Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

Inatia moyo sana!...

Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k

Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM

Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa

More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula
Inakutia moyo kwa sababu wwe na Nape mna uhakika wa posho Lumumba.Lakini sio kwa mwanch wa kawaida ambae hana huduma muhimu kama barabara,viwanda vya kusindikia mazao yake,Elimu bora na umeme ambao kwa miaka 50 mmeshindwa kuufanya uwe wa uhakika.Ingependeza kama ungetuambia MAGAMBA leo wanazindua Visima vya maji,Miradi ya Umeme,uzinduz wa barabara kwa sababu ndio wajibu wa watawala.Badala yake wanafanya kazi za wapinzani.Hii ni dalili ya serikali dhaifu na ilikosa ubunifu adhabu yake nikuondolewa madarakani kwan wamepoteza uhalal wa kutawala .
 
Mkuu, mi silipwi posho na mtu yoyote hapa, lakini suala la kulaum serikali kwa kila kitu ni ujinga tu
 
Inatia moyo sana!...

Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k

Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM

Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa

More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula

Coming from Kigoma, born in Kigoma, having lived there for years, been among them; I know WAHA very well, they cant be fooled that easy like you are saying.

Shame on you!
 
sasa hausikije wakati mambo ya uenez na propaganda ni ya Nnauye,au ndo kashakuwa katibu mkuu?tuelekeze vyema!

mkuu Gilo24, heshima kwako mimi sihusiani na Nape, nimeleta tu post kuhusiana na kilichotekea leo Kigoma, cos mi niko huku
 
juu kwako wewe kwa sababu unawaza posho 2 huna lolote shukuru umezaliwa katika systm ya mafisadi ambao mnaendelea kuwaibia watanzania

- wacha bro moto wa kuotea mbali huo mbaby wema wa ukweeeee!!, si umeona hapo kwenye pic mtumzima alivyotulia! Ha! Ha! Ha! Ha!

Le mutuz!!
 
mkuu, hapa kuna wale wa sizitaki mbichi hizi, hivi unafikiri wakipata chance kama hizi wataziacha, mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake
 
Mkuu, mi silipwi posho na mtu yoyote hapa, lakini suala la kulaum serikali kwa kila kitu ni ujinga tu
Mjinga n wewe kwa kua upo kwenye sytm ya ufisad wa nchi hii.Nilazima serikali iwahakikishie wananchi mazingira mazuri yatakayowezesha wananchi kufanya shughuli zao za kuwaingizia kipato kila siku
 
- wacha bro moto wa kuotea mbali huo mbaby wema wa ukweeeee!!, si umeona hapo kwenye pic mtumzima alivyotulia! Ha! Ha! Ha! Ha!

Le mutuz!!
Mkuu hapa tunataka picha za Mkutano ambao umtanagazwa kwa mbwembwe na CCM kwa siku tatu na kutabiri urudishaji wa kadi za Chama makini CHADEMA ili kujenga mazingira ya urudishaji wa kadi bandia ambazo zimeisha chapishwa.Hapa kulikoni picha ya Zitto na Wema Sepetu?Hata kama ndivyo Zitto Hajaoa na anahaki ya maisha binafsi.
 
KIGOMA JUU ZAIDI!!

Huo ni wivu wa kijinga ,sasa unataka kufananisha na zile picha zako ambazo unawafatawafata wadada na kupiga nao kisha unaweka facebook,zitto is a great thinker than you,umbo kubwa but with empty head
 
aliyefanya photoshop kachemsha,unamwona wema sepetu kama kapanda juu ya kitu hivi,huku zitto haonyeshi mwelekeo wa kucheza na mtu mbele yake

hii ni real pic. Mkuu, Wema ni mrefu kidogo zaidi ya Zitto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom