Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

Jamani mtoa habari simuelewi, habari siielewi.

Jaribu kukaa chini uandike jinsi tukio zima lilivyokuwa. Naamini ktk mengi aliyosema kuna mazuri na mabaya. Kama umeamua kutuhabarisha naomba usituchagulie, acha tuzichambue wenyewe.

Elewa hapa kuna watu wa aina tofauti. Acha kuelezea hisia zako zinazoongozwa na ushabiki, eleza hali halisi ilivyokuwa.

Acha ushabiki.
 
Wakazi kiduuchu waliohudhuria mkutano wa hadhara katika viwanja vya MAGOMENI jijini Mwanza ulio andaliwa na CCM chini ya katibu mwenezi NAPE akiwa na lengo la kueleza sera ya chama hicho juu ya kujivua GAMBA,,WAMESHUHUDIA RUNDO LA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA MAKADA HAO.

Ushauri wa bure kwa ccm,NAPE hawezi siasa bora wampost kwenye bendi yao ya TOT akawape burudani ya Taarabu,,ilibidi baadhi ya watu waanze kujisogeza na kuondoka,wengine waanze kunong"ona wakimshangaa baba huyu.kama vile haitoshi ilibidi baadhi ya vijana kwa kuchoshwa na upuuzi huo waanze kumjibu poale alipouliza maswali ya kipuuzi mfano;Nani alishawahi kuwaona viongozi wa CDM wakidhurika ktk

maandamano?JIBU Likapatikana wadau wakijibu...arushaaaaaaaaa,DK.SLAAAAAAA....AKAUDHIKA AKAANZA KUYAPOROMOSHA
1.WANAUME LAKINI OVYOOOOO
2.YAONE YANAWASHWAAAAAA
3.ANAE WASHWA ASHIKE UKUTA AONE VIDUME....
Namengine mengi ya aibu,,USHAURI....CCM mkiendelea kumtumia NAPE asie na SOCIOL ETHICS mtazidi kujiaribia ila kwa MWANZA LEO MMECHEMKA NA BWANA HUYO SIDHANI KAMA ATARUDI TENA MWANZA,,,,,
THANKS,NAWASILISHA

Asalaleee!! bado sijaamini Muenezi anaweza kunena maneno machafu kuliko hata Mtatiro. Naamini waandishi wa habari walikuepo na wataandaka habari hii ya Nape na kama ni kweli imejiri hivi huko mwanza, CCM inapaswa kujitazama mara mbilimbili.
 
Asalaleee!! bado sijaamini Muenezi anaweza kunena maneno machafu kuliko hata Mtatiro. Naamini waandishi wa habari walikuepo na wataandaka habari hii ya Nape na kama ni kweli imejiri hivi huko mwanza, CCM inapaswa kujitazama mara mbilimbili.

Ataruka kimanga kwa sababu anajua watu wote hatukuwepo Mwanza kama huamini subiri kesho.
 
Mza mnatupa wakati mgumu sana kuielewa akili yenu!Inakuwaje wote mnatukanwa na nyie mnakubali tu? Na pengine mnashangilia! Ajabu na kweli!
naomba uelewe kuwa kamwe uwezi kupambana na vichaa,inawezekana ujawai kuwasikia 'live' hao jamaa wakiongea,ni wehu kabisa bado kuokota makopo tu.
 
Mungu wangu, kiongozi wa serikali, public figure anaweza kweli kutoa maneno makali kama hayo!.
Kama haya maneno ni ya kweli, namuomba ajifikirie mara mbili.
 
Lusinde na Nape???nddo walitumwa kushawishi watu???hivi viongozi wenye kufikiria sawasawa ndani ya chama wameisha hadi watumwe wapiga debe wa chama???
 
Is this true? Is what he said on record?
I hope there is at least one media house in TZ brave enough to make this public.
This is very unethical behaviour
 
Nape umeishiwa na busara wewe hufai kuwa kiongozi na hufai kuigwa na jamii. kama kweli umesema maneno hayo shame be upon you!!!!!!!
 
wewe muongo,unazungumziqa mkutano upi? baba zima unakuwa mnafiki? mkutano ulikuwa bomba wewe wako upi?
 
Naunga mkono mia kwa mia JK aachie uenyekiti, hivi kweli hadi leo hawajatambua kuwa Lusinde ni Chizi hadi atumwe kuongea mbele ya hadhala?
 
Kwani Mwanza kuna wanawake tu? Mimba, halafu zaeni wanaharakati

Hahahahaaaaaaaaaaaaaa! mwee! hii kali mkuu, yaani hawa jamaa walidhani wanaenda ukweni kwamba watapokewa kwa shangwe na kuchinjiwa mbusiiiii eheeee! nadhani hawatarudia tena huko. wanatakiwa wasome upepo. Unadhani kina mzee malecela wameamua kukaa kimya sasa kwa sababu wanapenda? Hao madogo wanatafuta kushibisha matumbo yao tu, kisiasa hao bado ni makapi tu tena ambayo yameshapepetwa, kwa hiyo wapo tu ili mradi chama kionekane kina vijana ili hali hamna kitu.
 
if that's what he said, shame on them. In fact it is very unethical, unbecoming behaviour,but they are helping us to destroy their own
 
Kama kweli wawili hao wamesema hayo maneno basi Tanzania tuna janga kubwa la kitaifa kuliko tunavyodhani. Nashindwa kabisa kuelewa ni kwa jinsi gani nchi yenye tatizo la mimba kwa watoto wa shule kama Tanzania anatoka kiongozi (mbunge) na kuongea maneno kama hayo! Lusinde aangaliwe vizuri, inawezekana huyu kijana ni 'mbakaji', hivyo ni vema wazazi wajua moja na kukaa mbali naye. Aibu sana kwa CCM kuwa na vijana walio na tabia mbovu kama hizi.


Lusinde kasema atatupiga mimba, Nape asema atatupandisha ukuta. .
 
Back
Top Bottom