Nape & Kibonde live on Clouds tv

Nape & Kibonde live on Clouds tv

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,190
Reaction score
128,264

Kibonde anamuhoji Nape clouds tv now. Nape anasema best zake wa aljeria wanatamani kuja kuishi tz coz kuna amani sana.
Sasa Nape anazungumzia uzalendo wa watanzania.
 
Nape anasema kuna watu wanaongea matusi majukwaani na wanatuma wananchi watupie mawe msafara wa rais.
Sasa anachambua nyimbo ya mzee Nnauye.
 
Nape anasema clouds imefanikiwa kutunza na kukuza mziki wa tanzania, anasema clouds fm unaweza kuisikiliza mbele ya baba mkwe na mama mkwe coz ni radio ambayo hawapigi nyimbo za hovyo.
 
Nape kamaliza na sasa anamuaga kibonde na anasema wananchi wamezidi kuiamini CCM.
 
Nape anasema CCM imefanya mazuri mengi sana.
 
Duuuu kweli watu mnamoyo kuisikiliza clouds ni sawa na kumwangalia jk kwenye tv natapika!
 
Nape anasema clouds imefanikiwa kutunza na kukuza mziki wa tanzania, anasema clouds fm unaweza kuisikiliza mbele ya baba mkwe na mama mkwe coz ni radio ambayo hawapigi nyimbo za hovyo.

hapa si anawatukana au sijakusoma vizuri?
 
mwantumu mahiza anaaga kwa kusema jahazi ni kipindi kinachotoa ujumbe kwa jamii na yeye ni mdau wa kutuma sms ktk kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom