Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

times will come when no one shall hear ccm and foolishness will have departed far away from tanzanians
 
Kumbe hiyo sumu inayombabuwa ngozi inambabuwa hadi ubongo!
 
kwa nini 2015 isiwe kesho wajemeni, watu tuondokane na huu upuuzi?
 
Mshikisha ukuta huwa nae lazima aushike ukuta, maana mtenda hutendwa. Amezoea ndio maana ameanza tabia ya kuramba ramba midomo na kuvaa vikuku.
 
Sitaki kuamini kilichotokea itabidi nifunge safari katikati ya wiki hadi jiji la miamba nikajaribu kuujua ukweli ila ni kwa nini vijana wangu wa kirumba na mwaloni mmewaacha watoke salama hawa dagaa mngewashushia dhahama ya kichapo hata cha mawe ningejipongeza na wisky now ila mmenisikitisha sana leo???????!!!!!!!!!
 
Hawa jamaa wamechanganyikiwa! Mfa maji .....................
 
Wakazi kiduuchu waliohudhuria mkutano wa hadhara katika viwanja vya MAGOMENI jijini Mwanza ulio andaliwa na CCM chini ya katibu mwenezi NAPE akiwa na lengo la kueleza sera ya chama hicho juu ya kujivua GAMBA,,WAMESHUHUDIA RUNDO LA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA MAKADA HAO.

Ushauri wa bure kwa ccm,NAPE hawezi siasa bora wampost kwenye bendi yao ya TOT akawape burudani ya Taarabu,,ilibidi baadhi ya watu waanze kujisogeza na kuondoka,wengine waanze kunong"ona wakimshangaa baba huyu.kama vile haitoshi ilibidi baadhi ya vijana kwa kuchoshwa na upuuzi huo waanze kumjibu poale alipouliza maswali ya kipuuzi mfano;Nani alishawahi kuwaona viongozi wa CDM wakidhurika ktk

maandamano?JIBU Likapatikana wadau wakijibu...arushaaaaaaaaa,DK.SLAAAAAAA....AKAUDHIKA AKAANZA KUYAPOROMOSHA
1.WANAUME LAKINI OVYOOOOO
2.YAONE YANAWASHWAAAAAA
3.ANAE WASHWA ASHIKE UKUTA AONE VIDUME....
Namengine mengi ya aibu,,USHAURI....CCM mkiendelea kumtumia NAPE asie na SOCIOL ETHICS mtazidi kujiaribia ila kwa MWANZA LEO MMECHEMKA NA BWANA HUYO SIDHANI KAMA ATARUDI TENA MWANZA,,,,,
THANKS,NAWASILISHA

Na hao watu wachache wakati wanatukanwa walikuwa wanashangalia au waliendelea tu kusikiliza..., kwanini wasichukua bakora na kumfunza adabu na uungwana kwamba watu hatuendekezi matusi hapa....!!! Yaani watu waliendelea tu kusubiri mkutano uishe au waliondoka..?
 
Duh!, picha wakuuuuuuu. Dalili mbaya kwao. Taa nyekundu inawawakia
 
Habari kama hii inakuwa ngumu kuithibitisha!!
Njajua ni habari yenye ukweli, lakini i akosa mashiko kama haina uthibitisho ulionona.
JF sio sehemu ya kuwa na taarif ya kuthibitishwa na magazeti the following day.!!
 
Kila mara nimekuwa nawaeleza hapa kuwa Nape si mtu wa kumjadili nyie mnaendelea sasa kaamua kuwapa watu habari za ukuta .Duh!!! Dogo juha yule .Kumbe anatumia mkorogo ?
 
Timu ya CCM iliyotumwa Mwanza Nape, Lusinde wamechemsha na wameishia kutukana.

Lusinde kasema atatupiga mimba, Nape asema atatupandisha ukuta. Kweli hawa ndio viongozi wa kitaifa?.

Cha kushangaza Mwanza hadi watoto hawataki habari za CCM.
Bora wametukanwa, kwa weli acha watukanwe ili wakome,yaani bora. nadhani ndicho walichostahili, ni nini kibaya hawajakiskia juu ya CCM hadi waache kufanya shughuli zao kwenda kusikiliza hao wahuni?????CCM itawaeleza lipi la wao kulibeba vichwani mwao zaidi ya matusi?????
 
Huyu jamaa ni Mb wa Mtera kupitia CCM
Pia ni std 7 leaver, anajiita kibajaji, ndiye aliyemwangusha mzee Malecela ktk kura za maoni wakati wa kumpata mtu atakayegombea kwa tiketi ya CCM Jimbo la Mtera.
 
hivi kwa nini Nape anachukuiwa hapa JF sijwahi ona any positive post yake.kulikoni?
 
Timu ya CCM iliyotumwa Mwanza Nape, Lusinde wamechemsha na wameishia kutukana.

Lusinde kasema atatupiga mimba, Nape asema atatupandisha ukuta. Kweli hawa ndio viongozi wa kitaifa?.

Cha kushangaza Mwanza hadi watoto hawataki habari za CCM.


Nini hapo kwenye red?? Umekosea au ni kweli? If true kwanini wasipigwe mawe???
 
Back
Top Bottom