Nape & Kibonde live on Clouds tv

Nape & Kibonde live on Clouds tv

Nape sasa hivi yupo hapa mwenge kwenye kijiwe falani hivi, yupo na jamaa flani kama mwarabu, kila saa anamshika nape bega....aseeee!!
Naona mahari itapelekwa hivi karibuni.
 
kwa nini mnatumia muda wenu kusikiliza upuuzi na wapuuzi!? manage your time for the better of your good plans!

Katika upuuzi mwingi lazima utakutana walau na upuuzi mmoja wa maana kidogo.
 
Nape sasa hivi yupo hapa mwenge kwenye kijiwe falani hivi, yupo na jamaa flani kama mwarabu, kila saa anamshika nape bega....aseeee!!
Naona mahari itapelekwa hivi karibuni.
imekua ivyo tena?
 
kwa nini mnatumia muda wenu kusikiliza upuuzi na wapuuzi!? manage your time for the better of your good plans!

clouds ni kisima, utarudi kutafuta maji tu! yakishakatika....
 
Labda wewe mtumwa wao.

kwa hiyo hawa wanaoreport sasa hivi ni watumwa ... maana sugu ametoa tamko hakuna kusikiliza clouds wakampigia makofi huku wakikejeli clouds leo hii wanarusha thread kuhusu clouds ...
 
Mnyika anasema vyombo vya habari viunganishe watanzania.
 
kwa hiyo hawa wanaoreport sasa hivi ni watumwa ... maana sugu ametoa tamko hakuna kusikiliza clouds wakampigia makofi huku wakikejeli clouds leo hii wanarusha thread kuhusu clouds ...

wengine wanaroho za kutu shibuda huyo, kwa hio sugu roho yake... mnyika kaenda cloud inaonyesha cloud ni radio ya waru wenye kuchukia wana yao
 
wengine wanaroho za kutu shibuda huyo, kwa hio sugu roho yake... mnyika kaenda cloud inaonyesha cloud ni radio ya waru wenye kuchukia wana yao

Kwa maneno mengine mnyika kwenda clouds ni ishara tosha clouds ni radio ya watu, SUGU anachuki binafsi tu...
 
Saa nyingine unakuwa na akili saa nyingine unakuwa kilaza.

mkuu unafanya mchezo na njaa nin??...
Njaa inaweza ikakufanya uonekane chiz.

Ukiona hivyo ujue mwisho wa mwezi umefika na bado hakija eleweka.

Nape kambania posho yake ndiyo mana kabadilika mda c mrefu mtamkuta upande wa 2.
 
Nape anaisifia Clouds kwa kupiga muziki wenye maadili. He he he he kanga moko ndembendembe ndiyo maadili hayo?

Club continental,hahaha . . !
Nimeipenda hyo,eti kanga moja ndembendembe,laki si pesa . . .tehteh
 
Irrelevance! Sasa ulitaka amuongelee vibaya mtu aliyekufa?
Mwita25, sishangazwi na kauli hizi, humu jf tuna hate preachers kibao!.

Laiti ungelijua ni mara ngapi amewaongelea vibaya waliokufa!. He has changed for the better anastahili pongezi.

Natoa wito kwa wanajf wenzangu, tusiwe ni watu wa kulaumu au kukandia tuu saa zote, kwenye mazuri pia tuwe tunapongeza.
 
Sasa John Mnyika, kaenda Clouds Fm kufanyanje? si atakuwa kamsaliti Sugu?
 
Back
Top Bottom