Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

Siasa za Kuzomeana ni uhuni ambao wanasiasa pande zote lazima wazikemee! Hatuwezi kujenga na Kukuza Taifa la Wazomeaji! Tubishane kwa hoja na kumsikiliza kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapo ndipo tupime kama ni porojo au pointi!

Kwani kuna mtu anazomewa bila sababu?hebu fikiria kwanza halafu utapata jibu.
 
Chadema katika kata22 za uchaguzi mdogo wameshinda kata4 tu.angalieni sana siasa sio kushangiliwa ama kuzomewa kumbuka hata john mrema wa chadema huko vunjo alishangiliwa sana lakini mwisho wa siku akapata kura2000 zidi ya augustino mrema wa TLP aliepata kura36000angali alikua anazomewa sana.msisahau mwanza kuna wabunge wawili lakini wameshindwa kupata diwani ktk mkoa wao ktk uchaguzi mdogo wa madiwani?
 
Mkuu wamesema hayo kwenye Jukwaa by the way au walikuwa wanaongea na wewe binafsi...? na walikuwa wanamtukana nani hasa..?

Sababu sidhani kama kuna mtu mwenye ubavu wa kuweza kutukana kadamnasi inayomsikiliza alafu wakatoka wazima.

kuna matusi zengine za rejareja, unatukanwa lakini anayetukana hajui kama anatukana na anayetukanwa hajui kama anatukanwa. kutukana kwa namna hii hutokea pale mtukanaji anapokuwa anafikiri na kutenda kwa kutumia masaburi.
 
Chadema katika kata22 za uchaguzi mdogo wameshinda kata4 tu.angalieni sana siasa sio kushangiliwa ama kuzomewa kumbuka hata john mrema wa chadema huko vunjo alishangiliwa sana lakini mwisho wa siku akapata kura2000 zidi ya augustino mrema wa TLP aliepata kura36000angali alikua anazomewa sana.msisahau mwanza kuna wabunge wawili lakini wameshindwa kupata diwani ktk mkoa wao ktk uchaguzi mdogo wa madiwani?

You are wasting your time!
 
Vipi hawakuimba ile single yao mpya?JK chama kinamfia mikononi kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi,kwa kuwachagua watu Type za kiNape nape wao wanafikili wanajenga Chama kumbe wanakibomoa kabisa, R.I.P CCM tulikupenda sana lakini SHETANI amekupenda zaidi.


Hiyo imekaa fresh kabisa!
 
Huo ndio mwanzo, na mwenye akili zake asome nyakati,wananchi wamechoshwa na blaa blaa za hao jamaa, kila kukicha heri ya jana,wanasiasa wa Chukua Chaako Mapema bado wana fikra za kuwadanganya wananchi kama watoto,leo hii hata mtoto wa mwaka mmoja anajua mabovu yote kwa nini tumefikia hapa, chai na uji wenye sukari ni kama almasi katika kaya,wao wanatalii tu na kutuchekea,kamwe tusiwavumilie.

Natamani kuona wananchi kuonyesha hasira zao kiukweli kwenye mabox ya kupigia kura, hasa 2015.Je tutafika kweli,dalili ya mvua ni mawingu,na bila shaka ni sasa wananchi kuionyesha hasira zao kwa kutohudhulia mikutano yote ya CCM,zomea zomea ni njia moja,lakini cha msingi waichaguliwe tena kuanzia balozi hadi raisi wa nchi.
Nawasilisha wakuu.
 
Wakuu great thinkers, bila kujali ushabiki wa kisiasa, maneno machafu kama hayo hayafai kunyamaziwa. Ni aibu kwao walioyatamka katika kadamnasi, na ni aibu kwa chama walichokiwakilisha pia. Wanetu watajifunza nini kwa viongozi kama hao? Hivi wanafikiri wanayoyasema yanaishia katika viwanja vya mikutano tu. Ulimwengu mzima unapata taarifa hizo ktk zama hizi za utandawazi. Shame on them, pffuuuu!!!!!
 
Walitumwa vijana wao kupima kina cha maji! sasa watapeleka taarifa kwa Wakuu wa Magamba!
 
Nape, Lusinde, Kigwangala, Mwigulu ni anguko la CCM! Maana wanachochea hasira za Watz kutokana na kauli zao. CCM kama wapo serious wangetuma vichwa maeneo korofi na si ile timu ya wapayukaji.
 

Asalaleee!! bado sijaamini Muenezi anaweza kunena maneno machafu kuliko hata Mtatiro. Naamini waandishi wa habari walikuepo na wataandaka habari hii ya Nape na kama ni kweli imejiri hivi huko mwanza, CCM inapaswa kujitazama mara mbilimbili.

Ni kweli waandishi walikuwepo lakini ni mambo mengine huwezi kuandika katika Gazeti kwani nawe utakuwa unasaidia kusambaza matusi hayo, ninajaribu kuweka hapa Clip art ya Sauti yake msikie hayo wenyewe Live na yale ya Lusinde
 
Mheshimiwa, wewe ni mbunge unayetakiwa kutunga, kuzijua na kuzilinda sheria za nchi. Hapa umetaja Green guards kutumika kwenye mkutano wenu huko Mwanza. Je, ni sheria ipi au katiba ipi inayolitambua hili jeshi linaloitwa Green guards?

