is NCCR
 
imekuwa ndio mazungumzo katika kila kona na vijiwe, wengi wao wamesema tumechoka na hiki chama cha cdm kwa ubaguzi wanaoufanya kwa zitto kabwe kwa kuwa tu katangaza nia yake ya kugombea urais anakuwa anapigwa vita na watu wa kaskazini, wanasema kigoma ilikuwa ngome ya chadema lakini sasa tumechoka na chama, tunaamua kurudi CCM kwanza wametekeleza kwa 90% yale yote waliyoahidi kwa mkoa wetu, hatuoni sababu ya kuendelea tena kukikumbatia chama kina choendesha endesha siasa zake kwa kutumia udini na ukabila!!! tunarejea kwa mama. walisema wakazi hao wa ujiji.

Hongera mtoa mada,najua kwa kuandika kwako hapa ndo wamesharudi eeh! jifariji sana wenzenu wanapiga kazi ninyi mmekalia majungu,KAZANENI majungu yatawatoa kimasomaso!
 
imekuwa ndio mazungumzo katika kila kona na vijiwe, wengi wao wamesema tumechoka na hiki chama cha cdm kwa ubaguzi wanaoufanya kwa zitto kabwe kwa kuwa tu katangaza nia yake ya kugombea urais anakuwa anapigwa vita na watu wa kaskazini, wanasema kigoma ilikuwa ngome ya chadema lakini sasa tumechoka na chama, tunaamua kurudi CCM kwanza wametekeleza kwa 90% yale yote waliyoahidi kwa mkoa wetu, hatuoni sababu ya kuendelea tena kukikumbatia chama kina choendesha endesha siasa zake kwa kutumia udini na ukabila!!! tunarejea kwa mama. walisema wakazi hao wa ujiji.

Hakuna kitu hapo ... Naona mnajiandaa kurudisha kadi zile mlizonunua. Ingekuwa habari hii ina mshiko basi isingekuwa CDM tu bali hata NCCR, CUF nk. Kwani jimbo la Kigoma mjini ni la CDM? Km CCM imetelekeza, (ooops, - imetekeleza) ahadi zote, je ni kwanini mnatapatapa? Mbona msiseme tu kuwa wapinzani wote watahamia magamba leo?
 
Kila mwananchi ana uhuru wa kuingia kwenye chama chochote ila ; kwa ushauri, Nape imarisha tanga, morogoro, dodoma na kwa wasira maana hata haya majimbo yaliyo tajwa , kwa momentum hii ya cdm watachukua, au kura kupishana kidogo saaaana. Na mimi naona kwamba majimbo mengi sana yatakwenda cdm, huku urais ukinyakuliwa na cdm. Labda muwanyime vijana kujiandikisha . NB: Mwigulu Nchemba huwezi tazama juu kwa machowazi huku mvua ya mawe ikinyesha! utapasuka macho. Tatizo siyo cdm, tatizo ni raia kupata ufahamu. Byee.
 
mkigoma's Avatar
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 26th July 2011
Posts : 325

Rep Power : 417

Likes Received
46
Likes Given
0

[MENTION]Default Re: Nape, Mawaziri kufunika kesho Kigoma[/MENTION]

njooni huku tuwakadhi hizi kadi za chadema muwapelekee huko moshi, tumekichoka chama hiki kwa ukabila na udin
i.
HAyo ya bluu ni maneno yako ya jana wakati unachangia thread tajwa sasa umedamka kuja kuanzisha thread yako kulingana na mawazo yako ya jana, acha uzuzu tangu lini ukawa na kadi ya CDM au umenunuliwa ili uonekane narudisha kadi za CDM tumekustukia !!!!!!
 
Back
Top Bottom