figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,061
- 64,209
KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Agosti 26, 2026, saa 3:30 usiku.
Mkutano huo utafanyika katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wanaombwa kufika kwa wakati kwa ajili ya kufuatilia mkutano huo na kupata taarifa muhimu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM.
MY TAKE
mumechelewa, tushaprint Magazeti ya kesho. Japo nasikia kuna Magezti yanasubiri utasema nini.. Magazeti ya kimkakati