Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

CCM wakubali zama zao zinakwisha. Inatia aibu kuona vijana kama Nape na mvuta bangi wa Mtera hawasomi alama za nyakati. Shaib Akwilombe msaliti naye anazidi kuwakingia kifua ili ale. Unatoka kwenye ngazi ya kitaifa na kuhama chama na kutupwa kwenye vyeo vya kufinyangwa na Makamba nawe unaridhika! Haya matumbo na masaburi tusipoangalia yatafanya watu wafanyiwe kitu mbaya. Yetu mecho.
 
nilisema, sitoenda kuwasikiliza wasije kujizolea umaarufu. sasa jeshi lao limeamua kutandaza kipigo. kazi kwelikweli
 
Mwanza big up,nyie mmeiva kiuzalendo tuko pamoja,Huwezi kumruhusu tapeli kumwaga sera wakati unajua atakutapeli, mtu kama LUSINDE, NAPE NA MWIGULU unawasikiliza ili kitokee nini? Wanaweza kuletea mvurugiko kichwani
 
Habari kama hii inakuwa ngumu kuithibitisha!!
Njajua ni habari yenye ukweli, lakini i akosa mashiko kama haina uthibitisho ulionona.
JF sio sehemu ya kuwa na taarif ya kuthibitishwa na magazeti the following day.!!

Jf siyo mali ya cdm,kama habari hii isingekuwa na ukweli ingepingwa na wasioegemea popote.ingawa sikuhudhuria mkutano lakini jiji la mwanza lilikuwa kimya as nothing was going on
 
Sitaki kuamini kilichotokea itabidi nifunge safari katikati ya wiki hadi jiji la miamba nikajaribu kuujua ukweli ila ni kwa nini vijana wangu wa kirumba na mwaloni mmewaacha watoke salama hawa dagaa mngewashushia dhahama ya kichapo hata cha mawe ningejipongeza na wisky now ila mmenisikitisha sana leo???????!!!!!!!!!

unataka vita?
 
kama wangefunika, nape angeanzisha thread ya kujifagilia. lakini inaonesha kabisa hawajafanikiwa.
 

Asalaleee!! bado sijaamini Muenezi anaweza kunena maneno machafu kuliko hata Mtatiro. Naamini waandishi wa habari walikuepo na wataandaka habari hii ya Nape na kama ni kweli imejiri hivi huko mwanza, CCM inapaswa kujitazama mara mbilimbili.

We nawe vipi?
We ulivyosikia anaitwa Katibu Mwenezi ulijua kazi yake ni kueneza Sera na Itikadi tu?
Kwa taarifa yako jamaa ni muenezaji pia wa Matusi ya Mwilini (Sio ya Nguoni).
 
Timu ya CCM iliyotumwa Mwanza Nape, Lusinde wamechemsha na wameishia kutukana.

Lusinde kasema atatupiga mimba, Nape kasema atatupandisha ukuta. Kweli hawa ndio viongozi wa kitaifa?.

Cha kushangaza Mwanza hadi watoto hawataki habari za CCM.

Source yako ambayo ni gazeti la Mwananchi haina matusi ambayo umeandika ktk thread hii sasa tukuaminije au umewalisha maneno?
 
Wakazi kiduuchu waliohudhuria mkutano wa hadhara katika viwanja vya MAGOMENI jijini Mwanza ulio andaliwa na CCM chini ya katibu mwenezi NAPE akiwa na lengo la kueleza sera ya chama hicho juu ya kujivua GAMBA,,WAMESHUHUDIA RUNDO LA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA MAKADA HAO.

Ushauri wa bure kwa ccm,NAPE hawezi siasa bora wampost kwenye bendi yao ya TOT akawape burudani ya Taarabu,,ilibidi baadhi ya watu waanze kujisogeza na kuondoka,wengine waanze kunong"ona wakimshangaa baba huyu.kama vile haitoshi ilibidi baadhi ya vijana kwa kuchoshwa na upuuzi huo waanze kumjibu poale alipouliza maswali ya kipuuzi mfano;Nani alishawahi kuwaona viongozi wa CDM wakidhurika ktk

maandamano?JIBU Likapatikana wadau wakijibu...arushaaaaaaaaa,DK.SLAAAAAAA....AKAUDHIKA AKAANZA KUYAPOROMOSHA
1.WANAUME LAKINI OVYOOOOO
2.YAONE YANAWASHWAAAAAA
3.ANAE WASHWA ASHIKE UKUTA AONE VIDUME....
Namengine mengi ya aibu,,USHAURI....CCM mkiendelea kumtumia NAPE asie na SOCIOL ETHICS mtazidi kujiaribia ila kwa MWANZA LEO MMECHEMKA NA BWANA HUYO SIDHANI KAMA ATARUDI TENA MWANZA,,,,,
THANKS,NAWASILISHA

Nape siyo wakiume yeye na Lusinde yawezekana Wanaume kama mabinti.
 