Je, huoni kwamba huu ni uvujaji wa sheria kutumia green guards kwenye mikutano yenu badala ya polisi ambao uma wa watanzania umewasomesha kwa michango yao ya kodi?

Je, huoni kama kila chama kitakuwa na walinda amani wao huu utakuwa ndio mwanzo wa kuvuruga amani ya nchi? Naomba majibu tafadhali. Nimeipanda tabasamu yako lakini nina walakini na uzalendo wako kama kijana wa kitanzania mwenye uchungu na nchi yake inayoendelea kutafunwa na wajanja wachache ambao wewe umejiweka upande wao.

I am extremely Disgusted 🙁

Uongo mtupu...angalieni marudio ya Taarifa ya habari ya Star TV kesho asubuhi mtaona...anasingizia eti mimi nilikatisha hotuba yangu wakati niliongea dakika zote nilizokuwa nimepangiwa!

Vijana wa CDM waliokuwepo pale ni wachache sana, kama 15 hivi ukilinganisha na wengi wenye hekima na busara waliokuwa wametulia na kufuatilia hotuba zetu.

WanaJF hebu jiulizeni kitu hapa, kama watu wa CDM walikuwa wengi kushinda wa CCM na walikuwa wanazomea na greenguards wakaenda wakamkamata mfanya fujo mmoja, CDM si wangeleta vurugu mbaya kabisa, pengine hata mauaji? Iliwezekana vipi CCM kuendesha mkutano wake vizuri na kwa amani na utulivu kabisa mpaka mwisho kama kweli kulikuwa na fujo za kiasi kilichoelezewa namna hii?

Waandishi ni mhimili wa nne wa dola, fanyeni kazi yenu kwa ufanisi na kimaadili. Nchi yetu sote basi tuilinde!
 
Wakuu great thinkers, bila kujali ushabiki wa kisiasa, maneno machafu kama hayo hayafai kunyamaziwa. Ni aibu kwao walioyatamka katika kadamnasi, na ni aibu kwa chama walichokiwakilisha pia. Wanetu watajifunza nini kwa viongozi kama hao? Hivi wanafikiri wanayoyasema yanaishia katika viwanja vya mikutano tu. Ulimwengu mzima unapata taarifa hizo ktk zama hizi za utandawazi. Shame on them, pffuuuu!!!!!
Lugha chafu za viongozi majukwaani zikomeshwe. Jee hao vijana aliowatusi wangeamua kuliko kuzomea wawapige mawe ingekuwaje?
Namshauri hizo hotuba zake za matusi aende akazitoe huko mkoani Mara labda ataelewa maana ya tusi ni nini.
 
Mheshimiwa, wewe ni mbunge unayetakiwa kutunga, kuzijua na kuzilinda sheria za nchi. Hapa umetaja Green guards kutumika kwenye mkutano wenu huko Mwanza. Je, ni sheria ipi au katiba ipi inayolitambua hili jeshi linaloitwa Green guards? je, huoni kwamba huu ni uvujaji wa sheria kutumia green guards kwenye mikutano yenu badala ya polisi ambao uma wa watanzania umewasomesha kwa michango yao ya kodi? Je, huoni kama kila chama kitakuwa na walinda amani wao huu utakuwa ndio mwanzo wa kuvuruga amani ya nchi? Naomba majibu tafadhali. Nimeipanda tabasamu yako lakini nina walakini na uzalendo wako kama kijana wa kitanzania mwenye uchungu na nchi yake inayoendelea kutafunwa na wajanja wachache ambao wewe umejiweka upande wao. I am extremely Disgusted 🙁


Huyo banyamulenge sheria ajue wapi nao kwao wamezoea kuuana tu. Ndiyo tatizo la kuruhusu watu wasio kuwa raia kupata nafasi za uongozi wa kisiasa, hawa siyo wenzetu. Bagalile siyo mtanzania jamani.
 
Hivi nyie akina nape mnatoa matusi hayo mbele ya kadamnasi mtafika kweli nyie? Mbona mmeanza vibaya hvyo? I thought mlikuwa mmepanga kwenda mbali kisiasa ila kwa style hii mnajiharibia,badala ya kujenga mnabomoa.
 
huko kanda ya ziwa magamba hayana nafasi tena kwenye miji yote hayatakiwa hata kidogo
 
mkuu wamesema hayo kwenye jukwaa by the way au walikuwa wanaongea na wewe binafsi...? Na walikuwa wanamtukana nani hasa..?

Sababu sidhani kama kuna mtu mwenye ubavu wa kuweza kutukana kadamnasi inayomsikiliza alafu wakatoka wazima.
unashangaa nini?matusi?kwani nnape ana akili?walitukana mimi nilikuwepo,,matusi kama shikeni ukuta,mwanza mnamimba...ccm vidume ni nyi wanamwanza kama mnawashwa inameni...ilikua live mpaka wazee wakakimbia
 
Back
Top Bottom