Uongo mtupu...angalieni marudio ya Taarifa ya habari ya Star TV kesho asubuhi mtaona...anasingizia eti mimi nilikatisha hotuba yangu wakati niliongea dakika zote nilizokuwa nimepangiwa!

Vijana wa CDM waliokuwepo pale ni wachache sana, kama 15 hivi ukilinganisha na wengi wenye hekima na busara waliokuwa wametulia na kufuatilia hotuba zetu.

WanaJF hebu jiulizeni kitu hapa, kama watu wa CDM walikuwa wengi kushinda wa CCM na walikuwa wanazomea na greenguards wakaenda wakamkamata mfanya fujo mmoja, CDM si wangeleta vurugu mbaya kabisa, pengine hata mauaji? Iliwezekana vipi CCM kuendesha mkutano wake vizuri na kwa amani na utulivu kabisa mpaka mwisho kama kweli kulikuwa na fujo za kiasi kilichoelezewa namna hii?

Waandishi ni mhimili wa nne wa dola, fanyeni kazi yenu kwa ufanisi na kimaadili. Nchi yetu sote basi tuilinde!


hayo maneno yako hayaaminiki.......wewe nae umeingia kweye mkumbo wa nape......na ndio maana mnasema eti pesa yety inashuka kwa sababu wazungu wananunua vitu kariakoo kwa kutumia dolla......
 
Source yako ambayo ni gazeti la Mwananchi haina matusi ambayo umeandika ktk thread hii sasa tukuaminije au umewalisha maneno?

Mkuu tumia akili kidogo tu .Ukisoma yaliyomo ina maana jamaa kaamua kuwa mstaarabu .Mtiririko waonyesha hapakuwa shwari nina kila sababu ya kuamini kwama matusi yalitolewa .Kwa gazeti limesema Nape kafunika ? Hatukuona green guard kupika watu kabla ya gazeti no tumeona ina maana kaacha kuandika matusi kwa staha na kataja watu kupigwa .
 
Pia ni std 7 leaver, anajiita kibajaji, ndiye aliyemwangusha mzee Malecela ktk kura za maoni wakati wa kumpata mtu atakayegombea kwa tiketi ya CCM Jimbo la Mtera.
kuanzia leo nimemsamehe bure kumbe ni form 7? mie nilimtilia mashaka siku anachangia bungeni.KWELI hawa wabunge ndio wanaotuwakilisha? lazima tuwe masikini na maendeleo tutayasikia kwenye bomba.
 
Uongo mtupu...angalieni marudio ya Taarifa ya habari ya Star TV kesho asubuhi mtaona...anasingizia eti mimi nilikatisha hotuba yangu wakati niliongea dakika zote nilizokuwa nimepangiwa!

Vijana wa CDM waliokuwepo pale ni wachache sana, kama 15 hivi ukilinganisha na wengi wenye hekima na busara waliokuwa wametulia na kufuatilia hotuba zetu.

WanaJF hebu jiulizeni kitu hapa, kama watu wa CDM walikuwa wengi kushinda wa CCM na walikuwa wanazomea na greenguards wakaenda wakamkamata mfanya fujo mmoja, CDM si wangeleta vurugu mbaya kabisa, pengine hata mauaji? Iliwezekana vipi CCM kuendesha mkutano wake vizuri na kwa amani na utulivu kabisa mpaka mwisho kama kweli kulikuwa na fujo za kiasi kilichoelezewa namna hii?

Waandishi ni mhimili wa nne wa dola, fanyeni kazi yenu kwa ufanisi na kimaadili. Nchi yetu sote basi tuilinde!
Hii inaonekana mlitumwa kwenda kufanya vurugu kwa Wakazi wa Jiji la Mwanza. Hata hivyo pamoja na kejeli zenu, matusi kwa wakazi wa Mwanza haziwezi kuwarubuni wananchi wa Mwanza waliochoka na maisha kwa sababu ya siasa uchara za CCM. Binafsi nawapongeza wakazi wa Jiji la Mwanza kwa ustaarabu wao, kwani nyie ndiyo mlionekana wajinga na mmejiaibisha machoni pa Watanzania. Hongereni wakazi wa Mwanza kwa ujasiri wenu.
 
hakuna rangi wataacha kuona jombaaaaaaaaaaaaaaaaa.
wameiba weeeeeeeeeeeeeeee.wametumia ujinga wa watanzania kama mtaji wao weeeeeeeeeeeeeeeeee,sasa watanzania wameshtuka na bado waje A TOWN tuwaonyeshe ni kwa nini hela ya nauli ya nyerere kwenda uno kudai uhuru wa tanganyika ilitoka kaskazini.
 
Back
Top Bottom